china

  1. L

    Kuwa na kilimo cha kisasa ni lengo la pamoja la China na nchi za Afrika

    Mkutano Mkuu wa Kazi Vijijini wa China ulifanyika wiki hii mjini Beijing. Katika miaka ya hivi karibuni, imekuwa desturi kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC kuitisha mkutano kama huo baada ya mkutano mkuu wa kazi za kiuchumi kila mwezi Desemba ili kupanga kazi kuhusu kilimo, vijiji na...
  2. China wamekataa kujiunga na Jeshi la Bahari Nyekundu linaloongozwa na Marekani

    Wanaukumbi. The United States announced it will coordinate joint patrols with allies to guard commercial ships in the Red Sea as the region comes under repeated attacks from Yemeni Houthi militias. China did not join the coalition, named Operation Prosperity Guardian. It includes the EU, NATO...
  3. China: Tetemeko la Ardhi laua Watu 116

    Tetemeko la Ardhi lenye ukubwa wa 6.2 Richa limesababisha vifo vya Watu 105 katika Jimbo la Gansu, vifo 11 katika Jimbo la Qinghai na kujeruhi wengine 250. Imeeleza kuwa Nyumba 4,782 zimeathirika na zoezi la uokoaji linaendelea. Mamlaka za Serikali zimetoa angalizo kuwa mitetemeko zaidi...
  4. L

    China ataiua US kwa presha, katangaza Kirin 9006C(chip) ya 5nm tech

    Huawei anazidi kuishangaza dunia na kuonyesha kuwa sanctions hazifanyi kazi. Baada ya kuwashangaza na simu zenye socs alizounda mwenyewe na ambazo demand ni kubwa kuliko hata uzalishaji wake kitu ambacho kilifanya US azidi kukaza vikwazo na watu wabaki midomo wazi maana walitegemea kwa nguvu...
  5. L

    Nchi sita zaidi za Afrika kunufaika na soko la China

    Kuanzia tarehe 25 Desemba mwaka huu Angola, Gambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Madagascar, Mali, na Mauritania zitaungana na nchi nyingine za Afrika zenye uhusiano wa kidiplomasia na China katika kunufaika na soko la China kwa asilimia 98 ya bidhaa zake za kilimo kuingia bila kutozwa...
  6. L

    China na Afrika zinajitahidi kutafuta njia zao za maendeleo

    Tarehe 18 Desemba ni siku ya maadhimisho ya miaka 45 tangu sera ya mageuzi na ufunguaji mlango ianze kutekelezwa nchini China. Katika kipindi hicho, China sio tu imefanikiwa kujiinua kiuchumi, na mafanikio yake kuwa dhahiri kwa wote, bali pia imetoa usaidizi mkubwa kwa maendeleo ya Afrika na...
  7. L

    Sintofahamu ya siasa za ndani nchini Marekani ni chanzo kikuu cha wasiwasi wa uhusiano wa China na Marekani katika siku zijazo

    Mwelekeo wa uhusiano kati ya China na Marekani umewekwa wazi katika masuala ya kulegeza, kutuliza na kurejesha uhusiano huo. Jamii ya kimataifa ina matumaini kuwa, uhusiano kati ya nchi hizi mbili kubwa kiuchumi duniani utatulia, na utasonga mbele badala ya kurudi nyuma, kwani utulivu wa...
  8. L

    Ziara ya Rais wa China nchini Marekani yaongeza utulivu katika uhusiano wa nchi hizo mbili

    Mwezi uliopita, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara rasmi nchini Marekani, ambako pia alihudhuria mkutano wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia na Pasifiki (APEC) uliofanyika mjini San Fransisco. Katika ziara hiyo, rais Xi alikutana na mwenyeji wake, rais Joe Biden wa Marekani, na kufanya...
  9. Kufuata Bidhaa hapo China kusikufanye ukajiona umeyapatia maisha ukadharau watu!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kama kuna watanzania ambao wanajiona wameyapatia maisha kuliko watanzania wote,basi ni hao wanaofuata bidhaa hapo China!. Aisee,asikwambie mtu jamaa wanajiona wako matawi kinoma!. Bidhaa zenyewe mnaleta feki na kama ni nguo basi ni midosho ya kufa...
  10. U.S-CHINA Tech War: China kuzuia uuzwaji wa madini adimu ya vifaa vya kielekitroniki kwenda marekani

    Huku mbiringe mbiringe zikiendelea baina ya Wamarekani na Wachina katika kugombania utawala wa kiteknolojia katika miaka na karne zijazo kaa nami karibu katika kukuletea taarifa mbalimbali kuhusu mtifuano baina ya Marekani na China kiteknolojia. Je, ni taifa lipi litaibuka mshindi na mtawala wa...
  11. Nataka kuitembelea China

    Ni shauku yangu kufanya hivyo! Ikimpendeza Mungu, nitaenda huko mwakani. Lengo la safari ni utalii wa kuangalia fursa za kibiashara, hasa bidhaa zinazopatikana kwa wingi huko zinazohitajika sana Tanzania. Na, kama wasemavyo, "mwenda bure si sawa na mkaa bure", huenda katika hiyo ziara...
  12. L

    China yaisaidia Afrika kupunguza nakisi yake ya kibiashara na China

    Baraza la serikali la China hivi karibuni limetangaza kuwa, China itasamehe ushuru wa asilimia 98 wa bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi sita za Afrika, zikiwemo Angola, Gambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Madagascar, Mali, na Mauritania, kuanzia Desemba mwaka huu. Hii ni moja ya hatua...
  13. U.S.A VS China Tech War

    Illustration: Stephanie Davidson Business A New Front Is Opening Up in the US-China Conflict Over Chips The emerging field of advanced packaging is being hailed as an inflection point for the semiconductor industry. China is moving in on the same arena. By Jane Lanhee Lee, Ian King, Mackenzie...
  14. F

    CHINA wana viwanda vya kumwaga, wanatengeneza kila kitu ila bado Graduates hawapati ajira. Elimu ya chuo kikuu ni SCAM, degree hazina dili

    habari wadau. nimeona BBC article kuhusu soko la ajira la china. nimejifunza zama hizi kumsomesha mtoto chuo kikuu tena digrii zisizo za skills based, kama ufundi ni kuchezea hela. kuna siku mwanao atakulaumu kwa mnaojua kiingereza ama kizungu. mjisomee na nyinyi With Graduate Jobs Scarce...
  15. China Secretly Transforms Huawei Into Most Powerful Chip War Weapon

    Source: Bloomberg Subscribe China Secretly Transforms Huawei Into Most Powerful Chip War Weapon The government is increasingly relying on Huawei — the company Washington tried to destroy — to lead the country’s efforts to build an independent semiconductor ecosystem. By Bloomberg News...
  16. Tufani la Alaqsa kuziangusha Marekani na Israel na kuzipindua nchi zote za kiarabu. Palestina kuwa taifa kubwa mbele ya Urusi na China

    Mipango ya mezani ya Israel wanayoiita baada ya vita inawafurahisha mno wafuasi wa Israel na mayahudi kote duniani.Mipango hiyo kwa upande wa pili kama inawatia huzuni wapenda haki kote duniani. Israel ikiendelea na mashauriano na mwenzake,Marekani wameweka mezani mikakati kadhaa ambayo...
  17. China life tight sana

    https://youtu.be/veuB84axpCc?si=ZnVWZA9ORNMe8NjB
  18. Iran kwa mara ya kwanza imefanya jambo kwa US ambalo China na Russia hawajawahi kuonyesha uwezo wa kufanya

    Iran imerusha drones zake na kurekodi misafara ya meli kubwa za kivita za Marekani. https://x.com/EbneHava/status/1729892586578452954?s=20 Wachambuzi wanasema huu ni mwanzo wa kufeli kwa ubabe wa US kwenye maji. Kama drone zimekaribia na kuchukua picha kwa kuzoom karibu muda mrefu, basi...
  19. L

    China yaungana na Afrika katika mapambano dhidi ya UKIMWI kwa kutoa mafunzo kwa wataalamu wa Afrika

    Ikiwa tarehe Mosi Disemba ni siku ya Ukimwi duniani, mbali na kwamba dunia inakumbwa na majanga ya magonjwa mengine lakini janga la Ukimwi bado halijasahauliwa. Nchi mbalimbali zimekuwa na mipango ya kuhakikisha zinatokomeza kabisa ugonjwa huu. Wanasayansi wa sehemu mbalimbali wamekuwa wakikuna...
  20. L

    Ushirikiano kati ya Benki za Exim za China na Afrika kutoa msukumo kwenye ushirikiano wa kibiashara kati ya China na nchi za Afrika

    Benki ya Exim ya Afrika (African Export-Import Bank) na Benki ya Exim ya China (China Export-Import Bank) wamesaini makubaliano yanayoifanya Benki ya Exim ya China kutoa mkopo wa dola milioni 600 kwa Benki ya Exim ya Afrika, kwa ajili ya kufadhili mikopo na miamala ya fedha za biashara. Hatua ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…