Kijana wa chipsi anahitaji!!

Kiby79

Member
Feb 1, 2021
95
136
Anahitajika kijana wa jikoni,

Awe mtaalam wa kupika chipsi, mishikaki, supu, na mazaga zaga yote kwa ujumla. awe mbunifu, sehemu ya biashara ni Tabata (Dar) ni kwenye bar.

Awe na nia na kazi sio msumbufu!!mimi nitakuunganisha na muhusika, mengine mtaenda kukubaliana mwenyewe, mimi ni mjumbe.
 
Malipo Bei gani, maana chips, supu na mazagazaga yote,, unazungumzia chef, huyo sio kijana wa chips
 
Back
Top Bottom