chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Pamoja na Clatous Chama juzi tu 'Kuinanga' na 'Kuikoga' Simba SC baada ya Yanga SC kubeba Vikombe lukuki, ila Ndoa yake na Yanga SC imeisha rasmi

    Ila ninavyokujua unavyopapenda Dar es Salaam hasa lile Chimbo lako la Mbezi Beach (BK) ninajua tu utabakia Tanzania.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna Chama Cha Watu wasiosikia vizuri Tanzania?

    Habari, Kuna Chama Cha Watu wasiosikia vizuri Tanzania? Mimi ninashinda ya masikio kupiga kelele kutokana na sikio la ndani kuwa na shida. Nimehangaika sana mahospitalini lakini shida niliyonayo ni haitibiki (Tinnitus) ni ugonjwa wa kawaida na unawakumba watu wengine Duniani. Naomba mwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Chama cha majobless naombeni mnipe URAIS huyu wa sasa hatufai

    JINA: Kijana Masikini SIFA: Nimewahi kumiliki hela za kutosha. kwanini aliyopo hatufai? 1. Hana nidhamu ya utu wala nidhamu ya pesa. (ushahidi ni ban alopewa jana) 2. Sio mbunifu. Akili imekorogeka na unywaji gongo kupita kiasi hivyo hawazi kitu kipya cha maana cha kuwatoa Jobless katika hatua...
  4. JamiiForums Tanzania Musk aanzisha chama cha America Party 'kuwarudishia watu uhuru wao' baada ya kufufua uhasama mkali na Trump

    Musk, tajiri namba moja duniani na mfadhili mkubwa wa kisiasa wa Trump katika uchaguzi wa 2024, avunja uhusiano na Rais na kuanzisha chama cha kisiasa kipya Elon Musk, mtu tajiri zaidi duniani na aliyekuwa mfadhili mkuu wa Donald Trump katika uchaguzi wa 2024, amevunja uhusiano na Rais huyo...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 RC- Chacha Agomea Millioni 5 za mtia nia amchana Makavu

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameibua mjadala mkali wa kisiasa baada ya kudai kuwa baadhi ya wagombea wa kisiasa wamekuwa wakijaribu kumshawishi kwa fedha ili waweze kufanikisha ushindi katika kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza mbele ya viongozi wa serikali...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Enock yanadhihirisha namna mfumo ulivyo na shida

    Ukatili, impunity ya serikali/uongozi wa ccm TOKA JUU MPAKA CHINI inaanza ku permiate mpaka kwa watendaji wa chini huko vijijini. mauaji ya enock Soma DOKEZO - Kijana Enock Thomas Mhangwaock adaiwa kuuawa kikatili Msituni kwa kipigo kutoka kwa Watendaji wa vijiji vya Uyovu na Lyobahika
  7. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi ambavyo Nape na Byabato walivyo kidhalilisha Chama cha Mapinduzi Ccm kuwa wanashinda kwa kuiba kura , nitashangaa kama watarudi Bungeni!.

    Kamati kuu ya Ccm wakati wa kuchuja Majina tafuteni watu sahihi na wenye nidhamu . Mnakumbuka Mh Nape pamoja na Mh Byabato walivyojinasibu kuwa wao hata wakishindwa watangangazwa wameshinda. Kauli hii sio tu inaonesha wazi kuwa Tanzania ni nchi ambayo haina demokrasia . Na kuonesha kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Je, gharama za kuchukua Fomu kugombea Ubunge kwa Chama Babu ingekua ni Shilingi Milioni 5 hata Wavuta Bangi, Wehu, Wezi na Drug Dealers wangechukua?

    Kazi yangu kubwa sana leo baada ya kuanzisha huu Uzi ni kusoma tu Comments zenu mkiwa mmeshakijia Chama Babu.
  9. JamiiForums Tanzania Uwekezaji kupitia chama cha Siasa

    Habari Tanzania ! Hivi vyama vya siasa wana haki ya kuanzisha miradi ya kiuchumi - jamii kama chanzo cha mapato kwa lengo la kujiendesha? Natamani tuwapime kwa Uwekezaji ndani ya vyama vyao ndio sisi wananchi tuwe tunawapima uwezo wao kujiendesha na uwezo wa kiuongozi. Asante.
  10. JamiiForums Tanzania Ndani ya CHADEMA tupo Waumini wa Ufufuo na Uzima, Naomba Chama kitie nguvu kwenye Ibada zetu Kila Jumapili, kama ni mabomu tupigwe pamoja!!

    Niwaalike wanachadema wote Kwa ujumla,na watanzania wote na Wakristo, Kila Jumapili tuwepo , tuungane, tutie nguvu , Tupige kelele, tupaze sauti, Wacha wao watulige mabaomu, watuue, sisi tukusanyike, tufanye Ibada za Amani, tudai haki yetu ya kuabudu, TUIAMBIE DUNIA kua Tanzania Kwa Sasa Kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Leonard Mahenda Qwihaya a.k.a Manguzo açhukua fomu kugombea ubunge jimbo la Ilemela kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi.

    Mjumbe wa halmashauri kuu Mnec Leonard Mahenda Qwihaya achukua fomu kugombea jimbo la Ilemela. Mama Mabula ajiandae kuachia jimbo.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Je! Wabunge 19 wasio na chama, wataendelea kuwa wabunge hata baada ya bunge kuvunjwa?

    Hellow! Hawakuwa na chama, lakini walikuwemo bungeni, Leo bunge linavunjwa rasmi, Je, wao wataendelea kuwa wabunge? Maana hata baada ya CHADEMA kuzuia kufanya shughhuli za kisiasa, wao waliendelea kuwa wabunge! Karibuni 🙏
  13. JamiiForums Tanzania CCM ni chama imara kuliko CDM, ACT, CUF na NCCR. Upinzani acheni kulaumu badala yake jifunzeni kwao

    Team, Salaam! Mara nyingi kwa wapinzani nchini ukiwaambia ukweli badala ya kupokea ushauri wao huishia kutukana, kudhihaki, na kukejeli mleta mada. Lucas Mwashambwa na Pascal Mayalla kwa muda mrefu wamevaa viatu vya ualimu wa kuelimisha upinzani nchi lkn badala ya kupokea mawazo yao huja na...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna Chama kipo Kigoma tu alafu kimekuja na slogan ya Oktoba Linda Kura. CCM wamewapelekea IGP Mstaafu kuwa Mkuu wa Mkoa. Aibu yao!!

    Wakati Chadema inapambana na kampeni No Reforms No Election kwa faida ya Taifa na Wananchi wote, kuna wanasiasa wachache kwa tamaa ya fedha waliingia kwenye mitego ya CCM ili kuhujumu kampeni hii. Walichosahau hawa wanasiasa maslahi/ madalali ni kuwa CCM ni kama vampire ambaye damu kwake ni...
  15. JamiiForums Tanzania Hakuna vita Afrika iliyoanzishwa na chama Cha upinzani

    Kuanzia mapambano ya Biafra Nijeria, UNITA Angalo, RENAMO Msumbiji, POLISARIO Shahara na kwigineko kokote kule Afrika, vurumai huanzia ndani ya chama tawala ama kuanzishwa na chama tawala. Hakuna ushahidi wowote wa kuonesha kuwa vita vya wenyewe kwa wenyewe Afrika kuanzishwa na vyama vya...
  16. JamiiForums Tanzania Wazee wa Chama Mpo Wapi? Mfundisheni Mama Aache Siasa za Rafu, Taifa Halichezewi Hivyo!

    Katika kila jamii yenye uongozi wa kisiasa, kuna wakati ambapo busara za wazee wa chama huzidi kuwa na thamani kuliko mbinu za kisasa za kisiasa zinazokosa maadili. Hili ni wito mahsusi kwa wazee wa chama—wale waliobeba misingi ya harakati na falsafa ya uongozi wa kizalendo. Swali langu ni moja...
  17. JamiiForums Tanzania Bila chama cha upinzani chenye nguvu kushiriki uchaguzi hakuna uchaguzi bali maigizo na udanganyifu

    Bila chama cha upinzani chenye nguvu kushiriki uchaguzi hakuna uchaguzi bali maigizo na udanganyifu ambao haukubariki. Chama cha upinzani kipo sahihi kuhamasisha mazingira ya uwazi na kidemokrasia kwenye uchaguzi ili uchaguzi wetu usiwe wa maigizo na udanganyifu.
  18. JamiiForums Tanzania Je hawa magwajimanization ni kundi lenye nguvu ndani ya chama?

    Tumeona toka kwa ndugai kusema wazi hadi kushinikizwa kujiuzulu, tumeona kwa gwajima mwenyewe kukemea wazi utekaji , tumeshuhudi ya kanda ya ziwa kwa Mpina? Wanakosoa kwa kujenga taifa au kwa kumuangusha?
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 SINGIDA: Ujio wa COVID-19 waigawa CCM vipande vipande. Baadhi ya makada wasema wasubiri 2030, hii 2025 ni ya wenyewe. Ona hii Video

    Mimi sitii neno lolote https://youtu.be/O7SGS4mwTvg?si=hRC-aL9ZSLlf_sub
  20. JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali Ameondoka kimasihara kama Saanane, Soka, Chaula na wengine Wengi. Watanzania tuko kimya na Chama Chake nacho kimekubali! Dah

    Tumemkosea nini Mungu sisi!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…