changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Changamoto juu ya ujenzi wa nyumba kwa tofali za kuchoma

    Utumiaji wa tofali choma, unaweza kunipunguza gharama za ujenzi? Na nichangamoto zipi naweza kukutana nazo endapo ntafanya ujenzi huu?
  2. Hizi ndizo changamoto kuu mbili mradi wa treni ya mwendokasi Dar ~ Moro

    Serikali ina wazo zuri. Serikali imeamua kuleta maendeleo hasa miundombinu ya usafiri. Mradi wa treni ya mwendokasi Dar Moro ambayo itakuwa inasafiri kwa speed ya 160 km/hr ni idea nzuri sana.Tatizo la mradi huu ni :- 1. Umeme wa uhakika muda wote treni iwapo kazini (?) 2. Reli zetu haziko...
  3. Kauli 10 zenye changamoto kwa Tanzania

    Top 10 ya kauli zenye changamoto. 1. Hata nyasi mtakula, ndege ya rais lazma inunuliwe- Mramba 2. Foleni Dar ni ishara ya maisha bora - JK 3. Acheni wivu wa kike - Msekwa 4. Asiyeweza kulipa nauli apige mbizi - Magufuli 5. Baada ya ku2mia helikopta ya Jeshi kwenda nayo Urambo mlitaka...
  4. T

    Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Nataka nianzishe biashara ya kuchezeshaa game aina ya playstastion ila kabla sijaanza inanibd nifanye utafiti kuhusu biashara. naomba kwaa aliye na uzoefu na hilo aniambie faida na hasara zake. WADAU WANAOHITAJI MUONGOZO KUHUSU BIASHARA HII MAJIBU NA MICHANGO YA WADAU
  5. Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Wakuu, Kutokana na uhitaji wa kuwepo mjadala endelevu na wa tija kwa wajasiriamali, tumeona ni vema tukaweka hii thread kwa maslahi ya wengi. Tunashauri Mjadala huu ujikitae kwenye maeneo yafuatayo: 1. Aina za mihogo na maeneo inakostawi vizuri 2. Misimu ambayo mihogo inapandwa ni miezi ipi...
  6. G

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Jamani mimi nina chaneli ya high quality mbao (zilizokatwa na ambazo bado hazijakatwa) for export toka nchi jirani. Documents na leseni zote zipo. Nafikiria masoko ya Far East na Middle East. Hivyo UAE, SAUDIA, IRAN na kule Malaysia, Vietnam na kadhalika ndio nakutaka. Je, kuna mtu anaweza...
  7. P

    Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

    Wakuu poleni na shughuli! Ee bana kuna ndugu yangu ameniahidi kunitoa kwenye umasikini,kaniahidi kunikopesha USD 15,000 ili nifungue biashara ya kuuza vifaa vya majenzi. Sasa nauliza wakuu kwa kiasi hicho kinatosha kuanzia?au ntakua najitia pressure tuu manake hela ndogo? Maeneo ninayotarajia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…