china

  1. JamiiForums Tanzania China ndio Sababu ya Maduro kutekwa na Marekani, Mchina ni tishio kwa Mmarekani

    Namna Marekani alivyocheza karata zake kwa Venezuela ni kama Demu mkali ale vitu vyako alafu kisha hakukatae badae unamuona anajibebisha kwa mwamba mwingine ambaye wewe ni kama mshindani wake wa muda mrefu, unaamua kumteka demu na kuondoka nae kwa nguvu hili awe na wewe kwa lazima. Hakuna...
  2. JamiiForums Tanzania Trump ametumia saa mbili tu kukifanya kitu kilichomshinda Putin kwa miaka 3

    Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!! Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi. Imagine unakuja kukamatwa...
  3. X

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Marekani na China zinatengeneza 44% ya uchumi wa dunia

  4. S

    JamiiForums Tanzania Serikali za Tanzania na Zambia hazijawa makini katika kutiliana sahihi mkataba wa miaka 30 na China kuendesha TAZARA; bado tunapwaya kwenye mikataba

    Mamlaka ya Reli ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa mpango wake wa muda mrefu wa kuifufua reli hiyo umeingia hatua ya utekelezaji kwa Mkataba wa thamani ya Takriban Tsh. Trilioni 3.7 (Dola za Marekani Bilioni 1.4) na Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za mwaka mpya wa 2026

    Katika mkesha wa mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba ya salamu za mwaka mpya wa 2026 kupitia Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) na mtandao wa Internet. Ifuatayo ni hotuba hiyo: Hamjambo! Wakati wa zamani umepita huku maisha yakifungua ukurasa mpya. Wakati mwaka mpya...
  6. JamiiForums Tanzania China imefuta kuba/dome kwenye misikiti yote, haicheki cheki na wafia dini

    Ilitoa sharti kama lazima msikiti ujengwe kwenye ardhi yake lazima muundo uonekane wenye mandhari ya Kichina, na Mchina yeyote anayejiunga kwenye dini ya muarabu anapaswa atambue yeye ni Mchina kwanza kabla kuwa muislamu. Uzalendo uanzie China kabla hujaanza kubwatuka kiarabu Makobaz mnaopenda...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kilimo wa China wachochea maingiliano ya kilimo na kubadili maisha ya vijijini nchini Ethiopia

    China na nchi za Afrika zimekuwa na ushirikiano katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu, afya, biashara na ushumi, utamaduni, sayansi na teknolojia, kilimo, na sekta nyingine nyingi. Ushirikiano huu umekuwa na manufaa sana kwa nchi za Afrika, kwani zimeweza kupata maendeleo katika sekta husika...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa China waleta unafuu kwa jamii zinazokabiliwa na uhaba wa huduma za matibabu nchini Sudan Kusini

    Agnes Alison Nunu, mwenye umri wa miaka 38 na mama wa watoto sita, amesitisha biashara yake ndogo ya kuuza vitafunwa kutokana na maradhi yanayomsumbua mtoto wake, mpaka pale timu ya madaktari wa China ilipowasili katika eneo la makazi yake kando ya mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba. Desemba 6...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Makumbusho ya kijiolojia yaliyojengwa na China yachochea ukuaji wa sekta ya utalii nchini Tanzania

    China ni nchi kubwa inayoendelea ambayo imekuwa ikisaidia nchi nyingine zinazoendelea, zikiwemo za Afrika, kufikia maendeleo kulingana na mazingira halisi ya nchi husika. Juhudi hizo za China zinaonekana katika maeneo mbalimbali ikiwemo sekta ya kilimo, afya, uchumi na biashara, na ujenzi wa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano Kati ya China na Afrika waweka mwelekeo sahihi wa kuboresha kilimo barani Afrika

    Moja kati ya maeneo yanayotajwa kuwa na uwezekano mkubwa wa kuliondoa bara la Afrika kwenye changamoto za umaskini na usalama wa chakula ni kuboresha sekta ya kilimo. Kutokana na bara la Afrika kuwa na ardhi kubwa inayofaa kwa kilimo, idadi kubwa ya watu wanaojishughulisha na sekta ya kilimo, na...
  11. JamiiForums Tanzania Katika umri huu najitahidi sana angalau kila wiki niangalie movie moja mpya! Katika soko la china hii movie ndo the best kwangu

    Epiphyllum Dream: hii movie ina story line bora sana katika movie zote za china nlizowahi kuziona, Sjajua mtunzi na director ni nani ila walifanya kazi moja kubwa sana hapa, japo ni ya mda kidogo
  12. JamiiForums Tanzania Madai ya Trump kuwa "Venezuela Ilituibia Mafuta" Yana Mashiko?

    Watu wengi mtakuwa mmeiona hii video ya Donald Trump akisema "we want our oil back" Tafsiri ya karibu ni "tunataka turudishiwe mafuta yetu". Trump anaonekana akidai hadharani kuwa mafuta ya Venezuela ni haki halali ya Marekani kiasi kwamba watu wanajiuliza kuwa "Hii video ni AI?" au "Trump...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Vikwazo vya Visa za China na Marekanki kwa Watanzania

    Toka Desember 2025 viza za china zimekuwa ngumu sana kupatikana Kwa wafanyabiashara na from january US zinakuwa ngumu.....Mwakani Hali itakuwaje?
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wa Kenya wakumbatia Kungfu huku uhusiano wa kitamaduni ukiongezeka na China

    Licha ya umbo lake dogo, Peter Murigi mwenye umri wa miaka minane aliwavutia watazamaji huko Kiambu, katikati mwa Kenya, alipopanda jukwaani kuonesha weledi wake wa Kungfu. Murigi alikuwa miongoni mwa washiriki mashuhuri katika Mashindano ya nne ya Kitaifa ya Wushu ya Kenya, ambayo...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Afrika wapata ujuzi wa utambuzi wa mpangilio wa vinasaba kupitia mafunzo yanayodhaminiwa na China

    China na nchi za Afrika zimekuwa na urafiki uliodumu kwa miongo kadhaa, ukistahamili nyakati zinazobadilika duniani. Urafiki huu umezaa uhusiano na ushirikiano wa kuaminiana, kuheshimiana, kusaidiana, na kuungana mkono katika masuala ya kikanda na kimataifa. Pande hizi mbili zimesimama bega kwa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa China na Afrika waweka mfano mpya wa ushirikiano wa Kusini na Kusini

    Uhusiano wa China na Afrika umeweka mfano mzuri wa kuigwa wa ushirikiano wa Kusini na Kusini, na kuchukua nafasi muhimu sana katika kuendeleza mfumo wa usawa na jumuishi zaidi wa usimamizi wa dunia. Rais na mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Sera ya Afrika yenye makao yake makuu jijini Nairobi...
  17. JamiiForums Tanzania GDP ya China mwaka 1970 ndio GDP ya tanzania 2025

    Rasilimali zijawahi kusaidia watu nchi hii na kumbuka china mwaka 1960 ilikuwa GDP ambayo tanzania imefikia kipindi cha 2020. ======================== Hapa ni kulinganisha Pato la Taifa (GDP) la Tanzania na China kwa kipindi cha miaka mingi. Pato la Taifa la China (1960-2025): 1. 1960: $59.72...
  18. JamiiForums Tanzania Balozi za China, Saudi Arabia, Russia, Korea Kaskazini na UAE bado twangojea tamko lenu juu ya mauaji na madhila yanofanywa na serikali ya Tanzania.

    Balozi hizi zimekuwa kimya mno na juu ya kinoendelea nchini. Twangojea balozi hizi zitoe matamko au tamko moja kama tamko lilotolewa na balozi 17 zilizopo hapa nchini. Balozi hizi 17 zina makazi yake hapa nchini na bila shaka wala chembechembe za ushahidi wowote ule maofisa wake wameona...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Wenzi wa Ushirikiano wa Kimkakati kati ya China na Afrika wajenga mustakabali wa pamoja wa watu bilioni 2.8

    Miaka kumi iliyopita, katika Mkutano wa kilele wa FOCAC uliofanyika Johannesburg, uhusiano kati ya China na Afrika ulipandishwa ngazi na kuwa “wenzi wa ushirikiano wa kimkakati” Leo, mkakati huu umegeuka kuwa reli, umeme, mawasiliano ya simu na vifaa vya afya barani Afrika—ukithibitisha...
  20. JamiiForums Tanzania China yasaidia Afrika kukabiliana na tishio la UKIMWI

    Desemba Mosi kila mwaka ni Siku ya UKIMWI Duniani. Kaulimbiu ya mwaka huu ni “Imarisha Mwitikio, Tokomeza UKIMWI”, ikisisitiza umuhimu wa kuimarisha mifumo ya afya ya umma, huku ushirikiano wa kimataifa ukikabiliwa na changamoto. Afrika ni bara linaloathiriwa zaidi na UKIMWI. Hivi karibuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…