Moja kwa moja..
Siku za nyuma nilienda Veta kuchukua cheti changu , niliistaajabu baada ya kupewa yule Dada aliyenipa aliniambia nisiweke lamination bila kuniambia sababu.
Naomba kujua wajuzi je , ipi inawezekana kuwa sababu ya kuniambia hivyo na je , Kuna madhara yeyote niliweka ? maana...