chumba kimoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama huu ni mwaka wa 6 wa kujitegemea dsm na bado unalala chumba kimoja na madumu ya maji na mengine hadi ndio umeegeshea sabufa, rudi tu malampaka.

    Hii sio kejeli Hii ni wake up call Rudi nyumbani, bado ardhi ni milioni mbili hadi mln moja unapata.
  2. JamiiForums Tanzania Chumba kimoja Dar chapangishwa kwa watu 30 bila wao kujijua mwenye nyumba atokomea kusikojulikana

    Hali ya taharuki imetawala katika Mtaa wa Mabibo Sahara Jijini Dar es salaam baada ya Watu zaidi ya 30 wakidai kupangishwa chumba kimoja na Mtu anayetajwa kuwa Mmiliki wa nyumba, ambaye kwa sasa anadaiwa kutoweka na hajulikani alipo. Camera za AyoTV zimefika eneo la tukio na kuzungumza na...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mzee wa miaka 65 Hana hata chumba kimoja cha kukaa?

    Kuna mzee hapa mtaani anahangaika nyumba za kupanga na Kodi inamshinda anakalia kutuomba omba hela vijana halafu katika stori zinazomuhusu ni kwamba ujanani mzee alikua anapata sana hela ila alikua ni mtu wa mademu hata kiwanja kikamshinda kununua. Leo kaja nimemuangalia nikamtafakari Cha...
  4. JamiiForums Tanzania Chumba kimoja , sebule na choo ndani kipo, maeneo kinyerezi mbuyuni

    Piga 0684101707 kwa mwenye uhitaji... ( mwenye nyumba )
  5. U

    JamiiForums Tanzania KISA cha kweli Mwanamuziki Hussein Jumbe akiwa mgonjwa na mkewe mjamzito alipotembelewa na mamamkwe huku ana chumba kimoja tu huko Buguruni

    Wahenga wa muziki wa dansi nchini hebu tukumbushane kisa hicho cha kweli na Nini hatima yake. Nakala kwa Mtangazaji mkonhwe na Manju wa Muziki Masoud Masoud
  6. JamiiForums Tanzania Shule hii ya EMS ina wa " abuse" Watoto; Chumba kimoja cha darasa kuwa na wanafunzi wa5 tu sio sahihi hata kidogo

    "Mtoto wangu Junior kawa mwanafunzi wa kwanza kati ya wanafunzi watano wanao soma darasa la pili kwenye shule ya msingi ( EMS jina kapuni)" Hayo si maneno yangu. Ni maneno ya rafiki yangu wa " faida", Single Mother ( 26) akimzungumzia mtoto wake anae soma darasa la pili.. Ningekuwa baba wa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa Wasabato walijuaje ratiba za mbinguni hadi kudai Yesu alihamia chumba kingine hekaluni mbinguni 22, 10, 1844?!?

    Wadau hamjamboni nyote? Niombe moderator uache Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali Sio lengo langu kubeza au kukashfu ila navyojua ratiba za mbinguni kwa maana ya siku, mwezi na mwaka hilo husalia kuwa siri ya mbingu Pale mwanadamu anapojidai kujua ratiba za Mwana wa Mungu akiwa hukoo...
  8. JamiiForums Tanzania Una kaeneo kadogo ghorofa la chumba kimoja hili litakufaa

    Kwa wenye ndoto za kumiliki ghorofa na uchumi hauruhusu chukua ramani hii. Chini chumba kikubwa kina bafu,choo na jiko plus kasebule simple,then juu unakata nusu unaweka zege ndo chumba cha kulala. Hii ufaa hata ukitaka kujenga air bnb au hata nyumba za kupanga ili kusave eneo itafaa zaidi
  9. JamiiForums Tanzania Ni kawaida kulala na mdada chumba kimoja na msifanye mapenzi?

    Wakuu, Yamenitokea, sina furaha kabisa😭😭mtaani kwetu Kuna mdada mzuri kapanga anafanya kazi ktk ofsi fulani. Siku ya kwanza tu kuingia ktk chumba nikachangamkia fursa, nikaenda kupika nae gheto, tukapika tukala na nikafosi tuzagamuane, Bwana ee nikafanya purukushani zote za kumuandaa, nyonya...
  10. JamiiForums Tanzania Unaweza kuishi kama mfalme iwapo tu utaamua. Chumba kimoja sio Jehanam

    Hakuna mtu mwenye ghetto baya Zingatia hivi vitu 1.Usifunge pazia na kamba 2.Pangilia rangi ya vitu ndani kwako usinune vitu rangi zigzag 3.Hakikisha unafanya usafi, panga kila kitu sehemu yake 4.Usiweke nguo ukutani kama ndio kabati vile 5.Epuka mi ndoo mingi ndani. Ndoo nyingi zinafanya chumba...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Orodha ya silaha za asili ( Za kibaiolojia na kemikali) kujilinda dhidi ya vibaka wa nyumbani

    1. Mafuta ya kula : Kaa ndani na mafuta yako Lita tatu. Kila siku usiku saa tano yachemshe hadi yatokote kisha hifadhi kwenye chupa ya chai. Ukiwa na chupa zaidi ya moja itakuwa vizuri zaidi. Usiku wakivunja wewe wamwagie na hayo mafuta ya moto usoni. Wanaweza kufa hapo hapo wote na watakao...
  12. JamiiForums Tanzania Karibu tukujengee hii nyumba ya chumba kimoja kwa mkopo

    MKOPO MKOPO wa ujenzi, Nyumba hii inasifa zifuatazo. Chumba kimoja kikubwa chenye washroom, sitting room kubwa,kitchen na public washroom. Nyumba hii ni maalum kwa vijana wanaoanza maisha au kwa wanaojenga nyumba zakupangisha ni nzuri sana na haina gharama kubwa. Gharama yake ni kiasi cha...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta chumba kimoja chakupanga kiwe self contained Arusha-Njiro

    Wakuu habari za majukumu ,natafuta chumba cha kupanga kiwe self contained, kiwe na jiko na pia mazingira yenye usalama kwa maeneo ya Arusha-Njiro road kikipatikana mpaka maeneo ya kontena itakua vyema zaidi kwa bajeti ya 80,000-100,000.
  14. JamiiForums Tanzania Umepanga chumba kimoja unaoa ili iweje?

    Kuna baadhi ya vitu ukikaa ukawaza unaona kabisa ni kama tunaforce kufanya jambo kwa wakati usio sahihi mfano mzuri ni watu kuamua kuanzisha familia kwenye chumba kimoja. Ni maisha ya aibu fikiria umetembelewa na rafiki, ndugu hata wakwe unawakaribisha wapi? Chumba kimoja umeweka kitanda...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Inaumiza sana mtu ana masters degree ila hawezi hata kujilipia kodi ya chumba kimoja. Elimu ya juu imesababisha wategemezi wengi wenye umri mkubwa

    INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI. Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara, degree/masters zinawaaibisha watu mitaani Wazazi tunapaswa tubadilike sana kwenye kuwekeza kwa ajili ya watoto...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta chumba kimoja cha kupanga self-contained Dodoma Mjini

    Kwema Wakuu, Natarajia kuwepo Dodoma mjini soon kufanya project itakayonichukua kati ya mwaka 1 mpaka mwaka 1 na nusu. Naomba wenyeji wa mji wanisaidie ABCs za kupata chumba kimoja cha kupanga self-contained chenye usalama na huduma za maji na umeme, kodi kwa mwezi etc Nicheki PM au unaweza...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba yenye chumba kimoja self sebule na jiko inaweza tumia tofali ngapi wadau

    Nyumba yenye chumba kimoja self sebule na jiko inaweza tumia tofali ngapi wadau
  18. K

    JamiiForums Tanzania Anataka kumleta ndugu yake wakati anajua tunaishi kwenye chumba kimoja na pia anaongea na mwanaume mwingine saa nne usiku

    Kuna mambo yanakera sana aisee yaani mtu unamuambia mimi na wewe tunakaa chumba kimoja na bado anataka kumleta ndugu yake na halafu mimi bado sijajipanga kiuchumi na ukimuelekekeza anasema mimi sitaki ndugu zake Na ananiambia yeye kuwaleta ndugu zake si laxima aniambie mimi yeye anawaleta tu...
  19. JamiiForums Tanzania Nashukuru Mungu mwaka 2023 nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Masaki japo ni chumba kimoja

    Nilizaliwa nikajikuta niko mitaa ya Chole Oysterbay, Mwaka 1988 kufumba na kufumbua roli aina ya Bedford limekuja nyumbani kutuhamisha kuelekea Tabata, huwezi amini mizigo haikufika hata nusu ya roli lile, enzi hizo watumishi ukihamia nyumba ya Serikali unakuta vitanda, magodoro, sofa, dinning...
  20. JamiiForums Tanzania Gharama Za ujenzi vyumba vya kupangisha, chumba kimoja

    Habari jamani, naombeni kujua gharama au makadirio ya ujenzi chumba kimoya choo na kijiko cha mchongo. Kiwanja nnacho kipo Kibaha, Pwani. Maji yapo karibu. Mfano wa ramani ni kama unavoiona hapo chini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…