china

  1. JamiiForums Tanzania Elon Musk angekuwa China asingeendeleza hivi vituko vyake yeye na Trump

    Huyu tajiri Elon na tajiri mwenzake Trump waliovamia siasa na kuziendesha vile watakavyo wao sioni kama watakuwa na mwisho bora. Kwa siasa za China Trump asingefika hata hapa alipofika tena huyu chawa wake Elon muda huu nina uhahika angekuwa Jack Ma wakimarekani. Nakumbuka Jack Ma naye alianza...
  2. JamiiForums Tanzania CIA walitumia wa Uyghurs kuiharibu China na kumuondosha Assad Kanali wa US anatoa siri

    Huyu kanali wa US anatoa siri kuwa US kupitia CIA waliwatumia wa Uyghurs katika jimbo la Xinjiang ili kuiharibu China kwa ndani utokee mvurugano ili waweze kuidhibiti China. Pia anasema wanatumia military power kuharibu mpango wa China wa B.R.I pia kagusia suala la US kupeleka majeshi...
  3. D

    JamiiForums Tanzania China ni kama maji usipoyaoga utayanywa - India yasitisha ununuzi wa drone

    India ina mgogoro wa mpaka na China. Sasa ilikuwa imeeweka oda ya drone 400 kwenye makampuni yake ya ndani kwa ajili ya usafirishaji wa vifaa kwa majeshi yaliyo mpakani. Sasa imekuja kugundua hizo drone zina vifaa kutoka China. Inadaiwa uchunguzi wao ulianza hapo awali baada ya drone zao za...
  4. JamiiForums Tanzania Pato la China ni dogo sana ndio maana Wachina wanakuja Tanzania kufanya biashara ndogondogo

    Pato la China la mtu mmoja mmoja ni USD 12,614 kwa mwaka. Hiyo ni sawa na Tsh 32,333,075 kwa mwaka. Pato la mchina kwa mwezi ni Tsh 2,694,422. Tunaweza kusema pato la asilimia kubwa la wachina kwa mtu mmoja mmoja ni Millioni 2.69 ambapo kila siku pato lake ni Tsh 89,814. Ukipiga hesabu za...
  5. JamiiForums Tanzania China yamjibu Trump inatoza ushuru wa 15% kwa Makaa ya mawe ya Marekani na Natural gas na bidhaa zingine

    Wanaukumbi. Hong Kong CNN — Beijing announced a broad package of economic measures targeting the United States on Tuesday, hitting back after US President Donald Trump imposed 10% tariffs on Chinese imports. The fresh duties, announced by China’s Ministry of Finance, levy a 15% tax on certain...
  6. JamiiForums Tanzania Mauzo ya tiketi za filamu katika sikukuu ya Mwaka Mpya wa China yaweka rekodi mpya na kunyakua nafasi ya kwanza duniani

    Takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Filamu ya China zinaonesha kuwa hadi kufikia Februari 3, mauzo ya tiketi za filamu katika kipindi cha sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa 2025 yamefikia yuan bilioni 8.02 na kuweka rekodi mpya ya kihistoria. Kwa mujibu wa takwimu hizo, filamu ya katuni...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jumuiya wa Watanzania Waishio Nchini China wamuunga mkono Rais Samia kugombea tena 2025

    Katibu Mkuu wa Jumuiya wa Watanzania Waishio Nchini China, Alawi Abdallah, ameeleza azimio la jumuiya hiyo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu. Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025 Alawi ameeleza kutoa tamko...
  8. JamiiForums Tanzania DeepSeek ni AI iliyokunywa maji ya bendera ya chama cha Kikomunisti China

    Hii AI ikiulizwa masuala ya siasa za China zenye utata inapatwa kigugumuzi cha ghafla.
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi China Inavyo iendesha Marekani , Kwa hili US Imechemka .

    Marekani iliwafungia China katika kila kona ili kuibana na kuzuia kwa hofu ya kupitwa … kiuchumi, siasa hata Teknolojia lakini hadi sasa marekani haiamini kilicho tokea China Imegeuza meza …! …….kivipi ? Pause …. Naitwa Mkisi mtaalamu wa teknolojia na vifaa vya kidigitali. Tupo Kariakoo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwa USA: Ni ujinga kutoa misaada halafu tunapelekea pesa China, waarabu, Urusi na Uturuki

    Mange yupo sawa kwa hili https://youtu.be/wMER57zVsfg?si=ZIhQ0ZUpmoGYodnJ Miradi ya treni yote na barabara badala ya kutoa kwa kampuni za Tanzania badala yake wanatoa kwa China
  11. JamiiForums Tanzania Kampuni ya China Tanzania Security yafafanua madai ya Walinzi wa Vituo vya Mwendokasi kutolipwa mishahara ya miezi mitatu

    Uongozi wa Kampuni ya China Tanzania Security umetoa ufafanuzi kuhusu madai ya Mwanachana wa JamiiForums.com aliyeandika kuwa wafanyakazi wa ofisi hiyo ambao ni Walinzi wanaosimamia Vituo kadhaa vya Usafiri wa Mabasi ya Mwendokasi hawajalipwa mishahara kwa muda wa miezi mitatu na kuwa wakidai...
  12. JamiiForums Tanzania Trump amekuwa akituonea sana Waafrika akidhani hatuwezi kumpangia masharti, tuna uwezo wa kumnyima malighafi tuamue kuwapa Japan, China au Germany

    Trump amekuwa akituonea sana Waafrika akidhani hatuwezi kumpangia masharti, tunauwezo wa kumnyima malighafi tuamue kuwapa Japan, China au Germany Trump amekuwa akituchukulia Waafrika kama wajinga flani hivi akidhani sisi ni dhaifu sana anaweza kutunyanyasa anavyotaka yeye na tusiweze kufurukuta...
  13. JamiiForums Tanzania JE NI KWELI CHINA ni nchi inayoendelea???

    Guys me sielewi kabisa hii statement Wale wajuzi wa mambo ya uchumi mjeni hapa kwenye comment Wekeni nondo hizo na sisi ambao hatujui tuzijue Tusije tukawa tunalishwa matango pori. Kwa china nayoona ile sehem kama Shanghai Beijing 🔥 lakini kuna watu wanasema ni DEVELOPING duh ni atare Ok...
  14. JamiiForums Tanzania China hana ubavu wowote mbele ya Marekani makampuni yote ya simu na computer yapo chini ya Marekani

    Yaani leo nmegundua China hamiliki kampuni yoyote ya simu wala computer kwasababu simu zake ili zifanye kazi lazima zikaruhusiwe na watu wa Google huko Marekani. Yaani Google ndio wadhibiti wa simu za China. Computer pia lazima aende Marekani kwa watu wa Microsoft Marekani ili waziruhusu...
  15. JamiiForums Tanzania Baada Marekani kujitoa katika misaada ya bure duniani, haya basi China iliyokuwa inajitutumia ije!

    Marekani baba lao. Baada ya Trump kuanza kuwarudisha makwao waamiaji haramu na kusitisha misaada ya bure kupitia USAID na kujitoa WHO, dunia nzima inalia na kumlalamikia Trump kuwa sio mtu! Kila mtu amalize mechi zake vinginevyo China sijui Urussi ijitokeze! Fyooooooh!
  16. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la kwanza la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China larushwa hewani baada ya Sikukuu hiyo kuorodheshwa kuwa “urithi wa utamaduni usioshikika”

    Tarehe 28 Januari ni mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China. Kama ilivyo desturi, saa 2 kamili usiku kwa saa za Beijing, tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China ambalo linaandaliwa na Shirika kuu la utangazaji la China CMG linalojulikana kama “Chunwan” linarushwa hewani kwa ajili ya...
  17. JamiiForums Tanzania China inatumia Tiktok kuadvance agenda zake kimataifa kwanini Tanzania isitumie app za ndani kama JamiiForums Kudominate Global tech??

    Wakuu nauliza tu!! Kulingana na dunia inavo enda Tech giant zinapewa pesa na serikali zao kusambaza ajenda na maslahi ya nchi zao!! Tanzania tuna ajenda nyingi ambazo tunaweza kuzitumia tech zetu hata kama ndogo kuadvance kwene uso wa dunia Mfano ni hii JamiiForums ambayo mizizi yake ni hapa...
  18. JamiiForums Tanzania Je, marekani itaweka zuio kwa kampuni ya China ya AI [Deepseek] ili kulinda makampuni yake ya ndani ya Artifical Intelligence[AI]

    Kampuni ya AI kutoka China ya Deepseek imezua gumzo katika vyombo vya marekani hivi karibuni kwa toleo lenye uwezo mkubwa Hali hiyo imeleta hofu kwa makampuni ya marekani katika soko na ushindani,je serikali ya Marekani itachukua hatua za haraka kudhibiti hali hii Je, huu utakuwa muendelezo wa...
  19. JamiiForums Tanzania Uchumi wa China wakua kwa asilimia 5 mwaka 2024 ukikabiliwa na changamoto mbalimbali

    Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Takwimu ya China zinaonesha kuwa, mwaka 2024 pato la Taifa la China lilikua kwa asilimia 5, na kufikia yuan trilioni 134.9, sawa na dola trilioni 18.94 za Marekani. Katika mwaka uliopita, licha ya changamoto za nje na ndani, China ilifanikiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Marekani Kujitoa WHO ni vita vya kiuchumi na China

    Marekani kujiondoa WHO ni kama kete ya kuiachia mzigo wa gharama China inayotaka kujipanua kiuchumi duniani. Wakati marekani ina watu milioni 400 , China ina watu 1.5 bilioni lakini inachangia kidogo zaidi katika WHO kuliko Marekani. Marekani inaona kama inabeba mzigo mkubwa pekee wakati China...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…