Unajisikiaje unapoona kuna msichana anasoma chuo na wewe, anashindia mlo mmoja kwa siku?
Unajisikiaje kuona msichana aliye chuo anavaa hovyo kwa kukosa pesa wakati anapenda kupendeza?
Naumia sana ninapoona chuoni ninaposoma, kuna msichana anakula mlo mmoja kwa siku, havai vizuri, amekosa nuru...