Tangu mwaka 2000 serikali ya China ilianza kuwahimiza wafanyabiashara kuwekeza katika nchi nyingi duniani ikiwemo nchi za Afrika. Na matokeo yake ni kuwa mwaka 2019 thamani ya uwekezaji wa moja kwa moja wa China barani Afrika ulifikia dola bilioni 44.39, ukiwa ni asilimia 4.7 ya jumla ya...
Toleo la China la Mtandao wa Kijamii wa TikTok linalofahamika kama 'Douyin' litadhibiti matumizi yake hadi dakika 40 kwa siku kwa Watoto walio chini ya umri wa miaka 14
Hatua hiyo inakuja wakati China ikiendelea kuchukua hatua mbalimbali kudhibiti matumizi ya teknolojia kwa Vijana. Mwezi...
Taifa hilo linalegeza kanuni za kusafiri na kufungua Mipaka yake kwa Wasafiri kutoka Uingereza, Umoja wa Ulaya (EU) na Mataifa mengine
Kuanzia Novemba Wasafiri ambao wamepata Chanjo dhidi ya Virusi vya Corona kikamilifu wataruhusiwa. Vizuizi vya kusafiri Nchini Marekani vimekuwepo tangu mapema...
Kuna watu wanafikiri kule China tunaheahimiwa kuliko sehemu nyingine Duniani kama US . Huu sio ukweli tofauti ni kwamba kwasababu US vyombo vya habari viko wazi tunasikia matukio mengi lakini wa China ni wabaguzi mara 100 zaidi
Katika miaka ya hivi karibuni, serikali ya Marekani imetekeleza sera ngumu dhidi ya China, na kusababisha kuzorota kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Jarida la kisiasa na kidiplomasia la Marekani “Maslahi ya Kitaifa” limetoa makala, inayosema serikali ya Marekani inapaswa kuzingatia zaidi...
Ikiwa dunia bado ipo kwenye taharuki ya ugonjwa thakili la COVID-19, nchi mbalimbali zinaendelea kufanya juhudi ya kupambana na ugonjwa huu ili kuhakikisha unatokomezwa kabisa. Mbali na hatua mbalimbali zinazochukuliwa za kuzuia janga hili, nchi za Afrika bado zinaendelea kusuasua na kuonekena...
Kwako mheshimiwa balozi wa China Tanzania
Naamini huu ujumbe utakufikia
Mimi nakuuliza swali, kwa nini ndani ya nchi yenu China kumekuwa na kampeni mbaya kabisa za kibaguzi dhidi ya watu weusi, mnafikia hatua za kuwafundiha watoto wenu chuki.
Kwa nini mnawabrainwash watoto wenu kupitia chuki...
“Msimu wa kutangaza bidhaa za Afrika kwenye mtandao wa internet” wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika kwa mwaka 2021 umezinduliwa hivi karibuni na utaendelea katika miezi mitatu ijayo. Hili ni tunda la mapema lililopatikana kwa China kutekeleza ahadi yake ya kusaidia Afrika kuhimiza...
Poleni na majukumu wana jamiiforum..
Ningependa kufahamu namna y a kufanya malipo kwa supplier wa kichina,maana anahitaji nifanye malipo wa pesa za kichina yani CNY na si usd .
Na ananiuliza km ninaye mtu wa kufanya malipo kwa fedha za kichina sa sijafahamu Apo uzuri.
Hivyo wenye kuelewa haya...
- Wanasema "NUMBERS DONT LIE": Katika list ya mwisho ya MAY 2020, wazi ikionyesha chama cha 10 duniani zenye wanachama kati ya mil 5 mpaka 50: lakini ikiwa ya 12 kwa jumla ya vyama vyote duniani
https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_largest_political_parties
- CCM inapoendelea na sera zake...
Kwa muda mrefu, baadhi ya wanasiasa nchini Marekani wamefanya kila wawezalo kuchafua jina la China kwa kuisema kama ni hatari na kufanya ukoloni mambo leo ili kuharibu uhusiano kati ya China na Afrika. Hata mkuu wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Stephen Townsend...
Mamlaka ya Kudhibiti Michezo ya Video Nchini humo imesema Wachezaji wa Mitandaoni wenye umri chini ya miaka 18 wataruhusiwa kucheza kwa saa moja siku za Ijumaa, Wikiendi na Mapumziko
Kumekuwepo wasiwasi wa muda mrefu juu ya athari za uchezaji uliopitiliza kwa Vijana. Kanuni za awali zilielekeza...
Taifa la China limetangaza kupiga marufuku kwa Mitihani (ya kuandika) kwa Wanafunzi walio na umri wa miaka 6 na 7 ikisema imefanya hivyo kujaribu kuwaondolea Wanafunzi na Wazazi presha kubwa
Wanafunzi Nchini humo wamekuwa wakifanya mitihani kuanzia mwaka wa kwanza wa Elimu ya Msingi hadi...
Ili kulinda wafanyakazi wa kigeni wanaoishi na kusoma nchini China, pamoja na kuwajengea kinga imara dhidi ya virusi hatari vya Corona, China imewapatia chanjo zilizotengezwa ndani wageni wenye umri unaostahiki ambao wapo nchini.
Zaidi ya wataalamu 350,000 hivi saa tayari wameshapatiwa chanjo...
Mwandishi wa riwaya wa Kiingereza Charles Dickens alifungua kitabu chake maarufu cha “Hadithi ya Miji Miwili” (A Tale of Two Cities) kwa kusema “ulikuwa ni wakati mzuri kabisa, pia ulikuwa ni wakati mbaya kabisa.” Sentensi hii inayojulikana sana pia inafaa kuelezea jinsi China na Marekani...
Mamlaka ya Afya Nchini humo leo imesema kwa mara ya kwanza tangu Julai, hakuna maambukizi ya ndani ya COVID-19 yaliyoripotiwa, hali inayoashiria huenda mlipuko wa hivi karibuni umedhibitiwa.
Tangu Julai 20 zaidi ya watu 1,200 walithibitishwa kupata maambukizi ya Virusi vya Corona China. Hata...
Watanzania waelewe, serikali haina vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kodi ya Watanzania.
Watanzania tunataka maendeleo,barabara nzuri,reli,umeme, shule,hospitali, miji iliyopangika,maji, serikali yenye ufanisi,ulinzi na usalama,lakini ili upate vitu hivyo lazima ugharamikie kwa tozo na kodi...
Katika muda wa miaka 20 iliyopita China imejitokeza kuwa msaada mkubwa kwa nchi nyingi duniani, hasa nchi za dunia ya tatu ambazo kwa muda mrefu zimekuwa wahanga wa unyonyaji, kupuuzwa na ukandamizaji.
Lakini kujitokeza kwa China na kuwa na sauti kwenye jukwaa la kimataifa, iwe ni kwenye eneo...
Na Ronald Mutie
Chama cha Kikomunisti Cha China sio tu kimesaidia nchini hiyo kufikia muujiza wa maendeleo ya kiuchumi lakini pia China imekuwa mchangiaji mkubwa kwa maendeleo ya ulimwengu, amani na utulivu.
Mkuu wa Tume ya Uhusiano wa nje wa Chama cha Kikomunisti cha Kamati Kuu ya Vietnam...
Hivi karibuni televisheni ya Marekani ya CNN ilitoa makala yenye kichwa cha “mjomba wangu anayeishi Kenya alikufa kwa COVID-19 kwa sababu ya kutopata chanjo, lakini naweza kuchanjwa katika duka la dawa nchini Marekani”, ikisimulia upatikanaji wa chanjo usio na usawa duniani, hali ambayo inaitwa...