Ilitarajiwa Lemma akabidhi ofisi ndio aondoke kwenda Canada kwenye ukimbizi wake. Haijulikani atakaa huko kwa miaka mingapi.
Lakini hajakabidhi ofisi kwa Mwenyekiti mpya wa Kanda ya Kaskazini. Kaondoka na fedha kiasi gani za Kanda hiyo? au kaondoka na nyaraka kiasi gani za fedha na mambo...
Friends, ladies and gentlemen.
Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu?
Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano miongoni mwa vyama vya siasa eti ndiyo huleta nguvu na ndiyo kipaumbele chao kwa sasa.
Kitendo cha...
Yes!
No one saw it coming ..wafia dini wanasema eti ni bongo flavor. Hawasikilizi message.
Hii hapa...
Kaka Joel mimi binafsi nlikua sikujui, ila kuna siku nlikuta wimboo huu unapigwa mahali nikauliza huyu nani?
And the rest is this thread. Keep it Up
Tunaposheherekea miaka 63 ya Uhuru ni vyema kama Taifa kutafakari katika maeneo kadhaa ambayo ni muhimu.
1-Tanganyika ilipata uhuru bila kumwaga damu yaani vita.
2-Kupitia Waasisi wetu hususani Mwalimu Nyerere tuliona njia bora ni kudai Uhuru wetu kwa njia ya kidiplomasia.
3-Hata baada ya kupata...
Baada ya chuki kubwa inayoenezwa na wasanii wa Kenya kwa wasanii kutoka Tanzania. Diamond ametia neno lake.
Kikubwa cha kuchukua hapa mtu akikuzidi, solution sio kumchukia ni kufata njia za mafanikio ili na wewe utoboe.
Diamond is so genius
Hizi comments hapa chini zimenitisha sana na zinaatoa picha halisi ya jinsi utawala wa CCM unavyochukiwa nchi hii. Sijui huo ushindi wa 99% kwenye chaguzi unatoka wapi!
Chuki ya wananchi kwa serikali na watawala ni jambo la hatari sana. Chuki hii ya watu wengi hutengeneza kitu katika ulimwengu...
Nikiri sina miaka mingi sana humu jukwaani ila nilichogundua ni kukithiri kwa mada zinazochochea chuki za kidin kwa kukejeli imani zingine kwa namna moja au nyingine binafsi ni muumin mzuri wa dini yangu japo nina cycle ya watu wengi ambao si wa imani yangu naishi nao vzr na tuna bond nzuri sana...
Ukinichukia nakuchukia titi 4 tati,ukinipenda nakupenda titi 4 tati...
Kuchukua ubingwa mara tatu mfululizo,nakuingia fainali shirikisho kumejenga chuki dhidi ya viongozi wa simba juu ya yanga,mwanzoni aimba ilijitapa kuwa hao ndio wanaiwakilisha tanzania vinzuri lakini vichaka vyote...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Binafsi Jana sijashangazwa na matokeo na kipigo kikali kutoka Kwa Tabora United,hilo nililitarajia baada ya kuona Line up kabla ya mechi!,Kitendo Cha kumuanzisha Aziz Ki kwenye mechi ile niliamini kabisa kipigo hakiepukiki!
Gamondi ni Kocha mwenye...
Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Kumekuwa na tabia ya mashabiki hoya hoya wa Yanga ambao wengine tunapojaribu kutoa ushauri nini kifanyike wamekuwa wakitishambulia!
Ni shabiki mjinga na mwehu pekee ambaye anaona Yanga ya Msimu huu inacheza vizuri kuliko ya msimu uliopita!
Binafsi...
Dini ya kislam ni dini nzuri saana napenda wanavyomtii Mungu wao allah
Na mtume wao napenda wanavyoheshimu mila na desturi zao Ila nachukia sana kwa tabia zao
Tabia Za kujiona bora kuliko wengine. Na tabia Za kutaka kutawala wengine. Hizi tabia sio nzuri katika dunia ya sasa.
Mwaka 2017...
Video ya Hayati Anwar Sadat anasema Siwezi kamwe kuhatarisha hatima ya Egypt kwa sababu ya tabia yao ya kitoto. Anawalaumu viongozi wa Palestina kwa kukutaaa makubaliano ya Camp David. Anasema makubaliano hayo yalilenga Wapalestina wawe na Serikali yao baada ya Miaka 5 ya utekelezaji wake...
Wakuu tujadiliane hili kidogo
Hivi karibuni nilizama kwenye dimbwi la mapenzi na mrembo mmoja hivi mtaani kwetu, wakati penzi likiendelea kunoga kaka yake ambaye ni shimeji yangu alishtukia kuwa natoka na mdogo wake. Cha kusangaza alitafuta namba yangu na kunicheck na kunichimba mkwara mara...
Kuna chuki naanza kuiona inapandikizwa ndani ya Tanzania, kitu ambacho siyo kizuri kwa mstakabali wa nchi yetu, kilichotokea Mbeya ni mfano mdogo tu wa kundi la watu wengi wanaoamuliwa cha kufanya au kufuata na kikundi cha watu wachache, huwezi kumlazimisha binadamu apende asichokitaka, hata...
Washabiki, wafuasi na vibaraka wa Mwendake, akili zao ni za hovyo kupindukia na huwa wako teyari kufanya lolote kwa yeyeote ataesema jambo baya kuhusu Mwendazake hata kama kweli huo ubaya ulifanywa na Mwendazake.
Niwaambie tu, hata mauji ya Mzee Kibao yangefanywa na Mwendazake, wangetetea kwa...
CHUKI NI NINI?
Chuki ni ile hali ya mtu kuwa na muitikio mkali hasi kwa mtu/watu fulani au mawazo ambayo kwa kawaida uhusiana na upinzani mkali uliopitiliza.
AINA ZA CHUKI
1. CHUKI KWA UJUMLA (GENERAL HATE)
Aina hii ya chuki huweza sababishwa kwa tishio, uwoga, kuathirika, kutoaminiana au...
PUNGUZA CHUKI, HUWEZI KUISHI PEKE YAKO NA HUWEZI KUISHI MILELE
Na Comrade Ally Maftah
Baada ya kujitafakarisha asubuhi nimajiuliza maswali mengi sana, ikiwa mimi nina miaka 32, na ikiwa Mungu amenipa uhai wa miaka 50 duniani si shaka kwamba nimebakiza miaka 18 tu ya kuonyesha upendo wangu kwa...