china

  1. JamiiForums Tanzania Ndege ya China Boeing -737 Jetliner imepata ajali ikiwa na abiria 133

    Ndege aina ya Boeing-737 iliyokuwa imebeba watu 133 ilianguka kwenye milima kusini mwa mkoa wa Guangxi nchini China Jumatatu alasiri, na moto ukionekana kwa mashuhuda waelezao, kulingana na shirika la utangazaji la serikali ya China CCTV. Vikosi vya waokoaji viko njiani kuelekea eneo la ajali...
  2. JamiiForums Tanzania China yaita kitendo cha Meli ya Kivita ya Marekani kupita katika lango la bahari linalotenganisha China na Taiwan kuwa cha kichokozi

    Jeshi la China limeripoti kama kitendo Cha uchokozi dhidi ya China, baada ya destroyer Raph Johnson (meli ya kivita) ya Marekani kupita katika lango la bahari linalotenganisha China na Taiwan (Taiwan strait). Jeshi la China limelaani/kulaumu KITENDO hicho Cha Marekani Huku likiongeza kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara ya kuagiza vitu China

    Habari, Nimepitia kwenye mitandao mingi kama ebay, aliexpress na mingineyo ya kuagiza vitu toka China hivyo kuwa interested na kujaribu kuanza biashara hii. Ombi langu ni ushauri/uzoefu/changamoto, ni biashara gani/bidhaa gani zinalipa kwa sasa kuanza nazo,ninatarajia kuuzia zaidi online...
  4. JamiiForums Tanzania Biden amtaka Rais Xi wa China kutoisaidia Urusi

    Rais wa Marekani Joe Biden amemuonya mwenzake wa China Xi Jinping juu ya athari zitakazoikabili Beijing, endapo itatoa msaada wa vifaa kwa Urusi katika uvamizi wake nchini Ukraine. Biden ametoa onyo hilo wakati wa mazungumzo kwa njia ya video na rais Xi juu ya mzozo wa Ukraine. Msemaji wa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Shughuli za walemavu zapata maendeleo nchini China

    Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing imefungwa tarehe 13 Machi. Kama kioo, michezo hiyo haioneshi tu moyo wa kujiendeleza wa walemavu, lakini pia inaonyesha mafanikio ya shughuli za walemavu nchini China. Katika Michezo hiyo, wanariadha wa China walishinda medali 18 za...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini demokrasia ya watu ‘ya mchakato mzima’ ya China inafanya kazi?

    Ni jambo lisilopingika kwamba demokrasia ni thamani inayotafutwa na binadamu wote bila kujali tofauti za tamaduni na mipaka ya nchi, na haiwezi kukiukwa. Lakini kwa sababu za kihistoria, haki ya kutafsiri na kueleza demokrasia imekuwa mikononi mwa nchi za magharibi, ambazo zinaona kuwa ni haki...
  7. S

    JamiiForums Tanzania China aichumbia gesi ya Russia inayouzwa nchi za Ulaya

    China imeazimia kutotegema tena gesi asilia toka kwa mataifa pinzani, ambayo ni Marekani na Australia. Na badala yake inawekeza ktk project ya kujenga bomba jingine jipya la gesi toka Russia ili kuongeza zaidi kiwango cha gesi inayonunua toka Russia. Bomba la awali (lililopo sasa) hupeleka gesi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Bunge la umma la China Una umuhimu kwa Afrika

    Na Tom Wanjala Ikiwa nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, China husaidia kutunga sera na kutoa ajenda ambazo zimechangia kutoa mwelekeo wa masuala mbalimbali. Mkutano wa Bunge la Umma la China ulioanza tarehe tano mwezi Machi na kumalizika tarehe 11 mwezi Machi mwaka huu, ulifuatiliwa kwa...
  9. JamiiForums Tanzania China ina mpango wa kuichukua Taiwan kama Urusi inavyotaka kuichukua Ukraine?

    Jana nilikuwa na mazungumzo na mchina mmoja juu ya mgogoro unaondelea baina ya Urusi na Yukrein. Kubwa kabisa nilimuuliza, ni kwanini uChina haitaki kumchukulia hatua kali Urusi ili kuonyesha kupinga anachokifanya Yukrein ambacho ni kitendo haramu cha uvamizi? Akajibu kwamba anachofanya Putin...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mikutano Miwili ya China yazingatia kulinda haki na maslahi ya wanawake

    Pili Mwinyi Kwa miaka mingi China imekuwa ikiimarisha sheria na kanuni zake zinazomhusu mwanamke, kukuza sera za umma, kufanyia kazi mipango ya maendeleo na kuendeleza masuala ya usawa wa kijinsia na maendeleo ya wanawake. Katika mikutano miwili inayofuatiliwa sana nchini China, ulinzi wa haki...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake wapata maendeleo makubwa nchini China

    Wakati dunia inapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, mwanaanga wa China Bibi Wang Yaping, ametoa salamu kutoka kwenye Kituo cha Anga ya Juu cha China, akiwatakia wanawake wote duniani ulimwengu “wafuate nyota inayong’aa zaidi kwa ajili ya maisha na kazi wanayopenda.” Kutoka “kufunga...
  12. JamiiForums Tanzania Kama bado tuna ushirikiano thabiti wa kidiplomasia na China na Urusi Basi kuwa mpinzani ni uhaini na upinzani hautakuwa huru kamwe

    Demokrasia ya kupokezana madaraka kwa wajamaa ni kitu kisichoeleweka kabisa. Ingawa kwa shinikizo za kimataifa angalau China mwaka 1980 waliweka ukomo wa urais kuwa vipindi viwili. Na Russia 1992 vilevile. Lakini anayeyapokea lazima atokee chama tawala na mtiifu kwa Rais aliyepita. Angalau...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya mabeberu kufanikisha kupata sababu za kuiwekea vikwazo Urusi, mbinu kama hiyo itatumika kuiwekea vikwazo CHINA kwa kuitumia TAIWAN

    Kinachoendelea kati ya URUSI na UKRAINE, kitatokea tena kati ya CHINA na TAIWAN. Mabeberu wataichokonoa sana CHINA kwa kuitumia TAIWAN kama walivyoitumia UKRAINE. Japo kwa TAIWAN kuona jinsi mabeberu walivyoitosa UKRAINE labda wanaweza kushtuka wasiingizwe choo cha kike kama alivyoingizwa...
  14. JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Tanzania si sawa na demokrasia ya China wala Marekani

    DEMOKRASIA YA TANZANIA SIYO YA CHINA WALA MAREKANI. Na Elius Ndabila 0768239284 Kufananisha demokrasia ya Tanzania na nchi za USA, UK, CHINA, KOREA ni kuikosea Tanzania. Tanzania ni nchi ambayo haifungamani na Ubepari Wala Ujamaa. Huwezi kusema Tanzania kunaminywa demokrasia kwa kurejea rejeo...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Michezo ya majira ya baridi kati ya walemavu yaendelea kwa kasi nchini China

    Baada ya China kupata nafasi ya kuwa mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing, michezo ya majira ya baridi ya walemavu imeendelezwa kwa kasi nchini China. Katika miaka 6 iliyopita, shule nyingi maalumu kwa ajili ya walemavu zimeanzisha masomo ya michezo ya...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya China yaimarisha kilimo vijijini barani Afrika kwa pembejeo nafuu na bora

    Na Kelly Ogome Zaidi ya nusu ya wakazi wa Afrika wanategemea kilimo. Ripoti ya benki ya dunia ya mwaka wa 2018 inaeleza kuwa asilimia 4% ya pato jumla la dunia linatokana na kilimo, huku nchi zinazoendelea kama za Afrika zikitegemea kilimo kwa zaidi ya asilimia 25%. Aidha ukame, mvua kidogo...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mitaa ya Beijing yawa na mazingira ya kukaribisha Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing

    Wakati Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing ikikaribia, mitaa ya Beijing imeanza kuwa na mazingira ya shamrashamra kwa michezo hiyo. Kazi mbalimbali za maandalizi ya viwanja vya michezo, utoaji wa huduma, utangazaji n.k zote zimemalizika.
  18. L

    JamiiForums Tanzania China yasaidia Pembe ya Afrika kukabiliana na ukame

    Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) limeonya kuwa eneo la Pembe ya Afrika linakabiliwa na ukame mbaya zaidi tangu mwaka 1981, na takriban watu milioni 13 wanakumbwa na njaa. Katika miaka ya hivi karibuni, China imetuma wataalamu wengi wa kilimo barani Afrika ili kulisaidia...
  19. L

    JamiiForums Tanzania China yafanikiwa kurusha satelaiti B ya kundi la kwanza la mfumo wa L-SAR kwa ajili ya kufuatilia majanga ya asili

    Saa 7:44 Februari 27, China ilifanikiwa kurusha satelaiti B ya kundi la kwanza la mfumo wa satelaiti wa L-SAR kwa kutumia roketi ya Long March 4C kutoka kwenye Kituo cha Kurushia Satelaiti cha Jiuquan. Pamoja na kazi nyingine, satelaiti hiyo itatumiwa hasa kufuatilia mazingira ya kijiolojia...
  20. S

    JamiiForums Tanzania China yapinga vikwazo vya US na EU dhidi ya Russia, yasema itaendelea kufanya biashara na Russia

    Wizara ya Mambo ya nje ya China imesema China yapinga vikwazo vilivyowekwa vya kujiamulia na Marekani na Jumuia ya nchi za Ulaya dhidi ya Russia. Msemaji wa Wizara hiyo amesema kuwa vikwazo hivyo havina msingi wowote ktk sheria za kimataifa. ======...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…