Sijajua kama kuna madai kati ya Mwaipopo na CHADEMA kwasababu kila kukicha analaumu akidai CHADEMA ni Chama kiovu
Amekuwa akilaumu kucha kutwa hadi koo kumkauka, imefikia hatua ya kuwaita CHADEMA, Wananchi wanaoiunga kuwa ni wajinga
Huku akidai kuwa yeyote atakayepanga kumdhuru atateketea yeye...
Azam FC wanachofanya ni kiburi cha pesa ambacho hakina tija yoyote kwao.
Tangu usajiri wa Feisal ufanyike, Azam FC imeendelea kua msindikizaji Katika mashindano ya ndani na hata Yale ya kimataifa. Huku feitoto akinufaika pakubwa kimaslahi .
Kutokana na ubumunda wa viongozi wa Azam FC kwenye...
Wanabodi
Huu ujinga wa kuendelea kutumia fedha za umma ili kutafuta sababu za kuhalalisha mauaji ya 29/10 tutauvumilia hadi lini? Hadi sasa, Raisi Samia na serikali yake walichofanya ni kutafuta kuhalalisha mauaji ya 29/10 ili kuonyesha walikuwa na haki ya kuua watu kwa namna ile. Na sasa, kwa...
Awali ya yote ashukuliwe Mungu Mkuu atoaye pumzi na afya.
Wadau najua wataalamu na wafanyabishara wamo humo ndani naombeni ushauri kama nilivyoeleza hapo juu kuwa kipato changu na nahitaji kufungua biashara ya kuuza juisi je hiyo pesa inatosha kwa mtaji na ni vitu gani hasa vinahitajika ili...
Kuna wale jamaa huwa wanapenda kutusema sana sisi wana wa kamtungilei, lakini maisha yao kila kukicha ya jana yanakuwa na afadhali kuliko ya leo....kuna jamaa yangu mwingine huwa anapenda kunisema kuhusu mambo ya mtungilei alijichanganya akaenda kuchukua mkopo wa laki nne kwenye taasisi za...
AJALI NILIYOIPATA NJIANI: SOMO KWA MADEREVA WOTE
Utangulizi
Tarehe 15/06/2026 ni siku ambayo sitaisahau kwa urahisi katika maisha yangu. Nilipata ajali ya pikipiki katika eneo la Butinzya nikiwa safarini kuelekea Ushirombo kutoka Katoro.
Kilichonishangaza zaidi siyo ajali yenyewe, bali mazingira...
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, ametoa ufafanuzi wa kina leo Juni 23, 2026 bungeni kuhusu dhana ya Pato la Taifa (GDP) na Pato la Kila Mtu (GDP per capita), kufuatia kile alichokiita kuwa ni mkanganyiko mkubwa na mijadala inayoendelea kwenye jamii na mitandao ya kijamii...
Mfano, pombe imekuwa sehemu ya tamaduni nyingi duniani kwa muda mrefu na ilikuwepo kwa sababu zake mbalimbali.
Sehemu za kukutana na kunywa pombe mara nyingi huwa maeneo ya watu kujumuika, kupunguza mawazo, na kupata kampani. Hata kama huna marafiki wa karibu, ni vigumu kujisikia mpweke ukiwa...
Waweza kuingia hata tovuti za Necta kuthibitisha hayo, miaka nenda miaka rudi nafasi za mwisho huwa ni Zanzibar.
Kwa wale wanaofika vuoni ambao asilimia kubwa husomea Bara, uwezo wao ni wa kawaida sana,
Lakini kitakwimu hakuna sehemu ambayo ina watu wengi maofisi ya taasisi kubwa au kwenye...
Mwana demokrasia mahili ni yule anaye kubali kushindwa na kuendelea kushirikiana na walio mshinda
Chaguo alilochagua Mbowe la kukaa kimya na kuwatelekeza walio mshinda, ni wazi siyo sahihi. Chaguo hilo linamtambulisha kama kiongozi asiye kubali kushindwa na mtu wa kununa
Unawezaje kuwanunia...
Ooh hakikisha unaoa mwanamke mwenye bikra,
Mara ooh ukikuta hana bikra, piga chini.
Kama ingekuwa hivyo wengi wenu msingekuwepo hapa duniani.
Mwanamke akiamua kukubadirikia atakubadirikia tu haijalishi ulimkuta sealed au open case kwa maana mindset ipo kichwni na sio ukeni
Acheni utoto.
Ambagile anasema kuwa anaona itakuwa ngumu sana kupata katiba mpya kwa sababu anaona vyama vya siasa vimeanza kugombea agenda kuwa hiyo agenda ya Katiba ni ya chama fulani, anasema Katiba mpya ni ya Watanzania na Si ya CCM, CHADEMA, Waislam, Wakristo, Simba au Yanga.
Anasema ni kama tunaanza...
Kwanza kabisa mimi sioni umuhimu wa mstaafu wa soka kuja nchini kwetu nakumpaisha hivyo halafu kwenye account zake haoneshi yupo Tanzania licha ya kupewa air time za kutosha.
Pia nimesikia hawa watu wakija serikali ni protocol tu lakini gharama haitoi serikali sijajua anatoa nani? Mtu mweyewe...
Naomba kujuzwa ,kwanini kesi ipelekwe kwenye mahakama ambayo haina uwezo wa kusikiliza kesi husika ?
Au utaratibu na protocol za kisheria ndio unataka hivyo. Naombeni wataalamu nisaidie majibu.
Mfano hapa Tanzania,
kuna vyama vya siasa kwa muda mrefu sana, ukiachilia mbali kutumia matusi, vilikua vikijidanganya na kujifariji na picha au video za kutengeneza mitandaoni kuonyesha kwamba eti vina wanachama wengi au wafuasi wengi zaidi na badala yake wakati wa uchaguzi wakaambulia patupu...
Ndugu zangu vita inayoendelea Irani imesababisha upandaji wa bei ya nishati kitu ambacho kimesababisha mfumuko wa bei kwenye bidhaa karibu zote,kwenye uchumi gharama za nishati/mafuta/gas zikipanda lazima bei ya bidhaa ipande.
Kwasasa hali ya maisha kwa upande wa wafanyakazi imekua mbaya zaidi...
Kuna mahala inafika unaona kabisa AI inachukiza sana maana kwa sasa ni ngumu kujua ipi video halisi ipi video ya kutengeneza .
Kwa sasa kila nikiona video hata iwe na uzito kiasi gani nashindwa kuichukulia serious .
Na wengi wanaoongoza kuleta video za AI ni wanaharakati uchwara wasiojielewa...
NB: Table hii haihusiani na bei mpya iliyotangazwa leo. Imetumika tu kujenga hoja.
Jumla ya tozo ambazo zipo kwenye bidhaa ya mafuta ya Petrol na Dizeli kwa kila lita moja ni kama 30% ya bei. Serikali iiangalie namna ya kupunguza tozo hizi hata kwa 50%. Nchi kadhaa za Afrika kama Namibia...