CRDB Bank Plc is a commercial bank in Tanzania. It is licensed by the Bank of Tanzania, the central bank and national banking regulator. As of 31 December. 2018, the bank was reporting Total Assets of TZS 6.0 Trillion and Total Deposits of TZS 4.7 Trillion.
Dar es Salaam, 23 Februari 2026 — Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amepongeza kwa ushirikiano wa kimkakati kati ya Benki ya CRDB na Tume ya Madini, akieleza kuwa mpango maalum wa kifedha uliozinduliwa leo kwa ajili ya wachimbaji wadogo ni hatua ya kihistoria itakayobadili kabisa mfumo wa...
Wakuu naomba msaada, hivi ni mmi pekee ninaye pata changamoto na customercare ya CRDB bank? Shida ipo wapi kwenye bank hii, Nilikjua wamebdirika, mbona malingo mengi sana. Mbona customer ya benki haina tofauti na wahudumu wa mahakani au police.
Wanahitaji uwabembeleze sana ndo wakujibu, Shida...
Zanzibar. Tarehe 27 Oktoba 2025: Katika kuunga mkono juhudi za kuwaletea maendeleo wananchi, Benki ya CRDB kwa kushirikiana na Taasisi ya Fedha ya Ufaransa ya BPIFrance imesaini mkataba wa kuikopesha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kiasi cha Euro milioni 37.5 sawa na shilingi bilioni 115...
CRDB Bank PLC, a cornerstone of Tanzania’s financial sector and a leading bank in East Africa, is renowned for its innovative approach to banking and commitment to fostering talent. With a strong presence in Tanzania, Burundi, and the Democratic Republic of the Congo, CRDB Bank is dedicated to...
02 October 2025
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa mageuzi ya mfumo mkuu wa benki hiyo, hatua ya kimkakati inayolenga kuboresha huduma...
Yeah kama wasiojulikana walivyosema comments, hashtags hazibadilishi chochote (Nimeparaphrase tu, ila ndiyo point yao ya msimu).
Ni pesa zenu, ni jasho lenu,mnaogopa nini kwenda ofisi za CRDB na kuona mnarudishiwa vipi pesa zenu au miamala inasolviwa.
Nimepitia comments kwenye page za CRDB...
Soko la benki Tanzania halijawahi kuwa na ushindani mkali kiasi hiki. Banks zipo kwenye mchuano mkali na Wateja wana uwezo wa kuhama benki kwa urahisi mkubwa mara 10 zaidi kuliko kubadilisha mtandao wa simu. kutunza wateja katika sekta hii kunahitaji Trust, Loyaty na uamiifu, ni vitu...
Mkopo wangu unalipwa kupitia mshahara wangu.
Sasa inakuwaje mnakata hadi pesa zangu zilizobaki baada ya kukata deni lenu.
Haya nilikuwa na salio mmezichukua zote hadi nekosa pesa ya kula. Nimefuatilia mnasema mtazirudisha. Mimi nile nini kipindi hiki mmezificha?
Mnadanganya huduma zitapatikana mchana na usiku Mtafanya maboresho.
Lakini ukweli ni kwamba mmezengua pesa hazipatikani kwenye ATM huduma mchana hakuna.
Yaani kiufupi shughuli zote zimesimama kwa sababu ya uongo wenu.
Mlitakiwa kuwaambia watu ukweli waweke akiba ndani.
Mnapotoa tangazo na...
Dar es Salaam, 17 Agosti 2025 - Maelfu ya wakimbiaji na wapenda michezo kutoka ndani na nje ya Tanzania wamejitokeza leo katika viwanja vya The Green, Oysterbay, kushiriki CRDB Bank Marathon 2025, mbio za hisani ambazo mwaka huu zimekusanya Shilingi Bilioni 2 ili kusaidia matibabu ya watoto...
Tunashangazwa na kelele za jirani zenu CRDB Bank makao makuu, Ali Hassan Mwinyi. Mfano leo tangu saa 11 alfajiri wanefungulia mziki mkuubwa wakati muda huo hakukuwa na watu hata 10. Na mara zote hata wakiwa na promotion tu magari yao makubwa yenye PA system yatakuwa kupaki nje na sauti kuubwa...
PEACHY VILLAGE COMPANY LTD
"To the people of Tanzania, the Government, the Bank of Tanzania, international rights and financial institutions, and all defenders of justice and transparency—
My name is Adam Kheri Famao, Chief Executive Officer of Peachy Village Company Limited.
Today, I speak on...
Press ya Yanga muda huu,
Pamoja na kuendelea kugomea mechi ya Derby ya Tar 15 June 2025, msemaji amesema hawatacheza mechi ya fainali iwapo hawatalipwa pesa za ushindi wa kombe la CRDB la msimu uliopita.
"Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu...
Hii bank nadhani kwa sasa wanabweteka sana hawajali tena wateja wao. Imagine wateja 8 tu wanahudumiwa masaa matatu kwenye huduma za kutoa/kuweka pesa dirishani, hivi mnaajiili vilaza au?
Na kama mnajua mnaajili vilaza si muwajaze kwenye counter zote ili wasaidiane angalau tupate huduma haraka...
Explore Exciting Career Opportunities at CRDB Bank – May 2025
CRDB Bank, a leading financial institution in Tanzania, is renowned for its commitment to excellence, innovation, and customer-centric banking. With a strong presence nationwide and a dynamic work environment, CRDB Bank offers...
Rais John Magufuli akielezwa jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk Charles Kimei baada ya kufungua tawi jipya la benki hiyo lililopo Chato Mkoani Geita. Kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Ashatu Kijaji, March 9, 2018. Picha na Othman Michuzi.
SEHEMU YA STORI YA MWANANCHI...
Tembelea matawi matawi tajwa hapo juu Kisha chunguza Kwa kina.
Ni Pisi zilizo nyooka hazina kipengele na wanatoa huduma nzuri wanakusikiliza mteja wao ..
Huko kwingine wananyodo huduma mbovu nk.
Haipingwi.
@
Mimi naomba kuuliza kwa wale walio pitapita katika maswala ya kiuchumi KUKOPA BANKS
Mfano Mtu unahitaji Kukopa BANK mkopo wa milioni 15
Naomba kujua, Interest rate yao haya mabenk kwa mkopo wa Life Span ya Miaka miwili au Mitatu ni ipi na kama Mtu unaeka Bond Nyumba?
Rate zao zikoje na...
Bank ya CRDB tawi la LAPF Dodoma wahudumu wako taratibu sana, majibu yasiyo rafiki
Kwenye foleni inakaa masaa bila huduma, yapo madirisha manne ya huduma ila kwa muda mrefu ni dirisha Moja tu ndio linamuhudumu ambaye naye muda mwingi ingia Toka ingia Toka haeleweki anafanya nini
Vijana hizi...
Simba SC watashuka dimbani leo saa 10:00 jioni kuwavaa Mbeya City katika mchezo wa Robo Fainali ya CRDB Bank Federation Cup, ukitarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.
Mchezo huo utakuwa kipimo muhimu kwa Mnyama Simba SC ambao wanalenga kutinga hatua ya nusu fainali na kuweka rekodi ya kutwaa taji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.