Tukio lime tokea Jana saa mbili usiku, mwananyamala, ni muda mchacge tangu atoke kuwasalimu hapo studio, kuelekea nyumbani baadae kapigiwa simu Ngoma ina Waka.
Shukran Kwa majirani, tuishi na majirani zetu vizuri ndugu zangu, anadai hasara inakadirwa milioni mia, hakuna kifo mpaka sasa kilicho...