chato

El Diablo is a name shared by several fictional characters published by DC Comics: Lazarus Lane, Rafael Sandoval, Chato Santana.
The Chato Santana version of El Diablo appeared in the 2016 Suicide Squad film set in the DC Extended Universe.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Chato: Wananchi wamkataa Dotto James Ngosha. Wadai alipokuwa katibu wizara ya Fedha aliwasahau na kuwadharau leo anataka Ubunge wa nini?

    Nimeambiwa kwa njia simu kuwa leo alikuwa kwenye msiba wa mzee mmoja hapo Chato. Hana jipya zaidi ya kujtambulisha kuwa baba yake alikuwa mpishi kwenye kianda cha kuchambua pamaba na kikafunguliwa na mwalimu Nyererw miaka ya sitini. Lakini mbali na hilo tokea amalize shule ya sekondari Chato...
  2. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wanawake Chato Wamiminika VETA Kuchangamkia Programu ya Ujuzi ya Rais Samia na waweze kujikomboa kiuchumi

    Wanawake wamefurika katika chuo cha Veta Chato Mkoani Geita, wakichangamkia progaramu iliyotolewa na Rais wa Tanzania Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan iliyo na lengo la kukuza ujuzi kwao na waweze kujikomboa kiuchumi. Ni katika Chuo cha Veta cha Chato Mkoani Geita, na hapa ni sehemu ambayo...
  3. M

    Watia nia kupitia CCM jimbo la chato kusini mmeanza kujinadi hapo stendi ya zamani,je huu ni utaratibu?

    Bado hamjapitishwa mnaanza kununulia watu kahawa na kuacha posho! Hapo kwenye kijiwe cha kahawa! Je, huu ni utaratibu? Juzi alikuwepo yule jamaa aliyewahi kuwa Katibu wizara ya ngawila. Jana alikuwepo aliyekuwa Mwandishi wa habari wa mzee baba. Sasa kama mnaanza kampeni hata hamjapitishwa ...
  4. W

    PreGE2025 Deusdedith Katwale amechukua fomu ya kugombea ubunge Chato Kusini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)

    Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Tabora Manispaa Deusdedith Katwale amechukua fomu ya kugombea ubunge Chato Kusini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Source: Clouds TV
  5. DuaZaMama

    PreGE2025 Vijana 57 watia nia Udiwani, Ubunge Chato

    VIJANA wapatao 57 kutoka Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Chato mkoani Geita, wameonesha nia ya kuchukua fomu kuwania nafasi za ubunge na udiwani Uchaguzi Mkuu 2025. Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Chato, Frank Kuzenza akizungumza na waandishi wa habari baada ya kikao cha...
  6. SSH2025_2030

    Eng. Kadogosa karibu Chato, Kalemani kapumzike sasa!

    Kadogosa umefanya makubwa Tanzania nzima kwa kuanzia SGR inawaka kama dhahabu. Karibu Jimbo la Chato utuhudumie
  7. mdukuzi

    Wagombea Chato Kusini wamwaga mamiilioni kuwania ubunge

    Kumekucha ,kumekucha Huku Chato kusini wagombea wawili matajiri wa dhahabu,wanaonyeshana jeuri ya pesa Wikiend hii alialika watu 500 nyumbani kwake Kata ya Bwanga na kuwalisha nyama kuanzia asubuhi na kugawa bahadha zenye kiasi cha sh 15000 mpaka 500,000 kwa kila aliyehudhuria Baada ya...
  8. R

    PreGE2025 Wajumbe CCM wamchangia Manunga zaidi ya shillingi laki 5 kuchukua fomu ya kuwania ubunge Chato kaskazini

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato, Mkoa wa Geita Mhe. Batholomeo Manunga ametangaza nia ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Chato Kaskazini. Mhe. Manunga ametangaza nia yake hiyo jana Juni 16, 2025 katika kikao Cha kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika kata...
  9. JanguKamaJangu

    Unakumbuka Mkurugenzi wa CRDB Bank aliposema wamefungua tawi Chato kwa kuwa utafiti umefanywa na Rais Magufuli?

    Rais John Magufuli akielezwa jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk Charles Kimei baada ya kufungua tawi jipya la benki hiyo lililopo Chato Mkoani Geita. Kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Ashatu Kijaji, March 9, 2018. Picha na Othman Michuzi. SEHEMU YA STORI YA MWANANCHI...
  10. mdukuzi

    Jimbo la Chato kusini hatarini kudondoa mikononi mwa muhitimu wa darasa la 4 B

    CCM tumewachoka Mmetengeneza jimbo jipyala Chato kusini kwa lengo la ajabu sana. Iko hivi,kuna mgombea mmoja tajiri wa madini ya dhaabu Pascal Lutandura ambaye aliishia darasa la 4 B lakini ana pesa za kutosha ameandaliwa jimbo hilo. Bwana Lutandula ni mjumbe wa NEC taifa,ana network na pesa...
  11. JanguKamaJangu

    Wanafunzi Kitongoji cha Iyozu (Chato) wanatumia mitumbwi kwenda Shule, wakishuka wanatembea Kilometa 4, hali hiyo imedumu kwa Miaka 10

    Wanafunzi wa Kitongoji cha Iyozu, Kata ya Muungano Wilayani Chato Mkoani Geita wanalazimika kutumia mitumbwi kutoka kwenye makazi yao kwenda shuleni kutokana na mvua kubwa zilizonyesha miaka 13 iliyopita kukata mawasiliano ya kitongoji hicho kwenda kwenye Kijiji cha Rubambangwe. Inaelezwa...
  12. Just Pray

    PreGE2025 Heche apeleka 'No reforms No election' Chato asisitiza uhitaji tume huru ya uchaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche amefika Wilaya ya Chato, nyumbani kwa Rais wa Awamu ya Tano hayati John Magufuli, kupeleka kampeni ya chama hicho ya No reforms, No election. Heche anayeongoza timu ya chama hicho katika ziara ya Kanda ya Victoria, ameingia Chato leo Mei 10, 2025...
  13. F

    PreGE2025 Jesca Magufuli anajipanga kugombea ubunge viti maalumu Geita au jimbo la Chato?

    Huyu binti nadhani amehojiwa kimkakati na Milard Ayo. Lengo nadhani ni kuvuma kuelekea uchaguzi Mkuu na hatimaye kutia nia kwenye ubunge. Je ni viti maalumu mkoa wa Geita au mkoa mwingine? Je ni jimboni Chato?
  14. Lugano Edom

    Hivi ukisika Neno CHATO huwa unapata picha gani au unajua ikoje?

    Je CHATO imeendelea saba. Je CHATO ni mji wa kibiashara au wewe mwenzangu unapata picha gani?
  15. Waufukweni

    PreGE2025 Rais Samia akubali kumalizia ujenzi wa Msikiti wa Masjid Al-Huda Chato

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassani, amekubali kuendeleza ujenzi wa msikiti mkubwa wa Masjid Al-Huda, ulianzishwa ujenzi wake na Hayti Dk. John Pombe Magufuli, wilayani Chato, mkoani Geita, unaotarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi bilioni moja na nusu katika...
  16. A

    KERO Walimu ajira mpya Chato tokea tumeripoti kazini hatujapata pesa ya kujikimu

    Tunaomba muongee na viongozi wa halmashauri ya Chato, ajira mpya walimu toka tumeripoti kazini hatuelewi nini kinaendelea, tunaishi maisha ya shida hawajatupa hela za kujikimu in short tupo tupo tu, tafadhali tunaomba muwasiliane nao.
  17. Waufukweni

    Familia ya Hayati Magufuli yaongoza maandamano ya Amani Chato, yapongeza Rais Samia kwa kukamilisha miradi

    Familia ya Hayati Rais John Pombe Magufuli ikiongozwa na Mtoto wa Dr. Magufuli aitwaye Jesca Magufuli, imeongoza maandamano ya amani leo March 16 2025 Chato, Geita kumuenzi Hayati Magufuli na kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza na kukamilisha miradi iliyoanzishwa na Hayati...
  18. Just Pray

    PreGE2025 Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhishwa kasi ya Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach mkoani Geita ukifikia asilimia 91

    Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach uliopo mkoani Geita umefikia asilimia 91 huku Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ikisema imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa mwalo huo. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Deodatus Mwanyika amesema mkandarasi aliyejenga mwalo huo anastahili kupewa kazi...
  19. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Kamisheni ya Ushauri ya Mkoa wa Geita yapitisha mgawanyo wa Majimbo ya Chato na Busanda kwa maendeleo

    KIKAO cha Kamisheni ya Ushauri ya Mkoa (RCC) wa Geita kimeridhia majimbo mawili ya uchaguzi ya Chato na Busanda yagawanywe kupata majimbo manne ili kuchagiza maendeleo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
  20. M

    Mbunge Medard Kalemani umeshindwa kupiga kelele ili stendi ya mabasi Chato ifanye kazi?

    Jimbo la Chato ni kama limetelekezwa na mbunge wake Medard Kalemani kwani toka atumbuliwe kwenye nafasi yake ya waziri wa nishati amegeuka bubu. Chato ilijengwa stendi nzuri sana ya mabasi lakini leo ni mwaka wa nne toka ikamilike lakini haitumiki! Yani wananchi wa Chato wanateseka kwa kuchomwa...
Back
Top Bottom