chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: CAHDEMA kimetoka kuwa chama cha Siasa sasa ni chama cha wanaharakati

  2. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yaendesha mafunzo maalum kwa Mawaziri Vivuli wa Chama hicho, yatafanyika kwa siku tatu

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, leo tarehe 12,Juni 2026 amefungua mafunzo maalum Kwa Mawaziri Vivuli wa Chama hicho Mafunzo yatakayoendelea kwa siku tatu hadi Juni 14, 2026. Mbali na Mafunzo hayo Mawaziri hao pia wamekabidhiwa nakala ya vitendea Kazi Kwa nafasi zao pamoja na kutakiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kabla hujashabikia chama: Mambo 7 ya kujua kuhusu itikadi za kisiasa

    Watu wengi hujiunga na vyama vya siasa kwa sababu ya ushawishi wa marafiki, familia, viongozi maarufu au hisia za wakati huo. Hata hivyo, hatua muhimu ambayo mara nyingi hupuuzwa ni kuelewa itikadi ya kisiasa inayosimamia chama husika. Itikadi ndiyo msingi wa mawazo, sera na maamuzi ya chama...
  4. JamiiForums Tanzania Kiongozi mkuu wa CHADEMA akisema chama hakitashiriki tena uchaguzi 2030, mtafanyaje wana CHADEMA?

    Mpo eeeh Sasa hivi ni akijiamulia tu ndio itavyokuwa hivyo ivyo, inakuaje? Msimamo wa kiongozi mkuu wa chadema akisema tena chama cha CHADEMA hakitashiriki tena uchaguzi 2030 nini? Mtafanya wana chadema Kufata amri au kupinga amri na kwann? Mpinge amri na wakati mwanzo mliifata Na...
  5. JamiiForums Tanzania Sina imani na CHADEMA, sitamani wachukue nchi

    Chei chei Viongozi hawana ushirikiano na wana vita wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama, hakuna masikilizano kila mtu yeye yupo mbele tu hakuna anayetaka kukaa nyuma ya mwenzake Acha tu CCM waendelee kushikilia nchi maana sioni dalili yeyote kwa CHADEMA kuingia madarakani Msimamo wangu upo pale...
  6. JamiiForums Tanzania Yapo mambo yanaendelea kwa sasa si mazuri kwa afya ya chama chetu (CCM)

    Tumeshindwa kabisa kukaa vikao vya kichama na kuyamaliza?, tuliolelewa ndani ya chama tunarekodi nzuri juu chama chetu na mifano lukuki juu ya ccm yetu,ambayo inapotokea misuguano basi sisi wana ccm wote kwa pamoja huchutama chini na kukaa pamoja na kuondosha zimwi linalotaka kujitokeza na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Zitto: Kuwa na Bunge ambalo asilimia 96 ni Chama kimoja huwezi kupata Fikra tofauti

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akifanya Mahojiano na Clouds Media leo Mei 28, 2026 "Kuwa na bunge ambalo ni 96% ni chama kimoja huwezi kupata fikra tofauti. Kwa hiyo, wala sio afya wala sifa kuwa na control ya mawazo ya upande mmoja tu."- Amesema Zitto Kabwe
  8. JamiiForums Tanzania Zitto: CCM ikitaka Chama kimoja kama China ikubali 'meritocracy' na kukataa uchawa

    "Ni kama watawala wetu wanatamani the Chinese way. Wanatamani eh mfumo wetu ungekuwa kama CCP, the Chinese Communist Party. Ninavyoona. Lakini wale China, pamoja na kwamba ni chama kimoja, eh kwanza hawana mchezo na ufasadi. Juzi mawaziri wao wawili wa ulinzi wamenyongwa. Mawaziri wawili wa...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Je, CCM ni Chama Cha Watu Wenye Akili Ndogo Lakini Wenye Mioyo ya Uovu. Mwenye Akili na Mtu Mwema Unawezaje Kuwa CCM?

    Wakati wa utawala wa awamu ya 5, ulifanyika utafiti wa kitaalam uliozingatia makundi yote, ukiangazia vyama vikuu viwili vya siasa, CCM na CHADEMA. Pamoja na mambo mengine, yafuatayo yalikuwa ndiyo hitimisho: CCM 1. CCM inaungwa mkono zaidi na watu ambao ama wana akili ndogo, ama watu wasio na...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kinakwenda kuwa chama tawala kama ANC ya Afrika Kusini

    Kuna mwanga mkubwa umeanza kuonekana ndani ya Chadema, ndio maana wenye akili wameanza kurudi na walio ndani ya CCM wanaki-sapoti kwa siri. Watu wameanza kugundua Chadema ni chama halisi cha siasa (Right-Center Party) ambacho msingi wake mkuu ni Watu, Upendo, Haki, Usawa na Amani. Nguvu ya...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA iwe makini na hawa vibaraka wa CCM wanaojirudisha kundini. Wataharibu sifa ya kuwa chama cha ukombozi

    Kinachofanya Chadema kukubalika na watu wengi kwa sass ni kwa sababu Watanganyika wanahitaji ukombozi dhidi ya watawala dhalimu wa CCM Wasaliti ambao waliendekeza njaa na uroho wa madaraka wakaenda kuungana na madhalimu alafu baada ya kuona hawapati faida wameanza kurudi Chadema kwa kasi kama...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna changamoto ya uwazi katika utoaji wa zabuni ndani ya Chama cha Ushirika CEMACo

    Mimi ni mmoja wa wadau wa shughuli za ushirika katika Wilaya ya Manyoni, na napenda kuwasilisha changamoto kubwa inayohusu uwazi katika utoaji wa zabuni ndani ya Chama cha Ushirika CEMACo. Kwa mujibu wa taratibu za kawaida, zabuni mbalimbali hutangazwa kwa uwazi kupitia mbao za matangazo na...
  13. JamiiForums Tanzania Peter Madeleka ulifanya kosa kubwa sana kugombea ubunge kupitia Act wazalendo huku ukijua ni chama kisichofaa

    Nakushauri kwa madini uliyonayo utubu dhambi zako na ufanye uchaguzi sahihi. Mtu alie makini hawezi kukaa kwenye chama kama Act Wazalendo. Unajenga hoja za msingi lakini watu wanakudharau sababu ya kuwa upo na kibaraka wa CCM mwenye makunyanzi.
  14. JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu anatoka kwenye chama chenye heshima kubwa na kuelekea kwenye chama cha kiharakati?

    Jambo lililonishangaza sana kwa siku ya leo ni hili. NCCR-MAGEUZI is a respected party,kinaheshimika sana.
  15. JamiiForums Tanzania CCM waondoeni hao wahuni walioteka chama chenu

    CCM haya yote yanayoendelea kama utekaji,mauaji nk ni kwa sababu wahuni wameteka chama chenu na serikali.Watanzania. wameshawawakataa ndo maana mnatumia nguvu nyingi mpaka kuua ili muwe madarakani. Kama hamtaki chama chenu kuanguka watoeni hao wahuni madarakani na chamani msafishe kila kitu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya si mali ya Chama chochote cha Siasa bali ni mali ya Wananchi

    Ambagile anasema kuwa anaona itakuwa ngumu sana kupata katiba mpya kwa sababu anaona vyama vya siasa vimeanza kugombea agenda kuwa hiyo agenda ya Katiba ni ya chama fulani, anasema Katiba mpya ni ya Watanzania na Si ya CCM, CHADEMA, Waislam, Wakristo, Simba au Yanga. Anasema ni kama tunaanza...
  17. JamiiForums Tanzania Rio na Goli la Chama; viongozi wa Yanga ficheni upumbavu wenu

    Nimeona video ya mwandishi Meena Ally akimtaka maoni Rio kuhusu goli la Chama Nimeona Rio akikiri kwamba ni goli bora lenye hadhi ya kuwa goli bora la dunia Nimeona malalamiko ya viongozi wa Yanga wakilalamikia hilo. Ninakiri kwamba viongozi wa Yanga sio watu smart vichwani kuanzia uongozi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Matatizo ya nchi hii hayatokani wala kusababishwa na CHADEMA bali CCM imekengeuka sio tena Chama cha wakulima na wafanyakazi

    CCM ikiongoza serikali wanaangaika na Chadema bila hata sababu za msingi. Swali la kujiuliza CCM bado inasimamia misingi ya uanzishwaji wake? CCM imezaliwa na TANU cha kushangaza chama cha wakulima na wafanyakazi ghafla kikawa chama cha wafanya biashara, Mafisadi ni ukweli usiopingika kwamba...
  19. JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Ningekuwa Bodi ya ithibati, kila Mwandishi aliyegombea kupitia chama asingerudi kwenye Uandishi

    Mchora Katuni Masoud Kipanya ambaye pia amewahi kuwa Mtangazaji wa Redio na TV kupitia chaneli ya Kipanya Tell A vision kuhusu Mtazamo wake kuhusu Waandishi wa Habari walioshiriki katika kuwania nafasi za uongozi kupitia Vyama vya Siasa.
  20. JamiiForums Tanzania Kabla hujashabikia chama — mambo 7 muhimu ya kujua kuhusu itikadi

    Watu wengi huingia kwenye siasa kwa hisia, ushabiki, au kufuata watu wengine bila kuelewa kwa undani maana ya itikadi za kisiasa na jinsi zinavyoathiri maisha ya kila siku. Lakini ukweli ni kwamba siasa na itikadi zina nguvu kubwa kwenye uchumi, elimu, biashara, uhuru wa watu, na future ya nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…