chuki

This is a list of characters from the Pixar franchise Cars, as well as the Disney franchise Planes, which is set in the same fictional universe:

the 2006 film Cars
the 2011 film Cars 2
the 2017 film Cars 3
the 2013 film Planes
the 2014 film Planes: Fire & Rescue

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Acha chuki na wazazi wako

    Nyinyi watu mnahitaji kufanya amani na wazazi wenu kabla hawajafa. Kuweka chuki kwa uzembe wao na kutokuwepo katika maisha yako hakutakufaa chochote zaidi kuathiri wale walio karibu na wewe.
  2. JamiiForums Tanzania Chuki na Wivu vilikuwepo tangu zamani

    Wasalaam Wakuu, Nimeona hiki kisa kilichoandikwa kwenye Agano la kale, Nimeamua kushare nanyi hapa ili mmpate kuelewa kwamba Chuki na Wivu vilikuwepo tangu zamani. Hapa katika kisa hiki tunaona jinsi vile Nabii Daudi alivyomuua Goliathi jina lake lilikuwa maarufu na aliimbwa na kushangiliwa na...
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni kwanini sina chuki nawanawake

    Tuliombre mno taifaletu pendwa, At this age above37,nimeona mengi na nimekwepa mishale mingu mno,haikua kazi rahisu Leo naomba nishee nanyi sababu za kwanini sina chuki moyoni mwanguna wanawake,au jinsia ke, tofauti nawengi humu wanaoeneza sumu kwa wannawake . 1)malezi ya udogoni, Udogoni...
  4. JamiiForums Tanzania Shaffih dauda acha chuki za kipuuzi kwa viongozi wa simba .haujui lolote zaidi unataka tu upate nafasi umekosa balance na huna sifa za kiuandishi,

    Mtu kama shaffih ukikaa kumtafakari unakuta huoni sababu na tija ya uandishi wake ! Shaffih yeye sio mwandishi wa habari ila ni mchochezi na mfitini ,akiona mahali pana mafanikio dakika moja anabadilika ,Leo anaiona simba na uongozi wote hasa upande wa mo ! Hawastahili kuiongoza ,huyohuyo...
  5. JamiiForums Tanzania Changamoto za Wivu na Chuki: Mwaliko wa Kujenga Jamii Inayothamini Mafanikio

    Katika pitapita zangu za hapa na pale nimekuja kugundua kwamba...baadhi ya wananchi wenzangu wa kitanzania wanapendelea kuona wenzao wakishindwa katika maisha, badala ya kufurahia au kuwahamasisha kufanikiwa zaidi (samahani chuki hii mimi naiita "wana roho ya kichawi")... Wengi huombea wenzao...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kinachomsumbua Dkt. Slaa ni udini na chuki binafsi kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi sana kila inapotokea utawala uliopo madarakani ni wa upande wa pili yaani Uislamu. Amekuwa ni mtu...
  7. JamiiForums Tanzania Lucas Mwashambwa una matumizi mabaya ya chuki

    Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza, ndugu Lucas Mwashambwa, Sio bure kazi unazozifanya za kukichafua Chama Cha Demokrasia na Maendeleo zinaonyesha kabisa wewe ni mtu ambaye umetumwa na unalipwa hatufanyi kutoka rohoni, nikirejea uzi wako wa jana kuhusu Makamu Mwenyekiti wa Chadema ndugu...
  8. JamiiForums Tanzania Wengi wanamshambulia Makonda kwa mihemko na chuki, hawana hoja

    Kuna watu wanamchukia mno Makonda, ndani mpaka nje ya chama. Labda ni kutokana na mambo yaliyotokea awamu ya 5. Chuki hii inawapofusha na kuwapumbaza watu. Inapelekea Makonda hata akifanya kitu kidogo tu basi makelele yanakuwa mengi, lakini wengi wao wanafanya hivyo kwa hisia na mihemko tu...
  9. JamiiForums Tanzania RC Makonda anafanya lile Watanzania Tunataka. Wanaomchukia ukiwauliza hata sababu hawana wamerithishwa chuki

    WanaBodi.. Kwa wale tunaofatilia siasa za nchi hii kwa ukaribu naamini tunamfatilia na Makonda katika hatua zake zote za uongozi. Anachokifanya Makonda kwa Sasa toka amerudishwa kwenye ulingo wa uongozi Wa kisiasa ndio kile kile ambacho Watanzania waliowengi ambao ni Masikini waliokata tamaa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni fikra za umaskini zinazofanya watu wafikiri kila aliyefanikiwa ni freemason ama atoa kafara au chuki dhidi ya waliofanikiwa?

    Habari zenu ndugu zangu. Kuna mambo Huwa nashindwa kuyaelewa. Watanzania tumekuwa na kasumba za ajabu, Umaskini wa baadhi umetufanya tuwe na roho mbaya, chuki, husda Kwa waliofanikiwa bila hata sababu ya msingi. Nimeshuhudia na kusikia hadithi za watu wengi waliofanikiwa sehemu ninazoishi...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini masikini wana chuki na matajiri?

    Kisaikolojia ikoje? Unakuta mtu amepambana kivyake Sasa amejipata. Kipindi anapambana kutafuta mtaji, connection na ramani, watu wanakuona tu. Sasa ukianza kuinuka kupata japo kidogo uhakika wa watoto kwenda shule vita inainuka. Utaitwa jambazi. Utaitwa muuza madawa ya kulevya. Utaitwa shoga...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanawake wakipewa madaraka wanaongoza kwa chuki ili kukomoa wanaume, hasira zote zinahamia kwetu. Tutakutana 2025!

    Kuna Hali Fulani nchi inalazimishwa kuwadekeza wanawake. Au kuwafanya wajihisi kama ni kundi la kuonewa huruma yaani walemavu. Kila mahali wanataka huruma. Hata uchaguzi ujao wanatumia misemo ya kutaka kupendelewa kijinsia. Leo nyimbo na ngonjera nyingi ni za kutufubaza akili tuache kutafuta...
  13. JamiiForums Tanzania Wakimbizi wa Syria waanza kuondoka Lebanon baada ya chuki dhidi yao kuzidi

    Wapalestina wana cha kujifunza, siku hizi hamna cha undugu, dumisheni amani kwenu hapo hii sio miaka ile mlikua mnapata msaada kisa dini au undugu. Hawa maskini wa Syria wanalazimika kurudi kwao kisa chuki zimekidhiri. More than 300 Syrian refugees headed back home to Syria in a convoy on...
  14. JamiiForums Tanzania Mnawezaje kupambana na roho ya ubinafsi na chuki

    Wakuu poleni kwa majukumu, Hivi roho ya ubinafsi au chuki huwa tunazaliwa nayo au ni kutokana na mazingira tunayofanyia kazi na watu wanaotuzunguka. Huwa inafika muda mtu anapata pesa watu wanachukia, wanaochukia siyo hata ndugu zako ni watu tu ambao hawana mchango wowote katika dhiki au...
  15. JamiiForums Tanzania Mafanikio hugeuka chuki

    Mafanikio uleta chuki pale umeonesha mabadiliko ya jambo lako ulilolitaka.Wengi walio kuchukulia wa kawaida baadaye wakaona umebadilika kwenye mafanikio basi umeleta chuki. Chuki zenyewe sio za kuuliza umefikiaje yani ni za kutaka kuona umeanguka sababu wajataka kuona ulivyo. USIONE...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aendelea kushambuliwa mitaani kwa kauli zake za kibaguzi na chuki

    Ndugu zangu Watanzania, Kauli za kibaguzi ambazo zimetolewa na zimekuwa zikitolewa kupitia mdomo wa Lissu zimeendelea kulaaniwa na kukemewa sana na watanzania maeneo mbalimbali nchini. Ambapo watanzania wengi wameonyesha kuchukizwa na kauli za Lissu ambazo zinatokana na uchu na uroho wake wa...
  17. JamiiForums Tanzania Israel yafungia Matangazo ya Al Jazeera kwa madai ya kutishia usalama wa nchi

    Baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu limeunga mkono kuzimwa operesheni za Al Jazeera nchini Israel kwa muda wote ambao vita ya Gaza itakuwa ikiendelea, kwa misingi kwamba mtandao huo wa televisheni kutoka Qatar unatishia usalama wa taifa. "Chaneli ya uchochezi ya Al Jazeera...
  18. JamiiForums Tanzania SoC04 Nchi inahitaji uongozi shirikishi ili kuondoa malalamiko, na chuki dhidi ya Serikali

    NCHI INAHITAJI UONGOZI SHIRIKISHI ILI KUONDOA MALALAMIKO, NA CHUKI DHIDI YA SERIKALI. Utangulizi: "Tanzania tuitakayo" Taifa letu TANZANIA ni Taifa ambalo linahitaji uongozi shirikishi ,kuanzia ngazi ya Taifa ,mkoa ,wilaya hadi mtaa, kijiji na kitongoji, ili kuifikia Tanzania tuitakayo. Kama...
  19. JamiiForums Tanzania Wazo, maarifa, maono, uthubutu na mafanikio unageuka kuwa chuki mbele ya wanaokuzunguka

    Hapa tanzania kuna kasoro inaweza kuwa ni vinasaba yetu tuliyopewa na Mungu ukilinganisha na mataifa mengine na tabia zao. Kwa nini watu wenye maono, wazo, maarifa, uthubutu na mafanikio yakijitokeza basi nafsi zetu zinabadilika na kuanza kumchukia gafla bila sababu. pili tabia zetu tunaweza...
  20. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Sijui ilikuwaje CHADEMA tukamualika Rais Samia, ila mbeleni tutaelezana

    Akiwa mkoani Iringa katika mkutano wa hadhara Lissu amesema hajui ilikuwaje CHADEMA ikamualika mama kwenye mkutano wa CHADEMA maana huwa hawaji wenyewe ni mpaka waalikwe. Aidha Lissu amewatahadharisha wanaCHADEMA kuwa makini maana kwenye uchaguzi wa ndani ya Chama kuna hela nyingi inatumika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…