Cocobeach is a town in northwestern Gabon, lying on the south bank of the Muni River. It is the capital of the Noya Department. It has a beach and is the main border town for Equatorial Guinea, ferries sailing to Cogo across the river and the border.
The town is very small, containing just a fishing village, a small market and a number of adjacent beaches. It is one of the major travel destinations in the region owing to the Crystal Mountains inland from the town, which contain some of the oldest rainforests in Gabon. These were able to largely escape the drying effect of glacial periods of the Quaternary due to the persistent fog from the Benguela Current providing moisture during the dry season.
Kama hujawahi ingia hili chimbo naomba uje ununue hata soda kwa elfu 4 ujifunze maisha watu wanaishije watu, wana spendije.
Hapa Heineken inauzwa 8500, Serengeti lite 7000. Heineken bucket inauzwa 46,000.
Sasa we jibebe unakotoka uje na sh 20,000 uendelee kuleta fujo kama hauta tupwa baharini...
Habari za humu wanajukwaa, natumai hamjambo wote.
Kisa changu kipo hivi
Mimi wakati huo nilikuwa naweza tu kuogelea umbali kama mita 3 tu napumzika, sasa siku ya kati kati ya wiki nikaenda zangu coco.
Kupun ga upepo nikafika nikakodisha boya kwa buku nikaingia zangu kwenye maji kuogelea, kwa...
#HABARI MANISPAA ya Kinondoni imesema imejipanga kuhakikisha eneo la ‘Coco Beach’ linakuwa la uwekezaji, kivutio na utunzaji wa mazingira.
=======
Ofisa Elimu Manispaa hiyo, Theresia Kyara, alieleza mikakati hiyo jana mkoani Dar es Salaam, wakati wa upandaji wa miti uliofanywa na kampuni...
Hongera sana Amos Makala na Uongozi wa Jiji la Dar es Salaam na Awamu ya Sita kwa ujumla kwa ubunifu wa Coco Beach.
Yaliyolewa Malalamiko mengi sana kuhusu namna ile sehemu ilivyokuwa hovyo na mabanda ya hovyo jambo lililopelekea kupoteza mvuto! Kwa maboresho yaliyofanyika kwa kujenga mabanda...
Tamasha kubwa litakalojulikana kwa jina la Wavuvi Festival &Culture Tourism Tanzania liko njiani kufanyika kwa siku mfululizo jijini Dar es Salaam likiwa ni la kwanza katika historia ya nchi.
Kwa mujibu wa mratibu wa tamasha hilo, Alphone Mkama, Wavuvi Festival litafanyika kwenye Ufukwe wa Coco...
Yaani ningekuwa kiongozi mwenye mamlaka nilichokiona jana ,
Leo ningeamkia kwa halmashahuri ya Kinondoni nijuwe tatizo liko wapi na niwapeleke mpaka eneo la tukio washuudie wenyewe halafu waseme kama ni sawa kuwa na beach kama Coco iliyokuwepo maeneo ya Uzunguni kuwa chafu kama ilivyo wakati...
Asubuhi hii nimepita barabara ya baharini nikielekea Sea Cliff Hotel. Pale maeneo ya Coco Beach ambayo ni maarufu kwa mihogo ya kukaanga nimeona vibanda vyote vimebomolewa isipokuwa msikiti.
Kumepita kimbunga au yanafanyika maandalizi ya kuboresha eneo hili maarufu?
Kuna clip inazunguka kwenye Watsap kuwa kuna Gari limetumbukia COCO BEACH mchana huu
====
Gari aina ya Toyota Land Cruiser Prado limetumbukia katika Bahari ya Hindi eneo la ufukwe wa Coco huku polisi wakieleza kusubiri afya ya dereva wa gari hilo kuimarika ili waanze uchunguzi.
Kamanda wa...
Ukipita barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam baada ya mataa ya barabara inayoelekea Masaki pembeni ya bahari ya Hindi utakuta kuna kadaraja fulani hivi kanaunganisha kona moja na nyingine ambako kako mita chache sana kutoka barabara hiyo na kapo kando kidogo mwa bahari ya Hindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.