china na afrika

Vaccination policy is the health policy a government adopts in relation to vaccination. Vaccination policies have been developed over the approximately two centuries since the invention of vaccination with the purpose of eradicating disease from, or creating a herd immunity for, the population the government aims to protect. Vaccination advisory committees within each country are usually responsible for providing information to governments that is used to make evidence-based decisions regarding vaccine and immunization policy.
Vaccinations are voluntary in some countries and mandatory in others, with mandatory vaccination policies sometimes leading to opposition. Some governments pay for all or part of the costs of vaccinations in a national vaccination schedule. Cost-benefit analyses of vaccinations have shown that there is an economic incentive to implement vaccination policies as vaccinations can save a significant number of lives and costs.
Generally, vaccine supply is highly regulated by local government. Also, because of the large cost of developing a vaccine, the prices of vaccines are mostly high. Therefore, vaccine policy is effected by regulations and competition.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zaimarisha ushirikiano wa kunufaishana wa kibiashara

    Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Forodha ya China zinaonesha kuwa, katika miezi minane ya kwanza ya mwaka 2025, thamani ya jumla ya biashara ya nje ya China ilifikia yuan trilioni 29.57, ambalo ni ongezeko la asilimia 3.5 ikilinganishwa na mwaka jana kipindi kama hicho. Mauzo...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Licha ya changamoto za biashara duniani, biashara kati ya China na Afrika yaimarika na kuchochea maendeleo ya Afrika

    Kuyumba kwa biashara duniani kutokana na vita ya ushuru iliyozushwa na Rais Donald Trump wa Marekani, uhusiano wa kibiashara kati ya China na Afrika umekuwa unaendelea vizuri, na thamani ya biashara kati ya pande hizo mbili imeendelea kukua kwa miaka 16 mfululizo, na mwaka jana thamani hiyo...
  3. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa uchumi na biashara kati ya China na Afrika wastawi

    Maonesho ya Nne ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yamefanyika hivi karibuni huko Changsha mkoani Hunan, China, na kushirikisha zaidi ya watu elfu 30 kutoka nchi 53 za Afrika, mashirika 11 ya kimataifa, na zaidi ya kampuni 4,700 kutoka China na nchi za Afrika. Katika miaka ya hivi...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki ufunguzi wa maonesho ya kimataifa ya biashara kati ya China na Afrika (caete)

    WAZIRI KOMBO ASHIRIKI UFUNGUZI WA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA KATI YA CHINA NA AFRIKA (CAETE) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameungana na Mawaziri wa Mambo ya Nje na Waratibu wa utekelezaji wa Mpango Kazi wa Jukwaa la...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania China si Mshirika bora wa Kibiashara wa Urusi. Ni kama unapokosa Demu wa ndoto yako unakuja amua date wa kukufariji

    Swali zuri sana. Ingawa China ni mshirika mkubwa wa kibiashara wa Urusi, hawezi kusemwa kuwa ni mshirika bora kabisa kwa sababu ya changamoto zifuatazo: 1. Uhusiano Usio wa Usawa China ina nguvu zaidi kiuchumi na inatumia nafasi hiyo kuamua masharti ya biashara. Urusi inalazimika kuuza bidhaa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa China na Afrika kuimarika kutokana na athari ya ushuru uliowekwa na Marekani

    Ushuru uliowekwa na Marekani unaweza kuwa na athari mbaya kwa nchi zinazoibuka kiuchumi kama China nan chi za Afrika, lakini wakati huohuo, hatua hiyo ya Marekani itawezesha ushirikiano wa nguvu zaidi kati ya China na Afrika katika biashara na uwekezaji kwenye seta muhimu za uzalishaji, nishati...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Je, China ilitoa zawadi au iliweka mtego kwa Afrika? – Siri ya wizi wa taarifa katika makao makuu ya Umoja wa Afrika

    Je, China Ilitoa Zawadi au Iliweka Mtego kwa Afrika? – Siri ya Wizi wa Taarifa Katika Makao Makuu ya Umoja wa Afrika Mwandishi: MalekoGJ On X @GoodluckMalekoJ Utangulizi Mwaka 2012, bara la Afrika lilishuhudia “zawadi” ya aina yake kutoka kwa China — jengo la kifahari la Makao Makuu ya...
  8. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Fedheha: Mzungu anaenda China kwajili ya Maarifa ya Wachina ila anakuja Afrika kwajili ya Rasiliamali na sio Waafrika

    Afrika imegeuzwa kuwa ghala la mataifa ya nje. Madini yanachimbwa, misitu inakatwa, wanyama wanauzwa kama burudani kwa watalii, mito na maziwa yanavuliwa mpaka hakuna cha kuvua tena, lakini mwananchi wa Afrika bado anakwambia "Tuna utajiri wa kutosha!" Utajiri gani? Ni lini utajiri wa nchi ukawa...
  9. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli! Mchina alishawahi kutoa msaada gani kwa nchi za kiafrica zaidi ya kutuuzia vitu vyenye ubora feki!

    Baada ya Trump kusitisha misaada Afrika, kumetokea sintofahamu nyingi zikisema, "Haya sasa, huyo Mchina ajitokeze!" Ukweli ni kwamba Mchina ni mlaghai na mpigaji kuliko hao mabeberu. Angalau, pamoja na kutupiga, wametuwezesha na sisi mdogomdogo kusogea! Nchi zote zilizokopa kwa Mchina na...
  10. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Waziri Mkuu wa China yaonyesha uungaji mkono wa China kwa ukuaji wa Afrika

    Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi wiki iliyopita alifanya ziara ya siku saba katika nchi nne za Afrika, ambazo ni Namibia, Jamhuri ya Kongo, Chad na Nigeria. Ziara hiyo inadumisha mwendelezo wa desturi ya mawaziri wa Mambo ya Nje wa China kufanya ziara ya kwanza ya mwaka nje ya nchi...
  11. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa kunufaisha kati ya China na Afrika ni endelevu

    Miezi machache baada ya mkutano wa kilele wa Beijing wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC kufanyika mwaka jana, wachambuzi wa masuala ya kiuchumi wamekuwa wakifuatulia maendeleo ya utaratibu wa FOCAC na mchango wake kwenye ushirikiano kati ya China na Afrika, hasa kama...
  12. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa China na Afrika waonyesha mfano bora wa kuendeleza ustawi wa pamoja

    Wakati mwaka mpya unapoanza, Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, ameanza ziara yake ya kwanza nje ya nchi kwa mwaka 2025 kwa kutembelea bara la Afrika, akiendeleza utamaduni wa diplomasia unaotimiza miaka 35. Ziara hii inaonyesha ahadi ya kudumu ya kuimarisha ushirikiano na Afrika na...
  13. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Ziara ya waziri Wang Yi ina maana kubwa katika kuendeleza uhusiano kati ya China na Afrika

    Kila mwanzoni mwa mwaka, diplomasia ya China ina “makubaliano yasiyobadilika” — ziara ya kwanza ya waziri wa mambo ya nje lazima iwe Afrika, na mwaka huu hauna tofauti. Kuanzia tarehe 5 hadi 11 Januari, Wang Yi, Mjumbe wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC na...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Awamu nyingine ya urais wa Trump itakuwa na matokeo gani kwa ushirikiano kati ya China na Afrika?

    Mara ya kwanza wakati Donald Trump alipogombea urais wa Marekani dhidi ya Hilary Clinton, wanadiplomasia wengi na wataalam wengi wa mambo ya uchumi, waliweka karata yao kwa Hilary Clinton, wakiamini kuwa Hilary alikuwa na uelewa wa kina kuhusu Afrika, na kama Trump angeshinda basi Afrika...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Hatua ya China kuondoa ushuru yaonyesha wajibu wa kama nchi kubwa ya “Dunia ya Tatu”

    Kuanzia Desemba, China itafutilia mbali ushuru kwa bidhaa za nchi zilizo nyuma zaidi kimaendeleo duniani, zikiwemo Tanzania na nchi nyingine 32 za Afrika. Wakati dunia inakabiliwa na ongezeko la vitendo vya kujilinda kibiashara, hatua hii hakika itapunguza gharama za nchi hizi husika katika...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano na China unafanya usasa kuwa jambo linalowezekana kwenye nchi za Afrika

    Mkutano uliopita wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC uliofanyika mwezi Septemba mjini Beijing, kaulimbiu ya “Kuungana Mkono ili kuendeleza Usasa na Kujenga Jumuiya yenye mustakabali wa Pamoja ya China na Afrika”, ilifuatiliwa na kuchambuliwa na wataalam na wanazuoni mbalimbali...
  17. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika ni washirika wanaohitajiana na sio wa kunyonyana kama zilivyofanya nchi za magharibi

    China na nchi za Afrika zinaendelea kufurahia ushirikiano na urafiki wao wa kudumu ambao uliwekewa jiwe la msingi na mwasisi wa China Mwenyekiti Mao Zedong na viongozi wengine waasisi wa Afrika. Katika kipindi chote cha zaidi ya miongo sita China na Afrika siku zote zimekuwa zikiheshimiana...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Marekani haipendi kuona nguvu ya “Dunia ya Kusini” inaongezeka?

    Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC wa 2024 ulimalizika hivi karibuni mjini Beijing, na kupitisha "Azimio la Beijing" na "Mpango wa Utekelezaji (2025-2027)". Wakati jumuiya ya kimataifa, ukiwemo Umoja wa Mataifa, ikipongeza kujumuika tena kwa familia za China...
  19. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zapotosha ukweli wa ushirikiano wa China na Afrika katika sekta ya maliasili

    Bibi Jacquie anaishi katika kijiji cha Mayeba kilichoko misituni kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ingawa kijiji hicho kiko karibu na migodi maarufu ya KFM na TFM, ambayo ina madini ya Shaba na Cobalti yenye thamani kubwa, lakini wanakijiji walikuwa wanaishi maisha magumu...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Hoja ya “China inamwaga pesa kwa Afrika” yanaonesha wivu wa nchi za magharibi

    Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika ulimalizika mjini Beijing wiki iliyopita, ambapo wakuu zaidi ya 50 wa nchi au serikali za Afrika walihudhuria mkutano huo, na kuonyesha kuwa nchi za Afrika zinaupa umuhimu mkubwa mkutano huo na matarajio makubwa ya kuendeleza...
Back
Top Bottom