crdb bank

CRDB Bank Plc is a commercial bank in Tanzania. It is licensed by the Bank of Tanzania, the central bank and national banking regulator. As of 31 December. 2018, the bank was reporting Total Assets of TZS 6.0 Trillion and Total Deposits of TZS 4.7 Trillion.

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Beware: CRDB bank customers are currently being targeted by scam emails in a large scale fraudulent attempt

    Customers of CRDB Bank, Tanzania's largest lender by assets and deposits, have received fraudulent emails from scammers pretending to be the bank. In the phishing attack, CRDB Bank customers received emails that ask them to click a suspicious link.In one of the emails seen by 𝙏𝙖𝙣𝙯𝙖𝙣𝙞𝙖 𝘽𝙪𝙨𝙞𝙣𝙚𝙨𝙨...
  2. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Katika kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, ningependa kuwaambia CRDB Bank kuwa wana huduma mbovu kwa wateja

    Kwa hio mnataka kujifanya mmelemewa na wateja, aaah wapi, hii benki kimei aliondoka nayo na waliobaki ni wazinguaji tu. Kama ukuu wenu ndio unawapa viburi tambueni akaunti zetu sio mikataba na ipo siku kuna benki kubwa itakuja nyingine na tutaondoka kama lile tangazo la hamia Airtel. Mikopo...
  3. UPOPO

    JamiiForums Tanzania Kwanini CRDB Bank haitumi tena taarifa za akaunti za wateja (Bank statements) tangu Januari 2024?

    CRDB bank, bank statement kutumwa kwa wateja kila mwezi kwenye email zetu imekuwa tatizo tangu Januari 2024. Huduma kwa wateja hawana majibu na ukiomba bank statement ya mwezi wanakukata kuwa umeomba. Embu tujuzeni CRDB what is going on kama huduma ndogo ndogo kama hizo mpaka nije au niandike...
  4. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yazindua mashindano ya CRDB Bank Supa Cup 2024

    Benki ya CRDB imezindua rasmi msimu mpya wa mashindano ya mpira wa miguu na mpira wa pete yanayowahusisha wafanyakazi wake yanayotambulika kama “CRDB Bank Supa Cup 2024”, yaliyoanza kutimua vumbi siku ya Jumapili, tarehe 1 Septemba 2024, Jijini Dodoma. Mashindano hayo yanayolenga kuongeza ari...
  5. S

    JamiiForums Tanzania CRDB USA-River, Arusha: Kwanini ni dirisha moja tu kati matano ndilo hufanya kazi?

    Nchi hii sijui inakoelekea kila sehemu huduma ni mbovu. Niko CRDB tawi la USA-RIVER, Arusha tangia saa 3 asb, wateja ni wengi yuko mhudumu moja tu wakati madirisha yako zaidi ya 5. Wahudumu wengine wapo wanazururazurura ndani sijui wanafanya nini. Hizi kwanza ni dharau kwa wateja, kwanini...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta POS ya kununua ya NMB na CRDB bank

    Natafta posi ya kununua ya benki za CRDB na NMB kwa yeyote atakua nazo naomba anitafte inbox tufanye biashara
  7. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Huduma benki ya CRDB ni mbovu sana

    Sijajua kama wao wanajua mteja ni mfalme. Ni sawa CRDB wanataka kwenda kidijitali lakini hawaendani na service ku satisfy customer. Haiwezekani mteja anataka kufanya transaction kwa Simbaking lakini anachukua zaidi ya saa 3 kukamilisha huduma. Hivi hii huduma inarahisha au inachelewesha...
  8. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kukopa benki ya CRDB kwa dhamana ya nyumba

    Wakuu,ligi ndio hizooo Naombeni kujua ABC ili kuweza kupata mkopo katika bank ya CRDB kwa dhamana ya nyumba siitaji kiasi kikubwa kama milioni 8 tu inatosha ningependa kujua masharti yao riba zao kuhusu kurudisha hata wakinipa wiki inatosha nitarudisha zote na riba ya nusu kwa nusu m8 kwa...
  9. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko apongeza jitihada za CRDB Bank Marathon kusaidia watoto, wakinamama na vijana

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko (katikati), akiwa ameongozana na Waziri wa Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro (watatu kulia), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila (wapili kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay (watatu kushoto)...
  10. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

    Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia. NB: Kila...
  11. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank Marathon Congo yakusanya Dola 50,000 kusaidia wodi ya watoto Hospitali ya Jason Sendwe DRC

    Gavana wa Jimbo la Haut-Katanga, Jacques Kyabula (katikati) akimkabaizi mfano wa hundi yenye thamani ya Dola za Marekani 50,000 Waziri wa Afya, Joseph Nsambi Bulanda wa Haut-Katanga (watatu kulia), zilizokusanywa katika CRDB Bank Marathon Congo iliyofanyika leo Agosti 4 2024 katika jiji la...
  12. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Burundi, DRC zafurahia CRDB Bank Marathon kuvuka mipaka, Shilingi Bilioni 2 kukusanywa

    Dar es Salaam, Tanzania - 9 Julai 2024: Nchi za Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zimeipongeza Benki ya CRDB kwa kuanzisha CRDB Bank Marathon katika nchi zao. Pongezi hizo zimetolewa na Balozi wa Burundi nchini, Mhe. Leontine Nzeyimana, na Mwakilishi wa Balozi wa Jamhuri ya...
  13. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Tuige mfano wa CRDB Bank Foundation kutoa fursa kwa vijana na wanawake

    Dar es Salaam. Tarehe 29 Juni 2024: Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Adolf Ndunguru ameipongeza Taasisi ya CRDB Foundation kwa jitihada zake za kuwafungulia fursa vijana na wanawake na kuzitaka taasisi nyingine kuiga mfano huo ili kuongeza ujumuishi...
  14. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Serikali yaipongeza CRDB Bank Foundation kuwawezesha kiuchumi vijana na wanawake wajasiriamali nchini

    Mkurugenzi wa Jinsia wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Badru Abdunuru aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla ya mafunzo ya ujasiriamali na elimu ya fedha akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 150 Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya Data Sustainable...
  15. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya CRDB Bank Foundation, UNFPA kushirikiana kuwainua vijana kiuchumi

    Dar es Salaam. Tarehe 23 Mei 2024: Katika kuongeza ujumuishi wa wananchi kiuchumi hasa makundi maalumu, Taasisi ya CRDB Bank Foundation imesaini mkataba wa makubaliano kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) kuwawezesha kiuchumi vijana kuanzia miaka 18 hadi...
  16. al1

    JamiiForums Tanzania Nimekosea muamala kutoka CRDB bank kwenda muda wa maongezi

    Wakuu habari za usiku huu? Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, nimekosea kufanya muamala kutoka crdb nikatuma kama muda wa maongezi na sijaunga kifurushi. Nimewapigia crdb bank wameniambia hawawezi kurudisha, msaada tafadhali mwenye kuweza kubadilisha muda wa maongezi kuwa pesa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wako ni upi atakaye cheza Fainali ya CRDB Bank Federation msimu huu 2023/2024

    Mtazamo wako ni upi atakaye cheza Fainali ya CRDB Bank Federation msimu huu 2023/2024 Leo Azam fc vs Coastal Union Kesho Yanga Vs Ihefu
  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Specialist; Cyber Security Architecture at CRDB Bank

    Job Reporting To: Manager; Cybersecurity Governance & Compliance Department: Cybersecurity Location: HQ Job Summary. Responsible for the creation, maintenance and management of cybersecurity architecture models and their lower-level components. Interpret, use, and apply information contained...
  19. Surya

    JamiiForums Tanzania CRDB bank ni noma, mashine pekee ya wakala wananipa kwa milioni moja

    Kwenye kujitafuta bhana nikasema niombe Uwakala wa benki ya CRDB Sasa achana na Pesa ambayo nitaweka kwenye Account kwaajili ya kazi, naambiwa mashine yao inapatikana kwa Milioni 1 hadi nilishikwa na mshangao kwanza, hiyo mashine ni single purpose nailipia M.1... khaaaaa Na tozo za nchi hii...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kutoa Pesa Payoneer Kwenda Local Bank Inatumia Muda Gani?

    Niaje pande hizi wakuu? Bana me mgeni kidogo kwenye haya maswala na nilitaka kufahamu jambo kuhusu Payoneer, Ni kiasi cha muda gani inatumia mpaka pesa kukufikia ukiwithdraw direct kutoka payoneer kwenda Local Bank? Nimetumia CRDB, Nimewithdraw Jumanne ila hadi leo Jumatano bado haijafika
Back
Top Bottom