citizen

Citizenship is the status of a person recognized under the law of a country of belonging to thereof. In international law it is membership to a sovereign state (a country).Each state is free to determine the conditions under which it will recognize persons as its citizens, and the conditions under which that status will be withdrawn. Recognition by a state as a citizen generally carries with it recognition of civil, political, and social rights which are not afforded to non-citizens.
In general, the basic rights normally regarded as arising from citizenship are the right to a passport, the right to leave and return to the country/ies of citizenship, the right to live in that country and to work there.
Some countries permit their citizens to have multiple citizenships, while others insist on exclusive allegiance. A person who does not have citizenship of any state is said to be stateless, while one who lives on state borders whose territorial status is uncertain is a border-lander.

View More On Wikipedia.org
  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Gazeti la The Citizen laomba radhi kwa habari ya 'kushadadia' vita ya Urusi Vs Ukaine

    Gazeti la The Citizen la Jumatano Machi 9, 2022 limeomba radhi kwa kile kilichoandikwa katika habari yao kubwa gazetini hapo ambayo ilitoka Jumatatu Machi 7, 2022. Katika The Citizen la Machi 7, ilitoa habari kubwa ambayo ilikuwa na kichwa cha habari kisemacho: “UKRAINE CONFLICT NOT ALL BAD...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Hong Kong: Uhuru wa Habari waendelea kuzorota. Tovuti ya Citizen News yatangaza kufunga shughuli zake

    Tovuti ya Citizen News imetangaza kufunga shughuli zake kuanzia Januari 04, ikitaja kuzorota kwa mazingira ya Vyombo vya Habari kama sababu. Hatua hiyo imekuja baada ya Polisi kuvamia Kituo cha Stand News wiki iliyopita, ambapo watu kadhaa walikamatwa kwa tuhuma za uchochezi. Sheria mpya...
  3. fasiliteta

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umiza akili kuunda serikali yako mpya kabisa achana na hayo magenge

    Kila mtu anajionea jinsi lile kundi ambalo lilinyooshewa vidole awamu ya nne likirudi KWA kasi ndani ya serikali,na wanawekana taratbu KWA kuamini watu hawana akili bado wapo enzi za nyerere,Tena wengine walichafuka KWA tuhuma kubwa humu mitandaoni hata leo unaweza andika na kuletewa tuhuma...
  4. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Citizen TV needs to be punished for this distortion

  5. Replica

    JamiiForums Tanzania Dar: Serikali yakanusha kuachia Wafungwa wa Kisiasa, yasema Tanzania haina mfungwa wa kisiasa

    Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amekana taarifa inayosambaa kwamba Rais Samia kawaachia huru Wafungwa 23 wa Kisiasa. Kadai Tanzania haina mfungwa wa kisiasa na kusema Rais hawezi kuingilia mchakato wowote wa Mahakama. Awali chombo cha habari cha Kenya kiliripoti Rais Samia kuachilia wafungwa...
Back
Top Bottom