china

  1. JamiiForums Tanzania Nina ndoto, siku moja Ulaya, Marekani na China watakuja kuwa chini ya Afrika

    Ndiyo, Waafrika wana uwezo wa kufanikiwa kwa kiwango sawa na watu wa makabila yoyote duniani, ikiwa ni pamoja na Wachina. Akili na uwezo wa binadamu haujalimwa na rangi ya ngozi, asili, au eneo la kijiografia. Mafanikio ya kielimu, kiuchumi, na kiteknolojia hutegemea zaidi na fursa, mazingira...
  2. JamiiForums Tanzania Critical Minerals and the U.S.-China Trade War

    Dr. Umud Shokri Energy Strategist & Senior Visiting Fellow at George Mason University, U.S. The U.S.-China trade war grew more intense in 2018 due to several factors, including concerns about trade imbalances, intellectual property theft, and restrictions on market access. These issues led to...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kesho Jumatatu Iran itafanya mazoezi makubwa sana ya kijeshi na Urusi na China ikiwa ni maandalizi ya utayari

    Wadau hamjamboni nyote? Joint naval drills organized annually between Iran, Russia and China will start tomorrow in the southeastern Iranian port of Chabahar, Iran’s Tasnim news agency reports.
  4. JamiiForums Tanzania Kuna kiwanda nimewambia niwape mteja kutoka china wa mazao !! Meneja kagoma kasema wao hawafanyi kazi na mtu binafsi na middle man??

    Nimeshtuka kuona waafrika wana hizi mindset. Yaan yupo radhi aachie dili ya mamilioni kisa tu uliyeleta hiyo dili ni mtu binafsi!! We manager ni zero brain kabisa!! Najua huu uzi utausoma NB: Nadhan angekua ni mwenye kiwanda asingefanya huu ujinga
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkutano wa kujadiliana kwa pamoja fursa mpya kutokana na uchumi wa China wa CGTN Kiswahili wafanyika Nairobi

    Mkutano wa “Kujadiliana kwa pamoja Fursa Mpya kutokana na Uchumi wa China” ulioandaliwa na Idhaa ya Kiswahili ya Kituo cha Kimataifa cha Televisheni cha China (CGTN) cha Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) umefanyika tarehe 6 mjini Nairobi, Kenya. Katika mkutano huo, wataalamu wa masuala...
  6. X

    JamiiForums Tanzania China vs U.S Trade War: China yaijibu Marekani. Imeongeza kodi katika bidhaa za Marekani na zuio la kampuni za Marekani kufanya biashara na China.

    China suspends soybean imports from three US companies, including Louis Dreyfus, one of the world’s biggest agricultural trading companies. More than half of all soybean exports from the US go to China. (60-65% of US soybean export is to China!) China imposes retaliatory tariffs on...
  7. JamiiForums Tanzania Mikutano Miwili ni maua ya demokrasia yanayochanua katika ardhi ya China

    Mikutano Miwili Mikubwa ya China, ambayo ni Mkutano wa Bunge la Umma la China na Mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China inafanyika hapa Beijing, na wajumbe zaidi ya 5,000 wanakutana na kujadili masuala ya mbalimbali ya kitaifa. Kama njia muhimu ya kutekeleza demokrasia ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ushuru wa USA kwa Canada, Mexico na China vimeanza kufanya kazi rasmi

    Baada yakusitisha kwa mwezi mmoja, Trump kasema Canada na Mexico hawajafanya lolote kuboresha hali ya mipakani. Basi ushuru wa 25 percent kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico umeanza kufanya kazi rasmi. China imeongezewa ushuru kufikia asilimia 20, toka 10. Waziri mkuu wa Canada ameongea na...
  9. JamiiForums Tanzania China wako vizuri sana kwenye kiingereza. Yani walivyomjibu Trump kwenye tarrifs, nimewakubali

    Baada ya Rais Trump wa Marekani kuiongezea china Terrifs kwenye bidhaa zake kutoka asilimia 10 hadi ishirini. Nao wamejibu kuiongezea bidhaa za marekani asilimia 15. Bidhaa za marekani ambazo china zimeongeza teriffs hadi asilimia 15 ni sorghum (ulezi), soybeans, pork (kiti moto), beef...
  10. JamiiForums Tanzania Amkemi Watanzania: Kina Tundu Lissu na Makelele ya Katiba Mpya Hayawezi Kutuokoa – China Imetoa Mwongozo wa Namna ya Kufikia "Nchi ya Ahadi"

    Kwa zaidi ya miongo mitatu, mjadala wa Katiba mpya umekuwa gumzo kuu katika siasa za Tanzania, huku wanasiasa kama Tundu Lissu wakijaribu kuwashawishi wananchi kuwa bila Katiba mpya, maendeleo hayawezekani. Wanapiga kelele kwamba mabadiliko ya Katiba ndiyo yatakayotoa mwanga wa ustawi wa Taifa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nipeni chimbo la spear za pikipiki, sitaki kwenda china

    Nataka kuanzisha duka la spear za pikipiki,Bajaj hapa jombe na mbeya . Ila sina muda wa kusafiri kwenda china so nataka niwe naagiza spear hapa hapa Tanzania , wapi napata chimbo la spea kwa Bei kitonga , mikoa ya huku nimestudy mbeya na jombe, iringa wote wanagiza spear dar ila wanafanya...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Meli vita za China zinafanya mazoezi halisi ya moto katika pwani ya Australia. Serikali ya Australia ijifunze yaliyoikuta Ukraine

    Hili ni onyo kwa Australia ambayo ni "the U.S vassal state" kibaraka wa Marekani. Kwa nini China ipeleke meli zake 3 za kivita pwani ya Australia na kufanya mazoezi hayo kati kati ya Australia na New Zealand kwenye bahari ya Tasmania? Chinese exercises 150km from Sydney Ikumbukwe kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Popo mwenye uwezo wa kuambukiza corona amegundulika huko China.

  14. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa China watoa maarifa ya kujikinga na magonjwa kwa wanafunzi wa Zanzibar

    Kengele ilipolia katika Skuli ya Sekondari ya Simai iliyopo Pemba visiwani Zanzibar, wanafunzi darasani walichangamka wakiwa na hamu kubwa. Wataalamu wa China kutoka timu ya mradi wa kuzuia kichocho walikuwa wamefika kutoa mafunzo maalumu ya afya kuhusu kuzuia kichocho, ugonjwa unaodhoofisha wa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Timu ya madaktari wa China nchini visiwani Zanzibar yaleta mwanga wa matumaini kwa mama wa miaka 70

    Akiwa na umri wa miaka 70, Tuma Saidi Hamadi kutoka kisiwa cha Pemba, Zanzibar alikuwa katika hatihati ya kupata upofu, lakini maisha yake yalibadilika ghafla baada ya kikundi cha 34 cha timu ya madaktari wa China kumfanyia upasuaji wa mtoto wa jicho na kurejesha uwezo wake wa kuona. Safari ya...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Tanzania wafanyiwa upasuaji wa moyo kwa mafanikio kwa kutumia teknolojia mpya iliyoanzishwa na China

    Machozi ya furaha yalitiririka mashavuni bila kujizuia baada ya Husna Shabaan Kingwande alipofahamu kwamba upasuaji wa moyo wa mtoto wake Ikram mwenye umri wa miaka mitatu ulifanyika kwa mafanikio. Upasuaji huo uliofanyika katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyojengwa na Wachina...
  17. JamiiForums Tanzania USAID ya China yaanza kuwika Afrika, yagawa msaada wa msosi Zimbabwe

    Inaitwa China International Development Cooperation Agency (CIDCA). Imegawa msaada wa chakula kwa Zimbabwe, tusiwachukulie poa Wachina, kumbe wanalisha Africa pia tofauti na kuwa soko la lao la bidhaa na sehemu ya kuvuna rasilimali!
  18. JamiiForums Tanzania China ni maswahiba wa Urusi ila raia wake wamajaa Marekani kuliko Urusi!

    Ilitegemewa kutokana na urafiki mkubwa na ujirani uliopo kati ya China na Russia basi raia Wachina wangejaa kwa wingi zaidi Russia kuliko sehemu nyingine ila hali ni tofauti kabisa. Kuna raia takribani milioni tano na nusu wa China nchini Marekani wanoishi na kufanya kazi huko wakati kuna raia...
  19. X

    JamiiForums Tanzania Trump anataka Marekani, China na Urusi zipunguze nusu ya bajeti zao za ulinzi. Pia anapenda Urusi irudishwe kwenye G7

    "Moja ya mikutano ya kwanza ninayotaka kufanya ni pamoja na Rais Xi wa China, Rais Putin wa Urusi, na ninataka kusema, tupunguze nusu ya bajeti zetu ya kijeshi na nadhani tutaweza kufanya hivyo." – Trump Huu ndio utamu wa kwenda naye kibabe Marekani. Marekani ni superpower kwa mataifa dhaifu...
  20. JamiiForums Tanzania Xi kukutana na viongozi wa makampuni ya kiteknolojia China

    Kikao hicho kinatazamiwa kufanyika jumatatu ya wiki ijayo. Xi to chair symposium attended by Jack Ma and other Chinese business leaders, sources say By Reuters February 14, 202512:25 PM GMT+3Updated a day ago Summary Companies Symposium is likely to be held on Monday, sources say Attendance by...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…