Citizen TV needs to be punished for this distortion

Toa MFANO mmoja.
Hatufuatilii sana media za Tanzania ila media lazima siku moja waseme kitu kisichopendeza majirani kama juzi wakati wa ziara ya Mama Samia nimeangalia TBC presenter wawili wakidiscuss ziara halafu pale wakielezea historia ya uhusiano wa Tanzania na Kenya wakasema kuwa kuendelea kwa uchumi wa Kenya kuliletwa na kuvunjika kwa EAC ambapo walibaki na mali na ndege. Ingekua ni stesheni ya Kenya imesema mambo kama hayo mngekuwa mmepiga kelele hadi na watoto wenu wa chekechea. Halfu hizi chuki mlizonazo dhidi ya Kenya kiujumla mnadhani zinatoka wapi kama sii kusambazwa na media?
 
wamekua very petty na kufuatilia media za kenya kungoja watajwe.....mimi mwenyewe sijui media zao ispokua hii JamiiForums
Yani hata mtu binafsi akitoa opinion yake kwa media ya Kenya inakuwa ni ishu. Meanwhile huko kwao hadi viongozi wantuita manyang'au. Hayati Rais wao alikuwa na mazoea ya kutusema vibaya katika mikutano - hutasikia Wakenya wakijishugulisha na hayo.
 
SSH ni dhaifu, hawataomba msamaha na watashika kasi kupotosha mengi zaidi. Hata ile maize ban disruption inaendelea kama kawaida, hatuna Rais saivi Ikulu.
 
Hii ndio comment section ya hio video ya Msigwa kwenye twitter. Watanzania hawadanganyiki tena. Wamechoka kupotoshwa.

man
@mchemshoo
·
11h

Replying to
@TZMsemajiMkuu
Mpumbavu sana wewe tena narudia mpumbavu sana wewe hakuna wafungwa na mahabusu wa kisiasa waluojaa na makesi huko ni shangazi zako na wajomba zako mpumbavu sana tena hufai nafuu ungekaa kimya unaishi kwa kodi zetu unaongelea upuuzi huo mpumbavu sana

mkunaji wa wambeya
@gerald_maley
·
12h

Replying to
@TZMsemajiMkuu
Endleen kuwafungia wa2 kwa lengo la kujissfishia njia , malpo ni hp hap chin ya jua jaman

C. A. Mkwangs
@AMkwangs
·
11h

Replying to
@TZMsemajiMkuu
huyu nae anapotosha uma.. wafungwa wa kisiasa wote walibambikiswa makes. mfn ni mdude.

Gbless
@godbless_urassa
·
11

Replying to
@TZMsemajiMkuu
Wapo acha uongo, viongozi wa chadema wanazunguka tz kujua wafungwa waliotokana na uchaguzi 2020 na namna ya kuwasaidia. Na kila safari wanatupa updates. Pita akauti ya
@John_Pambalu

@Twaha_Mwaipaya
itakusaidia we mzee.

Dangote 2020
@2020Dangote
·
12h

Replying to
@TZMsemajiMkuu
Kweli hatuna wakimbizi? Or wafungwa wa kisiasa ? Madogo wangapi wako magereza kutokana na kesi za uchaguzi za kubumba?

SINOHYDRO
@Emmanue62504119
·
12h

Replying to
@TZMsemajiMkuu
Kwan wenyewe wafungwa wanasemaje?

Benjamin Kambarage
@Kambarage_Ben
·
11h

Replying to
@TZMsemajiMkuu
Msigwa ni mtu hatari sana kwa nchi hii

Jarateng
@ChiefJarateng
·
11h

Replying to
@TZMsemajiMkuu
Utapata yaani Sana
@MsigwaGerson

mikidadi
@mikidadimoffi
·
12h

Replying to
@TZMsemajiMkuu
Maahabusu je?????

More replies​

elinisaidie mlay
@Elinisaidie_TZ
·
11h

Replying to
@TZMsemajiMkuu
Sijui hili neno limetokea wapi, hakuna wafungwa wa kisiasa ila kuna watu waliobambikiwa kesi kabla na wakati wa uchaguzi

Ankali Goodie
@AnkaliGoodie
·
10h

Replying to
@TZMsemajiMkuu
Mmmmh ila wewe jamaa huna hata haya yaani

black man
@mchemshoo
·
11h
 
Mkiacha kufuatiliafuatilia media za Kenya, mtaacha kusumbuliwa na vitu kama hizi. Media zenu husema ufala kuhusu Kenya ila hutasikia Wakenya wakilalamika maanake haiwahusu.
Hahaha. Watanzania wako emotional kama wasichana. Media inasema kitu kidogo wanaanza kulia na kudemand apology. Very weak behaviour from our neighbours. Mwanaume ni kukaa ngumu.
 
SSH ni dhaifu, hawataomba msamaha na watashika kasi kupotosha mengi zaidi. Hata ile maize ban disruption inaendelea kama kawaida, hatuna Rais saivi Ikulu.
You are a well-known Kenyan hater. Uzuri kelele za chura hazimzuii ngombe kunywa maji.
 
Hii ndio comment section ya hio video ya Msigwa kwenye twitter. Watanzania hawadanganyiki tena. Wamechoka kupotoshwa.

man
@mchemshoo
·
11h

Replying to
@TZMsemajiMkuu
Mpumbavu sana wewe tena narudia mpumbavu sana wewe hakuna wafungwa na mahabusu wa kisiasa waluojaa na makesi huko ni shangazi zako na wajomba zako mpumbavu sana tena hufai nafuu ungekaa kimya unaishi kwa kodi zetu unaongelea upuuzi huo mpumbavu sana

mkunaji wa wambeya
@gerald_maley
·
12h

Replying to
@TZMsemajiMkuu
Endleen kuwafungia wa2 kwa lengo la kujissfishia njia , malpo ni hp hap chin ya jua jaman

C. A. Mkwangs
@AMkwangs
·
11h

Replying to
@TZMsemajiMkuu
huyu nae anapotosha uma.. wafungwa wa kisiasa wote walibambikiswa makes. mfn ni mdude.

Gbless
@godbless_urassa
·
11

Replying to
@TZMsemajiMkuu
Wapo acha uongo, viongozi wa chadema wanazunguka tz kujua wafungwa waliotokana na uchaguzi 2020 na namna ya kuwasaidia. Na kila safari wanatupa updates. Pita akauti ya
@John_Pambalu

@Twaha_Mwaipaya
itakusaidia we mzee.

Dangote 2020
@2020Dangote
·
12h

Replying to
@TZMsemajiMkuu
Kweli hatuna wakimbizi? Or wafungwa wa kisiasa ? Madogo wangapi wako magereza kutokana na kesi za uchaguzi za kubumba?

SINOHYDRO
@Emmanue62504119
·
12h

Replying to
@TZMsemajiMkuu
Kwan wenyewe wafungwa wanasemaje?

Benjamin Kambarage
@Kambarage_Ben
·
11h

Replying to
@TZMsemajiMkuu
Msigwa ni mtu hatari sana kwa nchi hii

Jarateng
@ChiefJarateng
·
11h

Replying to
@TZMsemajiMkuu
Utapata yaani Sana
@MsigwaGerson

mikidadi
@mikidadimoffi
·
12h

Replying to
@TZMsemajiMkuu
Maahabusu je?????

More replies​

elinisaidie mlay
@Elinisaidie_TZ
·
11h

Replying to
@TZMsemajiMkuu
Sijui hili neno limetokea wapi, hakuna wafungwa wa kisiasa ila kuna watu waliobambikiwa kesi kabla na wakati wa uchaguzi

Ankali Goodie
@AnkaliGoodie
·
10h

Replying to
@TZMsemajiMkuu
Mmmmh ila wewe jamaa huna hata haya yaani

black man
@mchemshoo
·
11h
Heri Kunyaland yule msimamizi wa uchaguzi Msando hamna aliyekamatwa na kufunguliwa mashtaka!
 
Heri Kunyaland yule msimamizi wa uchaguzi Msando hamna aliyekamatwa na kufunguliwa mashtaka!

N days are numbered, this time next year a lot carnages will be witnessed. Maana uchaguzi Kenya ni kipindi cha kutoa machungu, hasira na kulipiza kisasi.
 
Back
Top Bottom