chuma ulete

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ogopa mke anaekupenda ukiwa na hela tu huyo chuma ulete

    Shalom Natoka kusikiliza kesi moja ya wapendwa wanandoa aisee kuna jamaa alishika hela akafanya yake Sasa mke akalianzisha kuachana mwanaume akamwambia 👍 Yaliyotaka kumkuta akatonywa na jamaa yaan rafiki yake huyo mumeo nduguye hakim Wa Morocco utalia Akaenda kuomba mahakaman anampenda...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane wanaume siyo mbwa na wanawake si chuma ulete kwenye mahusiano

    Wakuu habari, Kuna jambo nimeliwaza, kama binadamu tuna mema na madhaifu, kila mmoja wetu ana uwezo katika jambo fulani na ni dhaifu upande mwingine na hii ndiyo sababu ya kuumbwa kwa kutegemeana. Mara nyingi kinachotushinda kwenye mahusiano na kupelekea kuitana majina mabouvu ya fedhea ni...
  3. JamiiForums Tanzania Hakuna pesa za chuma ulete, kama zipo ungekuta mabenki yote yamefilisiwa na hao watumia chumaulete biashara zisingefanyika

    Hakuna kitu ya namna hio hizo ni fix tu za kijiweni. Kwamba kuna namna mtu akikupa pesa inapotea kimazingira au ukichanganya na pesa ulizokuwa nazo hata kama ni 5M zinasepa.
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania msifanywe Chuma ulete na hawa Wasanii au watu wenu Maarufu

    Wakiwa na pesa huwa wala hawawakumbuki. Wanatamba na kuonesha jinsi ambavyo wanafaidi maisha na nyie sababu wavivu mnataabika. Daily wanapost wakila kuku, wakiwa dubai, china na ulimwenguni waki enjoy life. Wanakula maisha wanapewa na chama chakavu maishani. Wakianza kuumwa pesa zao hawataki...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ni chuma ulete ama ni gharama za maisha zimepanda? Sielewi

    Jamani najiuliza ni kwamba nimefungiwa jini chuma ulete ama ni gharama za maisha zimepanda mara dufu? Yani mpaka sasa hivi nimeshatumia elfu 17 na sijafanya anasa yoyote. Nimenuna sukari 500 Maandazi 2000 Majani ya chai 100 Mkaa 1200. Watoto hawajala mayai miezi sita na mmoja ni mgonjwa...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsia ya kuzuia chuma ulete shambani au kwenye biashara.

    Chuma ulete ni aina ya uchawi unaoaminika kutumiwa kuharibu mazao au kuiba mazao shambani kwa njia za kichawi. Katika tiba asili na mila za Kiafrika, kuna dawa na mbinu mbalimbali zinazotumika kuzuia au kujikinga dhidi ya chuma ulete mashambani. Hapa kuna dawa na mbinu zinazotumika: --- 🧪...
  7. JamiiForums Tanzania Tumia Mkaa Kuzuia Chuma Ulete

    Kumekuwa na malalamiko mengi ya wafanyabiashara kuwa, wanauza pesa nyingi lakini mwisho wa biashara hawaoni kitu. Lawama imetupiwa katika maeneo mengi, lakini eneo mojawapo ni eneo la uchawi wa chuma ulete. Inaaminika kwamba, uchawi wa chuma ulete ni aina ya uchawi ambao mtu huja dukani kwako...
  8. JamiiForums Tanzania Nahisi leo ndo nimeona chuma ulete live

    Yaani nineenda dukani (kutoa hela kwa wakala maana ni muuza duka na wakala hapo hapo.nimekuta anahudumia watu wengine ikabidi nikae pembeni kwanza amalizane nao, sasa wakati nimetulia pembeni akaja mbabu kavaa kote barakashia tena inechanika chanika nimemsalimia hajaitiika hata.akamwuliza yule...
  9. JamiiForums Tanzania Nimeamini kweli kuna chuma ulete nilikuwa siamini yamenikuta

    Story iko hivi kama miezi sita kuna mteja alikuja akanipa kazi ya kumtengenezea tv nikamchaji elf35 alinipa hela usiku muda wa saa1 kesho nikawa siioni elfu 10 na ikapotea mazingira ya kutatanisha kwasababu niliiacha ofisini sasa kesho yake nikawa natafuta kwamba niliichukua muda gani ila...
  10. JamiiForums Tanzania Pesa za biashara kuchukuliwa zote kwenye droo ya kuhifadhia pesa kimazingira

    Habari wakuu Mimi nimfanya biashara wa duka la rejareja kwa muda mrefu ila ndani ya mwezii kinamatukio matatu yametokea yameniweka mdomo WAZI pesa za mauzo zinapotea zote kimazingira Tukio la kwanza kwenye Droo kumeondoka ela ya mauzo elf 11 baadae ya KUUZA mara ya pili elf 15 Hadi naleta uzi...
  11. JamiiForums Tanzania Nimepiga hesabu na zimenishangaza sana, income chini ya laki 5 kwa siku nitadhalilika, ni chuma ulete au ni nini?

    Kwa hesabu nilizopiga, endapo itatokea nikawa naingiza chini ya laki 5 kwa siku, basi naweza kudhalilika hapa mjini. Nimejaribu kutafakari, shida ni michepuko, watoto wengi au ni nini? Au ni chuma ulete hii, mbona naishi life style ya kawaida tu?
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mama Chuma Ulete ameibuka mitaa ya kaloleni Arusha

    Mama mmoja mweusi mfupi kiasi amekua kila ikifika jioni anapita kwenye maduka kuomba chenchi elfu moja au kuomba shilingi mia ili anunue pipi, ukimpa tu, baadae pesa zako zinasepa. Au anaweza kukuomba chenchi ya mia tano...🤣yaani mia mia...akisogea kidogo anakurudia umpe mia mbili mbili..😂 Au...
  13. JamiiForums Tanzania Nimeibiwa pesa zangu kwenye Kibubu na 'Chuma Ulete'

    Wakuu nina swali, Kuna jamaa yangu amenihadithia kuwa alikuwa anatunza pesa kwenye Kibubu kwa muda wa miezi kadhaa na kwa kipindi hicho alikuwa anatumbukiza noti za pesa na coins pia. Lakini cha ajabu alivyokuja kuvunja alikuta coins mbili tu na moja ya Tshs. 200 ina tobo katikati. Hivyo swali...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimekuta kibubu kina 30,000/- tu baada ya kuweka pesa karibu miezi 5, nifanyeje?

    Habari, Jamani naomba msaada wa aina yeyote ile, nimechanganyikiwa sana sana. Niende kwenye mada; Mimi ni dada ambaye najishughulisha na biashara ya kuuza matunda, sasa basi nimepanga mahala naishi mwenyewe, nina tabia ya kuhifadhi pesa ndani, yaani ule mfumo wa kuweka kwenye kibubu. Yaani...
  15. JamiiForums Tanzania Lindi: Benki Kuu yapokea Noti zinazodaiwa kuwa na ‘Chuma Ulete’

    Meneja Huduma za Kibenki wa Benki Kuu Kanda ya Kusini, Melchiades Rutayebesibwa amesema fedha zilizochakaa zimekuwa zikirudishwa ili kubadilishwa ambapo zipo zilimwagikiwa rangi, zilizoandikwa na zingine huja zikiwa zimekatwa katika pembe nne. Akizungumza katika mahojiano maalumu yaliyotokana...
  16. JamiiForums Tanzania Hakuna muuza mkaa anaesumbuliwa na chuma ulete

    Hili suala liko wazi kabisa. 100% ya wauza mikaa hawana changamoto ya kuibiwa hela kwa jini wa chuma ulete. Pesa zote za mauzo zinarushwa kwenye kindoo cha mkaa😅😅 mkaa ambao ndio ume combine miti yote ya dawa tofauti..
  17. JamiiForums Tanzania Hakuna uchawi wa chuma ulete, ni visingizio vya watu wazembe

    Anaandika, Robert Heriel Ni Watu wajinga pekee watakaoamini mambo ya Pesa kupotea kimazingara, ati kupotea kichawi! Chuma Ulete! Yaani ati unaweka Pesa kwenye kibubu labda laki tatu za Kitanzania alafu Baada ya muda ukija kuangalia unakuta elfu hamsini. Huo ni Uongo Mkubwa utakaoaminiwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi ukifanyiwa CHUMA ULETE, utagundua

    Hapo vip!! Nimekuwa najiuliza binafsi maswali kadha ya kadha juu ya chuma ulete,mara nyingine nakosa jibu.Ila nina imani kuna watu katika jukwaa hili watanifungua baadhi ya mambo dhidi ya chuma ulete. Binafsi siamini sana juu ya chuma ulete ila nadhani ipo kwasababu watu wanalizungumzia...
  19. JamiiForums Tanzania Wamiliki wa maduka ya uwakala wa mabenki na chuma ulete

    Ndugu habarini, Hapa ni nyumbani naomba tupeane uzoefu. Binafsi nipo na ofisi ya Uwakala wa mitandao ya simu na Banks kama wakala wao. Tatizo nalokutana nalo ni chuma ulete au sijui ni kiini macho. Tarehe 23.3.2022 alikuja mteja kwa bashasha sana na aliweka 50,000 asubuhi kama saa 2 hivi...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania tuelimike, kuchana pesa kwa kisingizio cha "chuma ulete" kumepitwa na wakati

    Leo hii kumekuwa na ongezeko kubwa la noti kuukuu, zilizochakaa na kuchanwa kwenye ncha au kutobolewa kwa makusudi kabisa kisa wafanyabiashara wanaamini katika ushirikina. Watanzania wenzetu mnahiaribia nchi yenu wenyewe uchumi wake, haiwezekani pesa umeipokea ni nzima tena mpya inanukia wewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…