computer science

  1. Future ya computer science au ICT ni kama imekufa

    Kufika 2030 nadhani kutakua na uhitaji hafifu sana wa watu waliosoma computer science. Kwanini? Integration ya AI imekuja kuharibu vitu vingi, na mbaya zaidi hatuwezi kuikwepa, miaka 10 nyuma watu walimeza code, syntax Kwa ajili ya kutengeneza website au application, sasaivi simple website...
  2. Mtaalamu wa masuala ya computer science na software engineering anahitajika

    Hey Wana JF Nina uhitaji wa mtu mwenye ujuzi wa computer science na software engineering. Awe na weledi katika masuala haya. Blogs, Apps, Logos designs, Wallpapers, Photography, Broadcasting Network. Muhusika mwenye sifa tajwa na mwenye utayari, naomba aje PM. kwa mawasiliano zaidi. .....
  3. P

    Computer engineering vs Computer science

    Je,course ya computer engineering ina dili nchini au Africa kama ilivyokuwa computer science?
  4. Kati bachelor of technical education in computer science na bachelor of science in information technology kozi ipi bora

    Naomba msaada wa mawazo kati ya kozi hizo mbili nichague ipi ni nikasome chuo kikuu Bachelor of technical education in computer science au Bachelor of science in information technology?
  5. Kuhusu volunteer au Internship ya computer science

    Ndugu narejea tena naombeni nafasi ya kufanya internship au volunteer niweze kupata ujuzi zaidi mimi ni graduate nina masters of science in computer science umri miaka 28 ninauhitaji wa kufanya intern mkoa wowote. Mimi ni mtaalamu wa data science , Machine learning, AI, mobile app, data...
  6. E

    Tofauti gani kati bachelor of computer science na bachelor of science in computer science in software softwere engineering?

    Mimi nimwajiriwa Nina stashahada ya Ualimu (physics & mathematics) nataka kwenda kusoma mwaka huu course ya TEHAMA, Wakuu naomba kujua utofauti wa course ya bachelor in computer science Na Bachelor of science in computer science in software engineering
  7. W

    Ni kwa nini degrees na diploma za IT zinazidi kukosa soko kwenye ajira zisizo na connection, kipaumbele ni computer science na computer engineering ?

    IT iliwahi kuwa kozi yenye dili sana lakini sikuhizi imekuwa haipewi kipaumbele, ajira nyingi wana prefer kushortlist computer rngineering na computer science
  8. Bachelor of computer science Jordan university college

    Habari, naomba kuelezwa kuhusu ubora wa chuo cha Jordan kwenye kozi ya computer science. Je wapo vizuri kwenye practical na theory? Wana maxingira mazuri ya kujifunzia yaani Lab za computer za kisasa zitakazomfanya mwanafunzi kujifunza vizuri? Napenda nijiunge hapo ila nijiridhishe kwanza na...
  9. Kuna msomi wetu yeyote wa Computer Science amewahi hata kutengeneza simple computer games kama hizi?

  10. R

    Msaada wa title ya computer science iwe ya web based , nimefikiria ila mambo magumu instructor anakaa zote

    Wadau naomba mnisaidie title ya computer science iwe ya web based nilizofikiria zote instructor amezikataaa
  11. B

    PreGE2025 Vijana wa IT na Computer Science tengenezeni programu itakayowezesha zoezi la Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa Uhuru na Haki

    Sisi kama watanzania tunataka uwazi na haki itendeke wakati wote wa kupiga kura, kutangaza matokeo, na kutangaza mshindi wa uchaguzi wa diwani, mbunge na rais kwa uchunguzi wa 2025. Japo mifumo yetu ya uchaguzi sio rafiki kufanya uchunguzi mkuu uwe wa uhuru na haki ila ni TAKWA LA WANANCHI...
  12. Je, ni kweli kuwa katika maisha ya sasa hatuangalii GPA kubwa, bali ujuzi hasa katika computer science

    Sababu: Nimekuwa nikitumia muda mwingi kujifunza mambo nje ya darasa, kama vile: Programming Blockchain technology Web Development Akili Bandia (AI) &Machine Learning Ujuzi Mbalimbali wa Kiufundi Hata hivyo, juhudi hizi zimeathiri kwa kiasi kikubwa kiwango changu cha ufaulu darasani...
  13. N

    Msaaada kuhusu Interview za Tutorial Assistant kada ya Computer Science

    Interview za Tutorial Assistant kada ya Computer Science. Kwa anayejua au kumbuka maswali yanayoulizwa (written/oral) naomba aweke nondo humu, tafadhali.
  14. Mwanangu anaipenda sana computer na na ujuzi wake nauona. Nisaidien ana ufaulu wa four ya 26 f ya maths , English na biology pass

    Ujuzi wake nauona kamaliza forum 4 window anajua kuitengeneza computer anajua eti nisaidie wakuu kati ya computer science na information technology au kozi yoyote ya computer,, Mimi baba yake kazi yngu ni fundi cm na computer yaan accessories yoyote ya umeme na fix LAKINI nataka mwanangu awe...
  15. P

    Institute of accountancy Arusha (IAA) Complaint Regarding Delay in Issuance of Bachelor of Computer Science Certificate

    am writing to formally express my complaint regarding the delay in receiving my Bachelor of Computer Science certificate, which I completed in 2023 at your institution. It has now been over one year and four months since I graduated, yet I have not been able to obtain my certificate. This delay...
  16. Naomba Usharuri Mimi ni kijana wa Mwaka wa Kwanza Computer Science Nina shauku ya kutoka na GPA kuanzia 4.5 mpaka 5 Je nizatie jambo gani na gani?

    Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
  17. Kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?

    Wadau msaada Je, kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?
  18. E

    Computer Science inaongoza kutoa wadau wengi waliofanikiwa duniani

    Orodha ya Watu Waliosoma Computer Science na Wamefanikiwa 1. Elon Musk - Mwanzilishi wa SpaceX na Tesla(Japo alisoma physics na economics lakini Computer science imemtoa) 2. Mark Zuckerberg - Mwanzilishi wa Facebook (Meta). 3. Bill Gates - Mwanzilishi wa Microsoft. 4. Larry Page - Mwanzilishi...
  19. Chuo gani bora kwa Computer Science Tanzania?(Kwa ngazi ya Diploma)

    Nimepata wakati mgumu wakati najaribu kuapply chuo bora chenye kumjenga mwanafunzi awe competent kwenye computer science field naombeni ushauri ni vyuo gani bora vya diploma
  20. Msaada: Chuo gani naweza soma online?

    Wakuu kama heading inavyosomeka, Elimu haina mwisho zaidi ni vile utakavyoamua kichwani mwako. Nahitaji mwenye ufahamu mzuri juu ya chuo gani bora, ambapo naweza anza masomo online. Lengo ni kuanza foundation course mpaka nipate PhD ya Computer science. Karibuni tutete jambo hapa. Sonko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…