RAIS WA FINLAND ATEMBELEA MRADI KUWEZESHA WANAWAKE MACHINGA COMPLEX
Rais wa Jamhuri ya Finland, Mheshimiwa Alexander Stubb, ametembelea mradi maalum wa kuwawezesha wanawake wafanyabiashara wadogo unaofadhili na nchi hiyo kupitia shirika la Umoja wa Mataifa linashughulikia masuala ya Wanawake...