chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nasema kwa hasira, kila chama cha siasa kina maslahi yake binafsi. Nchi imejawa na uchama na usiasa

    Roho inaniuma sana ninapoona TZ ina wasomi wengi wenye maneno mengi wanaojua kila kitu lakini nchi yetu bado masikini inategemea kuombaomba. Rais kazungukwa na wasomi na washauri wazuri lakini shida zilizotakiwa kutatuliwa miaka mingi iliyopita bado zipo na hazionekani kuisha leo wala kesho...
  2. J

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hii ndio Ofisi Mpya ya CCM Arusha iliyokaguliwa na Rais Samia, kuna Chama kilikusanya zaidi ya TZS 18bln Ofisi yao ya Taifa inazidiwa na hii

    Kuna Chama kikubwa cha Upinzani hapa Tanzania Kati mwaka 2015-2020 kilikusanya zaidi TZS 18bln ikiwa ni pesa ya ruzuku Ila mpaka naandika makala hii Kuna baadhi ya majengo yao pale HQ Wanapanga, CCM itabaki ni Chama kiongozi na tutaongoza kwa kapindi kirefu sana.
  3. JamiiForums Tanzania Taifa linapokuwa na chama cha upinzani kama CHADEMa ni wastage of money and resources. Wastage at full capacity.

    Wanahadaa umma kuwa wao ni strongest opposition party. Wanachangisha michango ya kila namna. Kidigital na ya kimanual. Wanakula mapato ya wananchi. Taifa lipo na matatizo lukuki. Wanaamua kulamba asali. Hawafai kabisa maana sio watetezi wa taifa letu. Haya lambeni asali sasa.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru ameikumbusha CCM kuwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi siyo walanguzi!

    Kauli ya Dr Bashiru na mjadala ulioibuka unatosha kufanya tathmini ya chama. Sisi tukiwa elimu ya msingi tulifundishwa kuwa CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi, je hivi kweli chama chetu hiki kinasimamia hiyo misingi iliyoasisiwa na waasisi wake? Hotuba ya bashiru iliashiria mwana CCM...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa kumroga Phiri asifunge tena wamefanikiwa, sasa wanakamilisha la Chama kuumizwa ili Simba SC idhoofike

    Nikiwa na wao hujua GENTAMYCINE ni mwenzao (mwana Yanga SC) na bahati nzuri hawajui kuwa ndiyo mimi, hivyo huweza kupata mipango yao mingi ya siri na miovu dhidi ya Simba SC. Taarifa niliyoipata na kuhakikishiwa kutoka Yanga SC ni kwamba, kwa kuona jinsi mchezaji Moses Phiri anavyokuja kasi na...
  6. JamiiForums Tanzania CUF yaanza maandalizi mapokezi ya Dkt. Bashiru, yakiri ni mwanachama hai wa chama hicho, akilipia kadi yake

    Kina tetesi kwamba Bashiru amekuwa na vikao vya Siri sana na viongozi wa juu wa CUF. Moja kati ya mambo waliyojadili ni mapokezi makubwa ya Bashiru Ally Kakurwa ambaye muda si punde atarejea kwenye chama chake Cha CUF. it's wa chama Cha CUF ambao waliomba majina yao yasitajwe, walieleza kwamba...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla akumbushwe uanachama sio kadi bali dhamira na nia ya mwanachama kwa chama, Bashiru anavyo vyote

    Namshanga sana Dkt. Kigwangalla kumshambulia Dkt.Bashiru juu ya uanachama wake. Kama mwana chama wa CCM sijapendezwa na kauli yake kwa sababu CCM kinaamini kila mwanachama ni sawa na mwingine bila kujalisha ukongwe wake ndani ya Chama. Bila kujalisha alikuwa nani kabla ya kuwa mwanaCCM...
  8. JamiiForums Tanzania Chama anaburudisha na kuumiza

    Kila Chama akifanya vitu vyake nchi nzima inatabasamu kwa tumbuizo, lakini kikundi kidogo cha 'haters' wanaumia. Wewe unayeumia unampunguzia nini Chama? Tazama umeumia miaka yote hii ndiyo kwaanza Chama anazidi kutoa burudani!
  9. JamiiForums Tanzania Nimenawa Mikono kwa Suala la Chama. Hersi alikuwa sahihi

    Mjadala wa suala la ubora wa Chama. Umefungwa. Tujadili mambo mengine. Chama ni mchezaji mwenye kipaji cha kipekee sana. Nakumbuka mwenyekiti wetu Hersi alishasema Chama ni classic player ambaye hata Yanga tulipenda kuwa naye. Chama anakupa vitu vingi uwanjani. Yaani una enjoy kumtizama...
  10. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CCM wachukulieni hatua hawa Mawaziri, wanakichafua chama

    Chama cha Mapinduzi (CCM) ni chama kinachoshika dola na kinaundwa kuanzia ngazi ya Shina, Tawi, Kata, Wilaya, Mkoa hadi Taifa lakini jambo la kusikitisha sana licha ya Wanachama wake wawili Mwigulu Nchemba na Januari Makamba kumpa taarifa za uongo Mh Rais wetu ambaye ni Mwenyekiti wa CCM na...
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli uwe mtamu kusema japo ni mchungu sana, kwa sasa CCM inabebwa na dola kama Chama Tawala ila kwa ndani imeshajifia

    Wakuu habari? Ni matumaini yangu kuwa mko poa sana katika harakati zetu za watu weusi kutafuta rizki ya kila siku.Wanasema hatuwezi kuacha kujihusisha na Siasa sababu Siasa ndiyo ina mstakabali wa maisha yetu,kwa siku za hivi karibuni yaani kuanzia 17.3.2021 hadi sasa nimekuwa nikifatilia vyama...
  12. JamiiForums Tanzania Chama cha kisiasa kimebaki kimoja tu kwa sasa. Tuambiane ukweli bila woga

    Tufikie hatua tuseme ukweli. CCM ndo chama pekee kimebaki ambacho kina mfumo unaoeleweka. Hivi vingine ni vya wapiga deal tu na ndo maana hawaaminiani hata wenyewe kwa wenyewe. Angalia Chadema na Mbowe ni miaka mingapi wapo naye? Wanaamini bila yeye Chama kitakufa. Ndo maana wanakwambia hakuna...
  13. JamiiForums Tanzania UTEUZI CCM JUMUIYA: Chama cha Mapinduzi chateua wagombea nafasi ya Taifa katika Jumuiya zake zote, hawa hapa walioteuliwa

  14. JamiiForums Tanzania Ni chama gani cha Upinzani kitakachoweza kuendesha vema nchi hii?

    Kama itakuja Kutokea, sio Kwa sababu Kuna Upinzani wenye wanasiasa Bora, La hashaaa!!. Itakua ni sababu Watanzania kutaka tu kuona Upinzani wataongozaje na kwa mantiki hiyo, DOLA, hautokaa kuliruhusu hili. (Upinzani wa Kusubiri vijitukio vidogodogo ndo usikike, Sahizi wanamjadili KIJANA...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kuna sheria inayowaelekeza CCM kutomkosoa mwenyekiti wao wa chama?

    Kuna jambo huwa naangalia naona kama hawa Wana CCM wakitaka kumkosoa raisi wengi wao wanazunguka zunguka Tu hawaendi straight. Mara nyingi lawama zimekuwa zikienda.kwa mawaziri. Ila ukichunguza Kwa undani kabisa mhusika mkuu ni raisi wa jamhuri ambaye Hana maamuzi yenye mantiki. Hawa wanaCCM...
  16. JamiiForums Tanzania Chama changu CCM mkitaka tusiwe wapinzani groom Vijana wengi ila kwa sasa macho yenu yaweke kwa Vijana hawa

    Chama changu cha Mapinduzi Tukitaka kuendelea kuongoza nchi tubadili mbinu Hakikisha hatuweki mtu anayetumia nguvu kubwa kijibrand badala ya kazi kumbrand, kuna Vijana ambao kwakweli tuwe wakweli wanapiga kazi na wanakubali wanapokosea, wako humble Kwa wananchi , na ni wasafi Narudia ni wasafi...
  17. JamiiForums Tanzania Chama alichomo Trump kinaenda kuchukua House au senate ama vyote, Trump anaweza kupewa uspika wa Pelosi, Biden anaenda kuonja joto la impeachment

    Usiende google kucheki matokeo 😂😂 wala cnn , huko hakuna taarifa credible maana ni left wing main strem media, ni haohao walioaminisha umma mpaka dakika ya mwisho 2016 kwamba Trump kashindwa,,, Ukweli ni kwamba kwa sasa hali inavyoelekea Republicans wanaenda kuchukua moja ya mihimili ama miwili...
  18. JamiiForums Tanzania Tangu lini 'fair play' ikawa lazima? Kumfungia Chama na Aziz ni upuuzi

    Anaandika Eddoh Kumwembe, Unamfungia Chama, Aziz Ki mechi tatu, kisa? Walikwepa kuwapa mikono wapinzani. Na nasikia kanuni ipo kabisa, tangu lini 'fair play' ikawa lazima? Upuuzi kwa waliotunga na kuzipokea. Kuna mambo ya umuhimu hatutekelezi, tumeona wachezaji kupeana mikono ni muhimu...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA haina legitimacy ya kuokosoa Serikali hata kama kuna mapungufu ya kukabiliana na majanga. Kama Mbowe alitafuna bil 10 za chama. Hamfai kabisa

    Kama unadhambi ya ubadhirofu wa pesa za umma ambazo kama Chadema wasingelipwa ruzuku na kuzitafuna taifa lingenunua vifaa vya uokozi. Mlitafuna kama njugu pesa za umma. Nyie mna mikono gani mosafi kuilosoa serikali? Aliyemsafi ndio akosoe. Those with clean hands must come to Equity
  20. JamiiForums Tanzania Aziz Ki Kufungiwa kucheza mechi 3 ni faida kwake kuliko Clatous Chama

    Aziz na Chama wote wamefungiwa na TFF kukosa mechi 3 kwa kosa la ulozi kiwanjani. Hata hivyo, Yanga ilikuwa inafanya vizuri uwanjani hata kabla ya ujio wa Aziz Ki lakini Simba ilikuwa haifanyi vizuri kabla ya ujio wa Clatous Chama. Hivyo ni dhahiri kuwa Yanga haitatetereka kuliko Simba kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…