cheche

  1. Roving Journalist

    GE2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

    Leo, Septemba 9, 2020 - mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Ndg. Tundu A. Lissu anaongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari. Haya ni baadhi ya aliyoyasema: ====== Waandishi mmekuwa mnogopa kuni-cover, nikizungumza mna switch off. Hofu! > Nazungumza na Vyombo vya Habari vya nje ya nchi kila...
  2. M-mbabe

    VIDEO: Katibu wa Kanda ya Pwani Chadema atema cheche dhidi ya CCM na serikali yake

    Katibu wa Kanda ya Pwani Chadema, Hemed Ally, ametema zake cheche hizo mbele ya wananchi huko Bagamoyo. Msikilize....
  3. Erythrocyte

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika atema cheche kuhusu kauli ya Mwenyekiti wa CCM ya uchaguzi kuwa huru na haki

    Hapa ndio utaelewa kwanini Mh Mbowe ameamua John Mnyika awe Katibu Mkuu wa CHADEMA , yaani anatema madini matupu ! Mnyika amesema: "Sasa nifikishe ujumbe tu kwa Rais Magufuli, ambaye amesema yeye, akiwaambia mabalozi kwamba, uchaguzi wa mwaka 2020 utakuwa uchaguzi huru na haki ujumbe wangu kwa...
  4. Return Of Undertaker

    Membe: Musiba na Mchange anayewatuma kunichafua kwanini hamnipeleki mahakamani? Kama mnaweza kunirekodi mmeshindwa nini kutoa huo ushahidi

    Anaandika Bernard Membe. Rondo- Lindi. Watanzania Wenzangu! Nawasalimia! Kwa siku tatu mfululizo magazeti ya makuhani wa fitina na unafiki Musiba na Mchange na wenzao wamekuwa wakinishambulia kwa uchochezi wa sintofahamu iliyotokea kuanzia Alhamisi tarehe 17 Octoba siku ambayo Mhe Rais...
  5. Squidward

    kwa nini nywele hutoa cheche pale tunapochana

    Kuna muda unaweza kuchana nywele alafu ukashangaa vitu kama cheche za moto/umeme zinaonekana kwa mbali. Jaribu mida ya usiku/gizani uone. hii inasababisha na nini wataalam?
Back
Top Bottom