crdb bank

CRDB Bank Plc is a commercial bank in Tanzania. It is licensed by the Bank of Tanzania, the central bank and national banking regulator. As of 31 December. 2018, the bank was reporting Total Assets of TZS 6.0 Trillion and Total Deposits of TZS 4.7 Trillion.

View More On Wikipedia.org
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Utafiti Binafisi: CRDB Bank wana wahudumu warembo kwelikweli

    Tembelea matawi matawi tajwa hapo juu Kisha chunguza Kwa kina. Ni Pisi zilizo nyooka hazina kipengele na wanatoa huduma nzuri wanakusikiliza mteja wao .. Huko kwingine wananyodo huduma mbovu nk. Haipingwi. @
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya mikopo ya mabenki na riba zake pamoja na vigezo muhimu vya kuwa navyo ili kupata mkopo

    Mimi naomba kuuliza kwa wale walio pitapita katika maswala ya kiuchumi KUKOPA BANKS Mfano Mtu unahitaji Kukopa BANK mkopo wa milioni 15 Naomba kujua, Interest rate yao haya mabenk kwa mkopo wa Life Span ya Miaka miwili au Mitatu ni ipi na kama Mtu unaeka Bond Nyumba? Rate zao zikoje na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu CRDB bank tawi la LAPF Dodoma

    Bank ya CRDB tawi la LAPF Dodoma wahudumu wako taratibu sana, majibu yasiyo rafiki Kwenye foleni inakaa masaa bila huduma, yapo madirisha manne ya huduma ila kwa muda mrefu ni dirisha Moja tu ndio linamuhudumu ambaye naye muda mwingi ingia Toka ingia Toka haeleweki anafanya nini Vijana hizi...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 3-1 Mbeya City FC | CRDB Bank Federation Cup | KMC Stadium | 13.04.2025

    Simba SC watashuka dimbani leo saa 10:00 jioni kuwavaa Mbeya City katika mchezo wa Robo Fainali ya CRDB Bank Federation Cup, ukitarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Mchezo huo utakuwa kipimo muhimu kwa Mnyama Simba SC ambao wanalenga kutinga hatua ya nusu fainali na kuweka rekodi ya kutwaa taji...
  5. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Specialist; Business Intelligence at CRDB Bank April 2025

    Reporting Line MANAGER ENTERPRISE ANALYTICS & BUSINESS INTELLIGENCE Location: Tanzania Head Office Department: DATA MANAGEMENT OFFICE Number of openings: 2 Job Purpose The role is responsible for data visualization, reporting automation, and analytics enablement, ensuring that data is...
  6. K

    JamiiForums Tanzania CRDB kuweni makini. Ada Loan yenu ni huduma nzuri iliyokosa maafisa masoko makini

    Benki ya CRDB wamekuja na huduma mpya inayoitwa Ada Loan. Ni bonge la ubunifu, lakini tatizo ni kwamba maafisa masoko wameifanya kuwa huduma ngumu sana kwa mteja kuipata. Mfumo wa benki unazitaka shule zioanishe mfumo wa shule na mfumo wa CRDB ili mteja alipiwe ada ya mtoto wake. Shule nyingi...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-1 Big Man FC | CRDB Bank Federation Cup | KMC Stadium | 27.03.2025

    Leo Alhamisi inapigwa mechi ya CRDB Bank Federation Cup hatua ya 16 bora Simba SC VS Big Man FC Saa 10:00 Jioni | 🔴 LIVE updates hapa Vikosi vya timu zote Mechi imeanza 1' Simba SC 0-0 Big Man FC 12' Milango bado migumu kwa kila timu 15' Goooooal (Joshua Mutale) 23' Simba wanalitafuta goli...
  8. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania IT Support Officer – 2 posts at CRDB Bank March 2025

    Location Tanzania Head Office Department DEPARTMENT OF ICT Number of openings 2 Job Purpose IT Support Officer will be responsible for managing incidents and requests raised by users through ticketing tool, calls and emails as well as monitoring systems and infrastructure and follow up on...
  9. milele amina

    JamiiForums Tanzania Athari za Mkopo wa Biashara, Baada ya kukopa mkopo wa biashara kutoka Benki, nimejikuta katika hali ngumu sana

    Utangulizi Baada ya kukopa mkopo wa biashara kutoka CRDB, nimejikuta katika hali ngumu sana. Sijawahi kufikiria kwamba mkopo unaweza kuathiri maisha yangu kwa namna hii. Kila usiku, ninasumbuliwa na mawazo ya kurejesha pesa hizo, na matokeo yake ni kukosa usingizi. Ni kama vile mzigo mzito...
  10. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Senior Specialist Shariah Quality Assurance at CRDB Bank

    Reporting Line SENIOR MANAGER SHARIA COMPLIANCE AND PRODUCTS Location Tanzania Head Office Department DEPARTMENT OF RETAIL BANKING Job Purpose To monitor all Islamic Banking Unit operations and transactions, especially financing transactions end to end, ensuring they adhere to laid down...
  11. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank Board Member 4 Vacancies

    BOARD MEMBER VACANCIES CRDB Bank Plc is a leading commercial bank in Tanzania. Established in 1996, the Bank has grown and prospered over the years to become the most innovative and trusted Bank in the country. The Bank attained an important milestone when it was listed on the Dar Es Salaam...
  12. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Specialist; ICT Networks – LAN & WAN at CRDB Bank

    Reporting Line MANAGER WAN & LAN Location Tanzania Head Office Department DEPARTMENT OF ICT Job Purpose Manage networks to ensure they function efficiently. Tasks such as collecting network performance data, monitoring network security, troubleshooting issues, anticipating problems and...
  13. R

    JamiiForums Tanzania KERO CRDB hiki mnachofanya sio sahihi, App inaandika ni bure kuangalia taarifa fupi ya miamala, baada ya kuangalia unakatwa Tsh 450

    Kwenye app ya simbanking kuna sehemu ya Taarifa ya akaunti, ukichagua taarifa fupi ya miamala 10 iiyopita, utaandikwa jumla ya makato ni shilingi 0.00 Ajabu ukithibitisha kuangalia miamala unakatwa shilingi 381 + vat shilingi 65.58, jumla ya shilingi 450, Ninaumia sana siwezi kuangalia hata...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 6-0 Kilimanjaro Wonders | CRDB Bank Federation Cup | 1.26.2025

    Match Day Leo, Mnyama Simba SC atakuwa dimba la KMC Complex akicheza na Kilimanjaro Wonders, mechi raundi ya tatu CRDB Bank Federation Cup. Mnyama amesema mechi hii ni ya kuwapongeza wachezaji wao kwa kutinga robo fainali ya CAF CC. Hiki hapa kikosi cha Simba SC Kikosi cha Kilimanjaro...
  15. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Ni branch gani ya CRDB huwa inafunguliwa Jumapili?

    wakuu heshima kwenu. Naomba kufahamishwa kama kuna branch yoyote ya crdb bank ambayo ina operate jumapili kwa huduma za kawaida kama ilivyo siku zingine hapa jijin Dar es salaam, je ipo??? Ahsanten sana.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yaanza kutoa mikopo ya ada Shule za Msingi na Sekondari

    Dar es Salaam. Tarehe 7 Januari 2025: Katika kuukaribisha mwaka mpya 2025, Benki ya CRDB imezindua mikopo ya ada kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini kote. Mikopo hiyo inayoitwa Ada Fasta ni mwendelezo wa juhudi za Benki ya CRDB kukidhi mahitaji na matarajio ya wateja wake ili...
  17. K

    JamiiForums Tanzania KERO CRDB BANK Mlichonifanyia tarehe 31.12.2024 ni zaidi ya unyang'anyi

    Leo nimeenda kwenye moja ya ATM za CRDB Bank nikiwa na nia ya kutoa fedha kiasi cha 200k+. baada ya majaribio kadhaa ya kujaribu kutoa kiasi hicho ambacho nilikuwa na uhakika ninacho kwenye akaunti kushindikana ikabidi niangalie salio, sikuamini baada ya kukuta kiasi cha Tshs. 96,280...
  18. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Hongereni CRDB Bank kwa customer service

    Desemba 25 nilienda Ku withdraw pesa ATM. Kadi ikamezwa, nikapiga namba ya simu iliyobandikwa ukutani ndani ya ATM. Baada ya dakika 10 wahudumu wakaja, wakaingia ndani na kuniletea kadi yangu✅. Yaani desemba 25 wako kazini. Big up.
  19. Y

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Tanzania shida ni nini?

    Habarini ndugu, Hii inawahusu moja kwa moja bodi ya mikopo elimu ya juu,kunashida gani mpka wanachuo mpka wiki jana hawajapata boom? Na nikiangalia kwa umakini huo ni mkataba kati yenu ninyi na wanafunzi husika sasa inakuwaje mpka boom linachelewa hivo? (Haswa kwa wanafunzi wenye akaunti ya...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB Yatoa Madawati 80, Viti na Meza 50 Wilayani Babati Mkoani Manyara

    Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Kaskazini, Bw. Cosmas Saadat (kushoto) akimkabidhi msaada wa Madawati, Meza na Viti kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Babati mjini Bw Shabaani Mpendu (kulia) kwa shule ya msingi Shikizi ya Muungano Dagailoy ya Wiyala ya Babati, Manyara ikiwa ni mkakati wa...
Back
Top Bottom