Wachaga ni kabila la wajanja na watu wenye udhubutu, wajanja, ubunifu, wapambanaji na wamesambaa dunia nzima kuliko hata wachina.
Mtanzania wa kwanza kupanda Mlima EVerest ni Mchaga Wilfredy Moshi, Mangi Marialle ndio aliona aombe Uhuru wa Chagga land toka kwa Mwingereza, miaka ya 1950.
Siri...