chuo kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya kozi ya kusoma chuo kikuu

    .
  2. JamiiForums Tanzania SoC01 Maisha baada ya kuhitimu Chuo Kikuu

    Habari wana JF,Kwanza Tumshukuru Mungu kwa neema ya uhai anayoendelea kutujalia hapa Pili niwashukuru watendaji wa JF Kwa kutuletea changamoto hii, tatu niende moja kwa moja kwenye story challenge yangu inayohusu Maisha baada ya kuhitimu Chuo kikuu. Vijana wengi baada ya kuhitimu vyuo vikuu...
  3. JamiiForums Tanzania SoC01 Ushauri kwa waliomaliza Kidato cha 6 (baada ya matokeo): Nini cha kusomea Chuo Kikuu Kupambana na Soko la Ajira

    Habari wanajukwaa; Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kunipa afya na wakati mwema Kama huu,ili niweze kutoa upako wa kweli kuhusu hatma ya wanafunzi waliomaliza KIDATO cha 6 kuhusu nini cha kusomea baada ya Necta kutangaza matokeo yao. Pili na mwisho katika utambulisho,hongereni sana vijana...
  4. JamiiForums Tanzania Je, umemaliza chuo na unataka ujiajiri?

    Mhitimu wa chuo kikuu ni mtu mwenye elimu ya juu kulinganisha na sehemu kubwa ya jamii. Hawa watu wanakitu cha kipekee japo wengi wao wamefumba. Sasa haya ndio mambo makuu,ya kukusaidia ujitambue na ujiajiri. 👉TENGENEZA NJIA YA ZIADA KATIKA MAISHA. Hii ni hatua ya kwanza kabisa,jaribu kuwaza...
  5. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    Nitakuwa naweka hapa vitabu vinavyotumiwa katika mataifa mbalimbali kuanzia elimu ya sekondari mpaka Chuo Kikuu. Jisikieni huru pia kuweka vitabu vyo vyote vile vinavyotumika mashuleni na vyuoni kutoka mahali po pote duniani Naanza na kitabu hiki chenye fomyula muhimu 1,300 za somo la Hisabati...
  6. JamiiForums Tanzania Alisema tusitafutane...

    Salaam wana jukwaa! Miaka ya nyuma nikiwa shule nilikuwa na mpenzi (ambae tulianza mahusiano tukiwa kidato cha 3), huyu mpenzi alinipenda kwa kuwa nilikuwa napata mia kwenye hisabati na fizikia na kemia na bayolojia n.k Tuliishi kikavu kavu mpaka kidato cha 4 tukamaliza bila kutikisa...
  7. JamiiForums Tanzania Unaweza kupata tena mkopo endapo utakuwa discontinued?

    Naomba kujuzwa kwa mwenye ufahamu. Swali langu ni kwamba kama ulipata mkopo kutoka (HESLB) na uka Disco ni kweli unaweza pata tena baada ya kulipa 25 asilimia?
  8. L

    JamiiForums Tanzania China: Mitihani ya kuingia chuo kikuu yabadilisha na kuamua maisha ya baadaye ya wanafunzi

    Hivi sasa wanafunzi wengi wapo katika kipindi muhimu sana hususan wale wanaomaliza masomo yao ya sekondari ya juu na ambao wanajiandaa kujiunga na taasisi za elimu ya juu au vyuo vikuu ili kuanza masomo yao katika kozi tofauti. Kuna wale ambao wanafurahia kumaliza hatua moja na kukaribisha hatua...
  9. JamiiForums Tanzania Kipindi naanza chuo kikuu mwaka wa kwanza MZUMBE mjomba alinihusia swala la kusave bumu

    Habarini za leo wakuu, Wakuu hivi ninyi mlishawahi fanikiwa kusave hela za Bumu zikawatoa. Binafsi mimi kipindi naanza chuo kikuu mwaka wa kwanza pale MZUMBE mjomba alinihusia sana swala la kusave bumu. Aliniita varandani akanisisitiza sana mjomba chondechonde ukipata Bumu uwe unalisave...
  10. JamiiForums Tanzania GPA 3.O kama hitaji la chini kuingia kuingia chuo kikuu sio sawa

    Nchi jirani ya uganda kwa wenye diploma kuanzia gpa 2.7 wanaweza kuomba kujiunga na vyuo vikuu lakini tanzania tumeweka gpa 3.0. Hata nchi za ng'ambo kama malaysia china na zingine wanakubali kuanzia gpa 2.7 kwa wenye diploma kama hizi zetu za nacte. Ingefaa kiwango cha tanzania nacho kishuke...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi Eric Shigongo alivyojiunga Chuo Kikuu akiwa na elimu ya msingi

    Licha ya kufeli darasa la saba, mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefanikiwa kuhitimu chuo kikuu akiibuka mwanafunzi bora aliyefaulu kwa kiwango cha juu zaidi. Kabla ya kwenda chuo kikuu, anasema alijifunza lugha ya Kiingereza mtaani, kama wengine wanavyojifunza lugha ya makabila. Shigongo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…