chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Lissu, G55 ambao huwajui uko nao katika ziara na vikao, uchaguzi wa chama unaonyesha hukupata kura za wajumbe kwa asilimia 49.

    Lissu hakupata kura za wajumbe kwa asilimia 49, hizo zilienda kwa mstaafu, bado wapo, na huwa unawatukana katika mikutano yako. Wengine wako na wewe kimkakati, lakini ni G55, unafanya nao ziara na vikao. Baadae wanageukiana wanacheka halafu wanasonya. Hizo asilimia zikibadilika zinaweza...
  2. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Ningekua mimi ndo mbowe ningeanzisha chama kingine

    Kwa kinachoendelea kule kwa aliowakabidhi kijiti na malumbano yaliopo mpaka sasa ni kama kuna nguvu 2 za mvutano. Sasa ili kuokoa jahazi moja ningeanzisha chama alafu ile timu inavyokinzana na mwenyekiti wa sasa naichukua fasta kutumia hiyo fursa pamoja na wale covid 19 nawaita wote kupata...
  3. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Wachaga mpo! Mmelala mpaka Chama chenu kimeondoka , sasa mtabaki na nini?

    Lengo la uzi huu ni kuwachangamsha kidogo ili mpate hamasa ya kufanya siasa na sio lengo baya Leo nawatania ndugu zangu Wachaga, mlikuwa na Chama cha CHADEMA mmezubaa mpaka kimeondoka, mali yenu imeondoka mwanangu, Mosha, Mrema, Tarimo, Mtei, Mbowe, Kimoso, Tairo mali imeondoka asee sasa...
  4. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania G55 CHADEMA Ni Wazi kuwa ni Mizizi wa Historia Toka CCM..Je kwa CDM ni Mustakabali wa Demokrasia au Ni chanzo cha Mgawanyiko Ndani ya Chama Hicho?

    Wiki hii, tulichangamshwa na habari juu ya kuibuka kwa kundi jipya linalojiita G55 ndani ya chama kikuu cha upinzani nchini, CHADEMA. Kutambulishwa rasmi kwa kundi hili kulitanguliwa na kuvuja kwa mawasiliano ya kundi la WhatsApp linalojiita G55. Mawasiliano haya yalivuja wakati uongozi wa...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Chadema: Makosa ya Kisayansi ,kufanya uchaguzi wa ndani,badala ya kujiandaa kwa uchaguzi mkuu, kinachosababisha Changamoto Kubwa kwa Chama

    Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ni muhimu kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutazama kwa makini makosa yaliyofanywa ambayo yanaweza kupelekea chama kusambaratika au hata kufa kabisa. Hapa, nitajaribu kubainisha makosa hayo na kutoa mapendekezo ya marekebisho...
  6. Mi mi

    JamiiForums Tanzania CHAMA CHA KIDEMOKRASIA KISIWE CHA KIDIKTETA KITAKUWA HAKINA TOFAUTI NA CCM

    Naomba kujuzwa mamlaka ya Lissu kutengua uongozi wa wanachama katika nyadhifa mbalimbali anapatia wapi kwa mujibu wa katiba ya chama ? Na je, chama kimetoa nafasi ya yeye kufanya hivyo pasipo wanachama kusikilizwa wala kujulishwa juu ya utenguzi wao umesababishwa na nini ?
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kukataa neno "Awamu ya Sita" kwa kukosa ilani ya chama na Kukubali "Awamu ya Tano" iliyokuwa na Ilana ya chama

    Katika kipindi hiki cha siasa za Tanzania, mjadala kuhusu awamu ya sita unazidi kuibuka, hasa kutokana na matendo ya serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Rais Samia anajiita yuko katika kipindi cha awamu ya sita, lakini ukweli wa mambo unaonyesha kuwa uongozi wake unategemea zaidi Ilani...
  8. Knock life

    JamiiForums Tanzania Huruma sio malezi , safarii hii hakuna kuwahurumia Ccm kauli ni moja nchi nzima hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi

    Huruma sio malezi , safarii hii hakuna kuwahurumia Ccm kauli ni moja nchi nzima hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi
  9. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Tumekabidhi chama kwa watu wasiojua kuponya majeraha Bali kuongeza majeraha ! Mpasuko huu ni mkubwa sana ! Siasa za kitoto zimetufikisha hapa !!

    Nilitegemea baada ya uchaguzi makundi yatakufa rasmi na ujenzi wa chama utaendelea !matokeo kumbe mlienda kugombea si kwa ajili kuongoza Bali kulipa kisasi kwa waliotangulia !! Niwafundishe jambo Tl na mdogo wangu heche !! Maiti haisemwi kwa mabaya' viongozi waliotangulia wangekuwa wabaya...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dkt. Godwin Mollel: Watanzania wana akili, CHADEMA wakiendelea hivi Chama kitakufa, watakumbuka busara za Mbowe

    Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameweka video hii na kuambatanisha na ujumbe huu: "Hii ndio reform Watanzania wanataka Siyo zile reform za Lissu na Heche , Watanzania wanaakili ...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kumbe kweli Mbowe hakuwa na Mapenzi na Chama (Chadema)

    Toka ameshindwa uchaguzi ameamua kukaa mbali na chama hataki hata kuhudhuria vikao vya chama.
  12. Kinjekitile Jr

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Fukuza hawa wafuatao ili Chama kibaki salama

    Kuna mtu wa “Mfumo” amenipa story ngumu sana kuielewa au kuiamini kuwa;kuna pesa nyingi sana inatoka Serikalini na inamfikia Freeman Mbowe ili atengeneze makundi ndani ya CHADEMA ili ife Mwanae James Mbowe ndio supplier wa mzigo kwa watu wao waliomo ndani na nje ya CHADEMA kwa sasa na tena pesa...
  13. sonofobia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema alaani vikali kiongozi wa Chadema taifa kupigwa na mlinzi wa Heche

    Nimesikitishwa na taarifa hii ya Chama ,pamoja na kutolewa kwa kuchelewa sana ,masikitio yangu yanatokana na mambo yafuatayo; 1. Chama hakikuona haja ya kulaani tukio la kiongozi wa wanawake taifa kupigwa na kuumizwa ,kipigo kilichotolewa na Mwanaume,bali kinasema ni taarifa zinazosambazwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi Tukubaliane na NO Reforms NO Elections ili Tusimalizane Wenyewe kwa Wenyewe.

    Nimeanza kuamini kuwa hii No reforms,no elections ya akina Lissu inaweza kutusaidia na sisi CCM.Inaweza kuzuia kutekana au kuuana wenyewe kwa wenyewe kama ilivyotokea Iringa kiongozi wa CCM kuuawa,ilivyotokea Mwanza juzi kiongozi wa CCM ambaye ana nia ya kugombea Tarime kutekwa,kutishiwa kuuawa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mratibu wa Uandikishaji Dar: Wakala wa Chama kazi yake ni kutazama sio kunakili majina ya wanaojiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja yenye kichwa cha habari “Wakala wa CCM anayeandikisha majina kwenye kituo cha kupiga kura anapeleka wapi majina hayo? Ndio utaratibu wa Tume?” na kufafanua jinsi Wakala wa chama alivyokuwa akichukua majina ya wanaojiandikisha, ufafanuzi...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godfrey Sitta: Katibu wa CCM Meatu amenunuliwa na mfanyabiashara mkubwa, amekua akisumbua kwa kugawa hela mchana na usiku kukigawa Chama

    Kada wa CCM, Godfrey Sitta amedai kuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Meatu, Mkoa wa Simiyu, Naboth Manyonyi amenunuliwa na mfanyabiashara mkubwa ambaye amekua akisumbua kwa kugawa hela mchana na usiku na kukigawa Chama na matokeo yake 'tutaingia vita ya sisi kwa sisi' na kuwapa wapinzani nafasi.
  17. musicarlito

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA na chama chochote cha upinzani wekeni nguvu kubwa Vijijini kabla na baada ya Uchaguzi, mijini hakuna shida mna karata

    Wasalaam Vyama vya upinzani msiwe kama manabii wa utapeli waliojazana mijini Mtaji wa CCM ni ujinga wa watu wengi walio vijijini...huku mjini mnakubalika sana...ushahidi ni kabla ya Mhe. Mwendazake...mtaji wa CCM ni vijijini Wao huwatishia kuwa amani ndio jambo la msingi na endapo chama...
  18. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RPC Simiyu tueleze je, PGO inaruhusu Magari ya Polisi kushiriki kusaidia shughuli za chama cha siasa?

    AIBU YA CCM SIMIYU LEO TAR 22.0 JESHI LA POLICE LA SHIRIKI KUSOMBA WAJUMBE WA CCM KWENDA KWENYE MKUTANO WA MAKALA BARIADI.!!!* Na Mzee madiba Simiyu -bariadi. Leo tar 22.03.2025 mkoani Simiyu Kuna kitu walichokiita sherehe za miaka minne ya Samia. Hii ni issue iliyoandaliwa na Mkuu wa mkoa...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Trump aifuta wizara ya elimu.Kisa walimu wengi wanakiunga mkono chama cha Democratic.Mfumo anaoutaka ni K-12

    Pamoja na onyo kutoka kwa wafuasi wake wa MAGA,rais Trump ametia saini amri ya kuifutilia mbali wizara ya elimu ya nchi hiyo. Amri hiyo imetajwa itaathiri sana vyuo vya elimu ya juu na vya kitafiti na hivyo kutazidi kudidimiza fikra ya Marekani kuwa taifa kubwa lenye maendeleo makubwa ya...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini kuwa Soka la Zambia sasa limekwisha na kuwa la Kipuuzi. Hivi Chama na Musonda wana Kiwango cha kuitwa National Team sasa?

    Niliwahi kusikia kuwa Klabu ya Yanga huhonga Makocha wa Timu za Taifa za Kigeni ili wawaite Wachezaji wao kwa ajili ya Kuwaongezea Thamani katika Mauzo ya baadae na pia kuingozea Thamani Yanga SC Kibiashara na Kimichezo na kwa Kitendo cha Kocha wa Timu ya Taifa za Zambia kuwaita Wachezaji...
Back
Top Bottom