FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,039
- 40,701
Nashauri ianzishwe sheria ya kushurutisha waagizaji wa TV na ving’amuzi, kwamba wakiagiza hivyo vifaa, basi remote zake ziwe zina ‘battery’ zenye uwezo wa kuchajishwa kwa ‘USB charger’ kama ilivyo kwa simu na baadhi ya tochi (lamps) za kichina.
Hii itaondoa usumbufu na hasara ya kubadili battery mara kwa mara ambapo hata hivyo nyingi ni feki kama zile za tiger, feki tupu! Kuna vitu vinakera sana, kuna remote hapo nimeweka battery hata mwezi bado, eti zimeshakufa, si ujinga huu?’