chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

    Wakuu, Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000. Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi? ==== Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba.
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

    Wakuu, Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000. Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi? ==== Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba.
  3. Nyarupala

    JamiiForums Tanzania Chama kimeanzisha dini?

    Sasa hii itakuwa dini gani katika hizi nne nazozijua mimi?
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt. Ananilea Nkya: Chama kilichopo Madarakani hakipaswi kusimamia Uchaguzi

    Baadhi ya Wakazi katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamepewa elimu juu ya umuhimu wa marekebisho ya Katiba iliyopo sasa. Wakufunzi katika mafunzo hayo Mwl. Deus Kibamba ambaye ni Mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia na Dkt. Ananilea Nkya ambaye ni Mkurugenzi Mstaafu wa TAMWA na Mwenyekiti wa...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Chama kisichoshiriki uchaguzi kifutwe

    Msingi wa uwepo wa chama ni siasa na uchaguzi Mtima wa Siasa za vyama vingi. Unapokuwa na chama kinachotoa visingizio wakati wa uchaguzi na kutupigia kelele wakati kufanya maendeleo.Vyama vya namna hii vinapaswa kufutwa mara moja.
  6. winnerian

    JamiiForums Tanzania A culture of incompetence rooted in the rigid doctrines of Chama Cha Mapinduzi (CCM) and disabled Policies.

    To be seen by all Cabinet Members As Tanzania stands on the threshold of potential greatness, we face a dire, persistent obstacle: the misdirected energies of our leaders. Busy with needless, performative engagements, our leaders repeatedly squander their attention on deceitful trips and...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Chadema acheni maisha ya kifahari chama bado ni Maskini sana

    Chadema jaribuni kupunguza matumizi ya anasa ili mjenge chama; 1: Mikutano ya kamati kuu inafanyika kwenye hotel zenye hadhi ya nyota tano. 2: Viongozi wakuu kutembelea magari ya anasa. 3: Kipngozi mkuu kuomba michango watanzania ili anunue gari ya anasa 4:Viongozi wa chama kukesho mitandaoni...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa NEC amejiandikisha, je unadhani atachagua viongozi wa chama gani?

  9. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania CCM chama changu mawakala wa chama hadi sasa hawajalipwa chochote tangu uandikishaji uanze hii ni hujuma kwa chama kikubwa kama hiki.

    Mawakala tangu wameanza zoezi la kuandikisha hawaja pata chochote licha ya kushiriki kikamilifu kufanya uhamasishaji, wanajigharamia wenyewe chakula na hakuna posho yeyote wamepewa kwa kazi hii hadi sasa. Je, hawakuwa na budget au kuna watu wa chama ngazi ya halimashauri wamekula? Hebu tuifute...
  10. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Vurugu kubwa ndani ya chama zimetokea Ikungi, baadhi ya Watu wanataja jina la Tundu Lissu

    Taharuki ya Mvutano wa CHADEMA huko Ikungi Mkoani Singida kwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu. Chazo cha mzozo kinaelezwa kuwa ni mgongano ya kimaslahi miongoni mwa wananchama. Chanzo cha Habari: habarimpyatv
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kinara wa ODM, Raila Odinga Amezindua uongozi mpya wa chama hicho

    Raila Odinga ametoka kwenye uongozi wa chama cha ODM naona ni maandalizi ya kwenda AU hapo February 2025. Je ikitokea amekosa uenyikiti wa AU atarudi kwenye nafasi yake ya Kiongozi wa ODM au atabaki kama mshauri na mzee wa chama ? Salamu kwenu watu wa Sayansi ya Siasa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM naomba tubadilike kwenye teuzi zetu kuanzia mashinani...

    Ukweli lazima usemwe hata kama ni mchungu...mwaka huu kumekuwa na ugumu sana kwenye haya mazoezi... Kwenye vitambulisho vya kura watu wameenda tu tokana kuaambiwa vitawasaidia kwenye shughuli nyingine km ID... Navuta picha kubwa nin kitatokea kwenye siku za kupiga kura. CCM naomba tubadilike...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI LGE2024 Mnyika amesema badala ya CHADEMA kujenga chama wapo Twitter

    Wakuu nimekutana na hii, ina ukweli?
  14. milele amina

    JamiiForums Tanzania Hasara za Matembezi ya vijana yanayopangwa na Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM)

    Matembezi ya vijana yanayopangwa na Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) yana hasara kadhaa zinazoweza kutokea kwa vijana wasomi na wasioajiriwa katika jamii kutokana na matembezi haya. 1. Kutengwa Kijamii Matembezi yanaweza kuonekana kama shughuli za kijamii, lakini kwa vijana...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Soka na Muziki: Diamond Platnumz, Chama na Musonda wakutana uwanja wa ndege

    Diamond Platnumz alipokutana na Cloutas Chama na Kenedy Musonda katika uwanja wa ndege Julius Nyerere International Airport, ilikuwa ni tukio la kufurahisha, hususan kwa mashabiki wa soka na muziki. Wakati Diamond akielekea Zimbabwe kwa ajili ya shoo, wachezaji hao walikuwa wakielekea Zambia...
  16. TheMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ishara ya dole la kati la Zuchu ndiyo chanzo cha kupigwa mawe?

    Kwa kilichotokea mbeya, Msanii wa WCB kwajina maarufu ZUCHU kuwanyooshea mashabiki kidole cha kati kisha kuanza kurushiwa mawe na chupa za maji na baadhi ya Mashabiki walioonesha kukerwa na kitendo kile Huwenda ukawa ni mtego kwa serikali na chama cha CCM. Hii si mara ya kwanza kwa bint huyu wa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Wazikana Kauli za Baraza la Wazee kwa kusema siyo Msimamo wa chama

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA kwa sasa ni kama wanajenga mnara wa Babeli.chama ni kama hakina uongozi wala hakifanyi vikao wala kuwa na mipango na mikakati ya pamoja . Ndio maana kila mtu hujitokeza hadharani kwa kukurupuka na mihemuko na kujiropokea chochote kile kinachomjia Mdomoni mwake...
  18. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wa Kenya waanzisha chama cha siasa kiitwacho INJECT

    Barua ya usajili: Mwamba mwenyewe ndio huyu (mwazilishi): Meanwhile in Bongo:
  19. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CAF Yapendekeza Hersi Said apate posho ya Milioni 136.5 kwa mwaka kama Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika

    Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limependekeza posho ya kila mwaka ya dola za Kimarekani 50,000 sawa na Shilingi Milioni 136.5 kwa Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika (African Club Association - ACA). Pendekezo hilo litajadiliwa kwenye Mkutano wa 46 wa Kawaida wa CAF, unaotarajiwa...
  20. NALIA NGWENA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kocha Miguel Gamondi tayari kajaa kwenye mfumo wa viongozi wa Yanga Sc kwa kumpa dakika za kutosha Chama mbele ya Pacome

    Naam wanajukwaa, Goli alilofunga Aziz K dhidi ya CBE na kutoshangilia lilikua na maana kubwa sana tena sana na hilo goli alifunga akitokea Sub baada ya Chama kutoka. labda kuna mashabiki watakua wanauliza hiyo ina maana gani kiukweli Azizi k hakua na Furaha kutokea bench na ndiyo maana ufungaji...
Back
Top Bottom