chid benz

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NGAYANIMO

    Ubora wa Chid Benz na Ngwear katika wimbo unaitwa “Wakati ndio Huu”

    CHID BENZ FT. NGWEA - WAKATI NDIO HUU VERSE.. 1. "CHID BENZ" Vidole vyangu kwenye mic 🎤 Sauti ndani ya Beat / Niko mbele ya Umati wenye wengi mashabiki/ Me na Amini nimezaliwa kushinda Nimezaliwa jasiri hata Simba nitamwinda / Wengine udhani ya kama naimba Uongo/ Kisa navyo flow Eti...
  2. R

    GE2025 Chid Benz: Inabidi watu watiki, wanaopiga mishale haihusiki na chama

    Rashid Makwiro almaarufu kama Chid Benz Msanii wa Bongo fleva ameonekana akiwa pamoja na Msanii Shetta ambaye pia ni Mgombea Ubunge CCM Kata ya Mchikichi wakiwa katika mkutano wa kampeni za mgombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia Suluhu...
  3. R

    GE2025 Chid Benz: Naogopa kuchanganya siasa na sanaa yangu, nimetafutwa na Vyama vitatu kwenda kufanya Tamasha

    Msanii wa Bongo Fleva Rashid Makwiro almaarufu Chid Benz akifanya mahojiano na shirika la habari la BBC ameeleza sababu ya yeye kutojihusisha na siasa kama ilivyo sasa wasanii wengi wamejikita huko wakihudhuria na kushiriki Mikutano ya Kampeni za Vyama vya Siasa Chid Benz amesema kwasababu...
  4. Kipenzi Changu

    Nafarijika sana na Return of Chid Benz

    Mimi ni mpenzi wa Rap, ndio mziki unaosuuza moyo wangu sana kuliko miziki yeyote ya kidunia. Nilikuwa kila nikisikia habari za Chid Benz na Jose Mtambo nasikitika sana. Sababu hawa ndio watu nilioona wana vibaji halisi na sio kubebwa. Sasa Chid karudi, nimefarijika sana
  5. Fbn

    Chid Benz alivyomjibu Millard Ayo kuhusu watu wenye shida wanasimu na bando

    Chid Benz kapitia mengi Ulimwengu huu ambao na wengine wamepitia ila kimtazamo tanzania tunaona kama wakikosa mafanikio ni wamerukwa na akili. Binadamu wanaamini ukiwa na mafanikio wewe umekamilika mpaka akili kumbe sio hivyo. Katika kipindi cha mzee wa kepu nyuma Millard Ayo alimuuliza Chid...
  6. Damaso

    Asante sana Chid Benz kwa kumpa jibu matata Millard Ayo

    Millard Ayo mara nyingi huibua mijadala ya ajabu sana kwa maswali yake, lakini swali alilomuuliza Chid Benz limezua mjadala mkubwa. Kumuuliza mtu kama Chid Benz ambaye kapitia matatizo ba shida awe na neno kwa wengine ni kichekesho. Wanaopitia mateso na shida ni nadra kuwaona wanakesha...
  7. tonicimmobility

    Chid Benz amkumbuka Saida Karoli, awaomba Ayo tv ''Mtafuteni Saida Karoli''

    Katika mahaojiano ya mwanamuzi wa HipHop Chid Benz amemeonyesha hali ya kumkumbuka na kumkubali mwanamuziki mwenzake wa zamani Saida Karoli na kuwaomba Ayo tv wmtafute na kufanya nae mahojiano. Hali imeibua hisia za mashabiki wa Saida Karoli baada ya ukimya wa muda mrefu wa msanii huyoo bila...
  8. tonicimmobility

    Chid Benz: Mapenzi ndio chanzo cha mimi kutumia madawa

    Mwanamziki wa hiphop Chid Benzi katika mahojiano aliyofanya na Ayo tv ameeleza kuwa chanzo cha yeye kujihusisha na madawa ya kulevya ni mapenzi na wala si muziki kama wengine wanavyodhani. Katika maelezo yake ameonyesha ni namna gani mapenzi yalivyoathiri kwa kiwango kikubwa maisha yake na hivyo...
  9. JanguKamaJangu

    Chid Benz: Wasanii wengi wanatumia cocaine, mimi nilikuwa natumia madawa ya bei rahisi sana

    Msanii wa Bongo Fleva, Rashidi Makwiro ‘Chid Benz’ alipozungumza na Clouds TV, jana Septemba 3, 2025 amefafanua aina ya madawa ya kulevya ambayo yanatumiwa na watu wengi, akichambua pia tofauti ya Heroin na Cocaine.
  10. Waufukweni

    Chid Benz: Nilikuwa nawaza siku ifike Mama yangu aone situmii unga

    Rapa Chid Benz ameongea kwa hisia sana kuhusu familia yake, akisema, "Nilikuwa nawaza siku ifike mama yangu aone situmii tena unga" na aliposaidiwa aliona kama ametua mzigo mzito.
  11. Waufukweni

    Chid Benz: Sikuwa nahisi chochote, nilikuwa nina sumu mwilini

    Msanii wa muziki wa Hip Hop, Rashidi Makwiro maarufu Chid Benz amesema, "Kuishi kwangu ilikuwa huwezi kuamka asubuhi uniambie nije Clouds. Nilikuwa siwezi kwa sababu nilikuwa nina sumu mwilini"
  12. W

    SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kumtibu bure rapa wa muziki Chid Benz

    Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu yake. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo amesema,Chid Benz ni miongoni mwa Watanzania milioni moja ambao wamepatiwa...
  13. DuaZaMama

    Chid Benz aruhusiwa kutoka Sober House

    Msanii Mkongwe Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro maarufu kama Chidi Benzi ameruhusiwa kurejea uraiani na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupamba na Dawa za Kulevya wakishirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa walioshiriki kumpeleka katika Nyumba ya Matibabu kwa walioathirika na Madawa ya Kulevya (Sober...
  14. Waufukweni

    Chid Benz amekua 'Pande la Mtu', tazama akitumbuiza kwenye siku ya kupambana na madawa ya Kulevya

    Chid Benz mpya akitumbuiza kwenye siku ya kupambana na madawa ya Kulevya Dodoma
  15. Damaso

    Sina wa kumlaumu, niilijipoteza mwenyewe- CHID BENZ

    Sina wa kumlaumu, niilijipoteza mwenyewe, Kwa sehemu kubwa Jamii hainitazami tena kwa jicho la Usaidizi, Jamii inanitazama kama Mlevi au Teja, Lakini pengine Mimi ni Mfano hai unaoweza kutumika kusaidia kizazi kingine kinachoteketea kimya kimya. Nilikuwa Msanii Pekee wa Hip Hop niliyekuwa Hot...
  16. Mshana Jr

    Majuto ya Chid Benz

    ''Sina wa kumlaumu,niilijipoteza mwenyewe, Kwa sehemu kubwa Jamii hainitazami tena kwa jicho la Usaidizi, Jamii inanitazama kama Mlevi au Teja,Lakini pengine Mimi ni Mfano hai unaoweza kutumika kusaidia kizazi kingine kinachoteketea kimya kimya. Nilikuwa Msanii Pekee wa Hip Hop niliyekuwa Hot...
  17. Mshana Jr

    SI KWELI Chid Benz afariki

    HEADLINES RIP 😭 KING KONG Rapa na mSanii mkongwe wa Hiphop apa nchini Chidd Benz amefariki dunia mapema jioni ya Leo kwenye hospital ya rufaa ya Muhimbiri .. Kwa ugonjwa wa Kansa ya Koo. Vyombo mbalimbali vya habali ikiwemo WASAFI Media wamedhibitisha na kulipoti taarifa hii.. RIP Chidd Benz...
  18. Knock life

    Wasanii na ndugu wa Chid Benzi mpelekeni hospitali, huo Mguu wake unaoza

    Chid Benz alipata Tatizo katika Mguu wake na sasa ni zaidi ya mwaka bado hajapata matibabu yanayoeleweka. Huu mguu wake umeshaanza kutoa harufu Kali inayoashiria Tatizo ndani yake. Kwa bahati Mbaya hajapata Matibabu yoyote imara yenye kuweza kumfaa huyu Kijana kupona. Kama ilivyo watanzania...
  19. ukwaju_wa_ kitambo

    KG feat Chidi Benz - Toka Kitambo

    Yeah...!! Aaah Aah Aah Dar es salaam stand Up Again.. Kg song Chuma. Aaah Aaah Aaah Verse.. 1. ( chid benz). Najulikana kama Ugali msingi na Secondari/ Boma primary mita chache na usawa wa Bahari/ Rashind Abdallah nyota kutoka kwa Allah /nipo hapa kama ishara Imara kazi fundi seremala...
  20. Waufukweni

    Chidi Benz: Sikumuomba Diamond arekodi chorus, amesababisha wimbo wangu kupotea

    Mmemsikia King Kong lakini? Rapa Chidi Benz anadai kuwa staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz alisababisha wimbo wake upotee baada ya kuingiza chorus bila ridhaa yake na kisha kuutelekeza studio kwa S2kizzy. Soma, Pia: Chid Benz hakuna unachomdai Diamond na hausiki kabisa na matatizo yako Chid...
Back
Top Bottom