chombo

Ignatius Morgen Chiminya Chombo (born 1 August 1952) is a Zimbabwean politician who was Finance Minister of Zimbabwe in 2017. Previously he has served in the Cabinet of Zimbabwe as Minister of Home Affairs from 2015–17, Minister of Local Government, Public Works and Urban Development from 2000–2015.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Tibaijuka, umekosa haya? Mahakama ni chombo huru na muhimu, omba kadi ya CHADEMA lakini sio kuhamasisha vurugu

    Katika hali isiyo ya kawaida, Kwa kauli na mienendo yake ya hivi karibuni, Anna Tibaijuka ameonesha wazi kukosa haya kwa kiwango cha kutisha, anafanya mambo ambayo hata mtoto mdogo hawezi kufanya. Ni jambo la kusikitisha na la hatari kuona kiongozi wa umma mstaafu akitoa matamshi yanayochochea...
  2. Davidmmarista

    Voyager 1 chombo cha ajabu kinachonitisha kichwa. Aisee! hii itakushangaza

    Salute bosses! Hebu nikuambie story moja ambayo imenishangaza sana sana sana, mpk nimekaa nikagusa research hii wiki nzima kuhakikisha nimeelewana na hiki kitu vizuri. The research ni kuhusu chombo cha angani kinaitwa Voyager 1, na guys ukisoma hii story mpk mwisho utajiona mdogo sana mbele ya...
  3. M

    Uraibu wa Internet: Kukosa access ya internet huwa kunaathiri vipi siku yako ?

    Leo hii watu wengi hutumia muda mwingi kwenye Internet iwe kwa smartphone, TV, games, Laptop, n.k. hasa kwa ajili ya burudani kama kuangalia videos za muziki, highlights za mpira, kucheza games, au kuperuzi mitandao ya kijamii. Je unapokosa internet, siku yako inaendelea kawaida au unahisi...
  4. Desierto

    Inakuwaje kwa chombo Cha habari kinachojiita super brand kufanyia ujinga huu

    Huu ni ujinga utoto na uoga kwani kila habari kwa sasa wanakuwa wanajua kabisa mapokeo yatakuwaje. Ni heri kama wameshalijua hilo
  5. BabaMorgan

    Struggle ya kumiliki chombo cha moto na huna basic knowledge ya chombo hicho

    Umestruggle kulima mpunga Igurusi Mungu kakubariki umevuna umepata visenti vyako ukaona ununue zako gari la kurahisisha harakati zako unaweka rekodi ya kuwa mtu wa kwanza kwenye ukoo wa Mwakalinga kumiliki gari Struggle zinaanza kimsingi utajifunza mengi but in hardway bahati mbaya upate fundi...
  6. L

    Mabadiliko ya Kimya katika Sera ya Marekani kwa Afrika: misaada kama chombo cha kuhudumia mkakati wa taifa

    Katika mwaka mmoja uliopita tangu Donald Trump kurejea Ikulu ya White House, sera ya Marekani kwa Afrika imeanza kubadilika kimya kimya. Barua ya ndani ya mkuu wa Idara inayoshughulikia mambo ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Nick Checker, iliyovuja hivi karibuni, ilifichua...
  7. Genius Man

    BBC: Habari za Polisi wa Tanzania kuhusu ukatili wa Oct 29 zimesomwa sana kwenye chombo chao hicho cha kimataifa

    BBC: Habari za polisi wa Tanzania kuhusu ukatili wa Oct 29 zime somwa sana kwenye chombo chao hicho cha kimataifa cha BBC.
  8. Area 56

    CGI Anna Makakala ndio Mkuu pekee wa Chombo cha Ulinzi na Usalama aliyebaki mwenye uteuzi wa hayati Magufuli

    Rais Samia alipoingia tu madarakani 19 March 2021 alianza taratibu kuwaondoa Wakuu waVyombo vya Ulinzi na Usalama na kuweka wakwake. Ndio, wengine walikuwa washakaribia kustaafu kama Jenerali Mabeyo, ila wengine waliondolewa kabla ya kustaafu kwao kama vile DGIS Diwani Athumani pamoja na IGP...
  9. Wagumu Tunadumu

    Kuna kitu huyu Samia kanikumbusha enzi hizo ndo nimeanza kuingia barabarani na chombo cha moto na nikapata ajali

    Nakumbuka kulikuwa kuna watoto wasumbufu sana huo mtaa,kila ukiwazuia wasifanye hiki wao wanafanya yaan hata ukiwafukuza wanarudi Sasa kuna wakati walidandia gari kwa nyuma wakati na ondoka,nikawa nimepatwa hasira kutokana na kufanya jitihada kubwa sana za kuwazuia lakin hawasikii,sasa...
  10. stakehigh

    Aljazeera ndo chombo pekee kinaripoti taarifa kwa ufasaha

    Aljazeera wako radhi mwandishi wa habari awepo site na akwepe bomu lakini sio kurusha habari nje ya hapo Aliekua mkurugenzi wa bbc TIM DAVIE pamoja na msaidizi wake walijiuzulu baada ya kashfa nzito ya kusambaza taarifa za uongo, kujiuzulu huzu kunaambatana na faini ya $1B ambayo trump ametaka...
  11. L

    Watanzania puuzeni babari zinazotolewa na CNN, kwa sababu ni chombo ambacho hakiaminiki na kimeshutumiwa sana na Donald Trump

    Ndugu zangu Watanzania, Ningependa kuwaambia ya kuwa kaeni Makini sana na habari na taarifa zinazotolewa na CNN ya Marekani. Kwa kuwa ni chombo ambacho kimekuwa kikitumika kufanya propaganda na kutoa taarifa zenye kuleta taharuki ,kuchafua watu, taasisi, Nchi,jumuiya na hata vyama vya kisiasa...
  12. baz kaiza

    TBC ni chombo ambacho nado inaendeshwa kwa Kodi za Wantazania?

    Nauliza hii taasisi bado inaendeshwa kwa Kodi za watanzania wanawezaje kutumia TBC chombo cha wananchi wote kwasababu ya propaganda za watu wachache?
  13. Agent-47

    GE2025 HAKUNA chombo cha Habari Tanzania kimeripoti maandamano

    Wanabodi Hapa ndipo tulikuwa tumefikia. Hakuna chombo cha habari kimetoa taarifa kuhusu maandamano yanayoendelea nchi nzima. Vyombo vyote vimepigwa ganzi. Havijui nini vifanye kwa maana ufanya kazi kwa maelekezo na wakuwapatia maelekezo safari hii kajificha chini ya uvungu. Anyway, #MO29 ✊🏾
  14. The Burning Spear

    Polisi ya sasa ni Chombo kukandamiza raia

    Mtu anayeshabikia watu kuonewa na vyombo vya dola anaweza kuitwa kwa maneno mbalimbali kulingana na muktadha na nia yake. Hapa ni baadhi ya maelezo au majina yanayoweza kumfaa mtu wa aina hiyo: 1. Mnyanyasaji kwa hiari (sympathizer wa ukandamizaji) Huyu ni mtu anayefurahia au kuunga mkono...
  15. The Palm Beach

    GE2025 Kama mahakama ni chombo cha kisheria kwelikweli, then there's no way bali kumwachia huru Tundu Lissu J'3 15/09/2025 aendelee na maisha yake!

    https://youtu.be/lXYcasdnW3g?si=j-3229TRJTlB6ORF 1. Mahakama ni chombo cha kisheria, kinachoamua na kutoa haki za watu kwa kutafsiri kwa usahihi hizo sheria ili kumpa kila mtu haki yake kwa kadiri ya ustahili wake kisheria.. 2. Haina shaka kuwa mchakato (process) yote ya mashitaka ya Tundu...
  16. U

    Samia Nahodha jasiri pamoja na meli kupigwa na dhoruba baadhi ya mabaharia kujirusha majini bado umesalia imara ukiongoza chombo kwa ustadi mkubwa

    Kwa mshangao mkubwa waliodhani jahazi lake lazama hali imekuwa kinyume kwani chombo chazidi kukata mawimbi kikisonga mbele kwa kasi kubwa. Kwa bahati mbaya ambacho hawakujua Nahodha ni mzoefu mwenye weledi mkubwa. Niwape uhakika muda siyo mrefu Jahazi laingia Pwani likiwa salama kabisa.
  17. T

    Kama taifa kinahitajika chombo huru cha kuwashauri viongozi katika masuala binafsi

    Viongozi wetu huwa na washauri katika MASUALA ya kikazi katika katika MASUALA BINAFSI hawana washauri hivyo hujikuta wanafanya makosa anvayo huwaumiza wao binafsi, wananchi na hata majukumu Yao ya kikazi. Unadhani NI ushauri UPI binafsi ungependa kiongozi yupi aupate kama pangekuwa na chombo...
  18. Mwachiluwi

    Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri

    Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri Mimi nita tumia bajaji na ina baki nafasi ya kukaa mtu mmoja vip wewe 😂
  19. Mstahiki Mea

    Tanzania kurusha chombo Angani kwa mara ya kwanza

    Tanzania, kupitia Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT), ina mpango wa kurusha satelaiti yake angani, ifikapo mwaka 2026. Chombo hicho, kitakuwa cha kwanza kurushwa angani na nchi hiyo, baada ya kuongezeka kwa ujuzi, ubunifu na teknolojia. Chuo cha DIT kilianza mpango huo toka mwaka 2024...
  20. K

    Napendekeza kuwe na tozo kwa kila chombo cha moto kitachopita juu ya daraja la Magufuli

    Tumeambiwa kuwa Daraja limegharimu fedha nyingi takriban 716 billioni. Hizi ni fedha nyingi hivyo basi zinatakiwa zirudi polepole. Ninapendekeza kuwa kuwe na tozo kwa kila chombo cha moto kitakachopita juu ya daraja la Dkt. Magufuli kama ilivyo daraja la Kigamboni. Nawasilisha.
Back
Top Bottom