china

  1. JamiiForums Tanzania Ifahamu Wizara ya Usalama wa taifa ya China na majukumu yake kwa nchi hiyo kubwa Duniani

    https://www.youtube.com/watch?v=j1UH7Yn6gSg Hii ni makala ya pili inozungumzia nchi ambazo zina wizara kamili inoshughulikia Usalama wa taifa. Wiki ilopita nilizungumzia umuhimu wa raisi ajae kufikiria kuanzisha wizara ya Usalama wa taifa ambayo itashughulikia usalama wa nchi na mipaka yake na...
  2. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa Usawa katika Mikopo ya Kibiashara

    Ni jambo la kushangaza na lenye kuibua maswali makubwa kuhusu usawa katika mazingira ya biashara kati ya Tanzania na China. Mfanyabiashara wa China anapokopa katika benki za kibiashara nchini kwao hulipa riba ya takribani asilimia 3 pekee. Lakini mfanyabiashara wa kitanzania anapokopa katika...
  3. JamiiForums Tanzania China imejenga daraja refu zaidi duniani linaloshikiliwa kwa nyaya (cable-stayed bridge)

    China imezindua Changtai Yangtze River Bridge huko Jiangsu, daraja jipya linaloshikiliwa kwa nyaya lenye span kuu ya mita 1,208, na kuweka rekodi kama the longest of its kind. Daraja hili limefunguliwa Septemba 2025 na ni la kipekee kwa kuwa linachanganya expressway, barabara ya kawaida na reli...
  4. JamiiForums Tanzania China na Afrika zaimarisha ushirikiano wa kunufaishana wa kibiashara

    Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Forodha ya China zinaonesha kuwa, katika miezi minane ya kwanza ya mwaka 2025, thamani ya jumla ya biashara ya nje ya China ilifikia yuan trilioni 29.57, ambalo ni ongezeko la asilimia 3.5 ikilinganishwa na mwaka jana kipindi kama hicho. Mauzo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya CATL ya China imezindua betri za gari linalotumia umeme (EV) za kizazi kipya mjini Munich

    Kampuni ya CATL ya China, kampuni kubwa zaidi ya kutengeneza betri duniani, jana Jumapili imezindua betri za gari linalotumia umeme (EV) za kizazi kipya mjini Munich, Ujerumani, kwa ajili ya soko la Ulaya, ikionyesha ushawishi wake na dhamira yake inayoongezeka katika kanda hiyo. Uzinduzi huo...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani haivamii China kisa changamoto ya madawa ya kulevya kama wanavyotaka kuivamia Venezuela?

    Nchi ya marekani kila siku imekuwa ikihituhumu China kuhusu changamoto ya fentanly na matumizi yake ndani ya nchi ya marekani. Marekani mara kadhaa inasema China ina zalisha kwa wingi na kupenyeza fentanly ndani ya marekani ili watu wake waathirike na waharibikiwe. Sasa kupitia malalamiko hayo...
  7. JamiiForums Tanzania China wanataka kupiga marufuku “hidden door handles” kwenye magari, kwa sababu za kiusalama!

    Wakuu. Trend maarufu ya retractable door handles aliyoipa umaarufu bwana Elon Musk kwenye magari ya Tesla na kuigwa kila pande za dunia, baada ya kuonekana ina mapungufu mengi uko China wanaplan ya kuipiga marufuku. Lengo kuu la hidden door handles ni kupunguza drag coefficient, kwahiyo...
  8. X

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Trump amekiri: "Inaonekana tumeipoteza India na Urusi kwa China"

    "Inaonekana tumeipoteza India na Urusi katika sehemu kubwa zaidi, yenye giza zaidi, China. Wawe na mustakabali mrefu na wenye mafanikio pamoja!" — Donald Trump Hivi karibuni Trump aliongeza ushuru kwa bidhaa za India hadi kufikia 50% kama adhabu kwa sababu ya India kuendelea kununua mafuta...
  9. JamiiForums Tanzania Gwaride la China 1949 Vs 2025 Tusikate tamaa Watanzania

    Gwaride la kijeshi la China 1949 Vs 2025 Tusikate tamaa labda kuna siku nasi tutafika huku
  10. JamiiForums Tanzania Michongo ya Rostam inanikumbusha kiherehere cha Jack Ma wa China alichokutana kwa serikali ya China

    Hizi stories za michongo ya Rostam toka zilivyo anza kupata umaarufu mkubwa zaidi miaka ya 2000s nchini Tanzania zinanikumbusha jambo moja kumuhusu Jack Ma. Jack Ma tajiri mmoja hivi toka alikuwa maarufu sana na kama unavyojua umaarufu unatabia ya kulevya ukichanganya na pesa, pesa ni kila kitu...
  11. JamiiForums Tanzania Ipo siku China na Urusi watazichapa sana

    Urusi ilijitanua pole pole kuelekea mashariki kufuata biashara ya manyoya ya wanyama. Ikafika hadi bahari ya pacific, ikavuka hadi kufika Alaska. Katika kujitanua huko ikafika bonde la mto Amur ulio kaskazini mashariki ya China. Majeshi ya China wakati huo wa Qing dynasty yaliwapiga vibaya...
  12. JamiiForums Tanzania Ninachoona kwenye Parade ya China Aisee! Kama taifa na bara tupo nyuma sana

    Kupitia maonesho ya hii parade ya wachina kutimiza miaka 80 toka vita vya pili vya dunia baada ya kumnyuka Japan. Kama taifa la Tanzania na bara zima la Afrika tujitafakari kidogo kwa kweli tupo nyuma kiulinzi. Kwa hizi silaha wachina walizo amua kutuonesha japo nina mashaka kama wameonesha...
  13. JamiiForums Tanzania Xi Jinping aitaka Dunia kuchagua amani au vita. Trump asisitiza gwaride la China halimtishi.

    #HABARI Rais wa China Xi Jinping ameonya kuwa dunia inakabiliwa na chaguo kati ya amani au vita siku ya leo Jumatano Septemba 3, 2025 alipokuwa akifanya gwaride kubwa zaidi la kijeshi nchini mwake, akiwa na Vladimir Putin wa Urusi na Kim Jong Un wa Korea Kaskazini. Wakati viongozi wa nchi za...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi mtanzania anaweza kwenda China na kuwekeza kwenye michezo ya kamari kama za Madubwi.

    Nauliza tu kwa nia njema , je inawezekana? Maana sisi ni nchi rafiki since 1960s kama inavyosemekana. 😎😎. Maana kuna mmoja anaitwa steven mchina. Anakusanya hizo 200 kama mchanga huko vijijini ndani ndani sana alipoyatega.. nauliza tu wadau sio kwa nia mbaya.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Sauti ya China yatarajiwa kusikika zaidi kwenye mkutano wa COP30 wa Brazil

    Mkutano wa 30 kuhusu mabadiliko ya tabia nchi (COP30) unatarajiwa kufanyika mwezi Novemba mjini Belém nchi Brazil, ambao unatajwa kuwa mkutano wa kilele wa kihistoria utakaoweka ajenda kuhusu mabadiliko ya tabia nchi duniani kwa kipindi cha miaka 10 ijayo, muongo muhimu kabisa wakati dunia...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Shindano la uvumbuzi linaloongozwa na China laangazia vijana wa Kiafrika wanaoendesha mabadiliko endelevu

    Lavenda Chepkirui, mwanafunzi mwenye umri wa miaka 25 kutoka Chuo Kikuu cha Kabianga nchini Kenya, alipiga hatua kubwa ya kutimiza maono yake ya kubadilisha kilimo barani Afrika kwa kutumia suluhu rafiki kwa mazingira. Uvumbuzi wake, plastiki ya kwenye udongo inayoweza kuoza ambayo...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kuna kikubwa cha kujifunza kwenye mtindo wa China wa kufunza historia kupitia mashuleni na kwenye filamu na tamthilia

    Filamu ya "Dead To Rights," inayohusu Mauaji ya Nanjing wakati wa Vita vya Pili vya Dunia, imeendelea kutawala katika mauzo ya filamu ya China ya majira ya joto, ikiingiza zaidi ya yuan bilioni 1.5 (kama dola za Kimarekani milioni 210) ndani ya siku 10 tu tangu ianze kuoneshwa Julai 25. Kwa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kituo cha umeme cha Kaleta chaonyesha uhai wa ushirikiano wa nishati kati ya China na Guinea

    China ni nchi kubwa inayoendelea, na pia ni nchi ambayo imekuwa mstari wa mbele kuzisaidia nchi nyingine zinazoendelea, hususan za barani Afrika, kujipatia maendeleo na kuinua uchumi wao. Katika kufanikisha hilo, China imekuwa na ushirikiano na nchi za Afrika katika sekta mbalimbali ikiwemo...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Je wajua? Jumlisha Marekani, china na ulaya kwa pamoja ni ndogo kuliko bara la Afrika

    Salaam! Kumbe Africa yetu ni kubwa kuliko tulivyochorewa kwenye ramani. BBC Swahili imekuja na ripoti iliyoandakiwa na wataalamu toka Africa kuwa baada ya tafsiri na vipimo vya ardhi ya nchi zote Afrika, Imebainika kuwa Africa ni kubwa kuliko marekani,china na ulaya kwa pamoja na Nafasi...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi wa Marekani ahukumiwa kwa kufanya ujasusi kwa ajili ya China

    Baharia wa Jeshi la Wanamaji la Marekani huko California amehukumiwa kwa kosa la ujasusi kwa kuuza siri za kikosi hicho kwa afisa wa China ambaye alimsajili kupitia mtandao ya kijamii. Jinchao Wei, 25, alipatikana na hatia ya mashtaka sita, ikiwa ni pamoja na ujasusi, njama ya kufanya ujasusi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…