Business issues.
Biashara ya chupi, boxer, vest na vingine Kama soksi n.k ni nzuri Sana Kuna kigoli kinapatikana kariakoo mtaa wa Msimbazi (Azania Bank) ni kigoli kizuri kwaajili ya biashara ya nguo za ndani ni pazuri biashara ipo. Pia utasidiwa kuonyeshwa machimbo ya kupata mzigo wa wewe...