Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Zanzibar, Haji Juma Omar amesema changamoto ya ulipaji wa mshahara mdogo kwa baadhi ya Walimu Zanzibar imesababisha kuwaingiza katika madeni makubwa na kusababisha kutafuta kazi nyingine za kuwaingizia vipato ili kuweza kujikimu.
Akizungumza katika Mkutano Mkuu...
Chama cha Walimu Zanzibar kimehoji Wanafunzi wanaohitimu na kufaulu masomo ya Sanyansi katika Skuli za Unguja na Pemba wako wapi baada ya kumaliza kusoma kwani bado kuna changamoto ya uhaba wa Walimu katika masomo hayo.
Hoja hiyo imeulizwa mbele ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar...
Mwalimu Leah Ulaya, aliyekuwa Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), anazungumziwa sana baada ya kushindwa katika uchaguzi wa uongozi wa chama hicho.
Hatima yake imekuwa ya wasiwasi kwa wengi, hasa kutokana na mchango wake mkubwa katika kuleta mabadiliko katika sekta ya elimu nchini.
Baada...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka walimu nchini kushikamana na kutokukubali kugawanywa
Dk Doto Biteko amesema hayo Jumapili Juni 8, 2025 jijini Dodoma wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Saba wa Chama cha Walimu...
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Emmanuel Kingu, na Mbunge wa Mlalo ambaye pia ni Katibu wa Wabunge wa CCM Bungeni Rashid Shangazi, wamepongeza uongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa hatua ya kuahirisha Mkutano Mkuu wao ili kupisha Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Ndugu wanachama, walimu wenzetu na mashabiki wa kweli wa maendeleo ya CWT,
Wakati mwingine kimya si busara! Sasa tusikie na sisi tusikike. Ni muhimu kusema ukweli huu bila kupepesa maneno.
Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia matumbo yasiyoshiba yakizusha kelele zisizo na msingi dhidi ya uongozi...
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Ruvuma, kimeiomba serikali kuwongezea walimu kikokotoo kutoka asilimia 40 wanayopokea sasa hadi kufikia asilimia 50 waliyokua wakiipokea awali ili iweze kuwapunguzia makali ya maisha na kuongeza ari na tija zaidi kwa walimu kufundisha wanafunzi...
Chama cha Walimu wilayani Pangani mkoani Tanga kimeiomba serikali kulipa malimbikizo ya madeni ya walimu ikiwemo posho za kujikimu, mishahara sambamba na malimbikizo ya madai ya walimu wastaafu.
Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba
Aneyasema Hayo Mapema Leo Wakati Wa Ufunguzi Wa Kliniki Ya Walimu Na Samia Same Kilimanjaro Yenye Lengo La Kusikiliza Kero Na Changamoto Za Walimu
Soma Pia: Makamu wa Rais CWT: Kero za walimu hazimalizwi kwa...
Wakuu
Yaani gari wanunue wao CWT alafu RC Kilimanjaro kaenda kuzindu tu!
==
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bwn. Nurdin Babu akizindua gari la chama cha walimu Moshi manispaa wakati wa Kliniki ya Samia katika mkoa wa Kilimanjaro iliyofanyika katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Weruweru...
Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba Amewataka Walimu Nchini Kujiunga Na Benki Ya Walimu 'MCB BANK' Kwa Lengo La Kuendelea Kukuza Kipato Cha CWT
Aneyasema Hayo Mapema Leo Wakati Wa Ufunguzi Wa Kliniki Ya Walimu Na Samia Mikoani Arusha Yenye Lengo La...
Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira
Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis.
Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand.
Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta...
Kumekuwa na uonevu mkubwa sana wa CWT UBUNGO ikilazimisha kuwakata walimu mishahara kama michango ya chama bila idhini ya wahusika Wala makubaliano.
Na hata wanapoomba kusitishwa Kwa michango hiyo hawasikilizwi au kupewa mlolongo mrefu wa namna ya kujitoa au hutolewa ndani ya muda mfupi Kisha...
CWT ni chama cha walimu kama kinavyojipambanua na kujitangaza siku zote za uwepo wake. Zaidi kinatangazika kwa sifa ya kutetea maslahi ya Mwalimu, haki na kumpigania mwalimu ili apate mazingira mazuri ya kazi.
Nafikiri imefika wakati sasa kama chama kijitathmini hasa kuhusu kazi yake na gharama...
Chama cha walimu Tanzania ndio chama kikubwa kuliko vyote vya Wafanyakazi hapa nchini japo leo hii kina sura tofauti mbele ya jamii. Yanayojitokeza hivi sasa ni muendelezo tu wa vurugu zilizoanza baada ya kifo cha aliyekuwa katibu mkuu Alhaj Yahya Msulwa 2017. Hiki ndicho kipindi ambacho...
Sisi baadhi ya Walimu Wilayani Kilwa tunazuiwa kujiunga katika Chama cha CHAKUHAWATA licha ya kuwa kuna wenzetu kati ya Walimu zaidi ya 300 wameshaamua kuhama kutoka CWT na kuhamia upande huo wa pili kutokana na makato makubwa ya CWT.
Kinachofanyika CWT wanaenda kwa Afisa Utumishi kuzuia Walimu...
Anonymous
Thread
chamachamachawalimuchamachawalimu tanzania
cwt
kubaki
kuhamia
kulazimishwa
tanzania
tunataka
walimu
wengine
Vita vya madaraka ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) imezidi kushika kasi huku kiasi cha watu wanaodaiwa kuwa nyuma ya mkakati wa kuuondoa uongozi wa sasa madarakani, wakitumia mitandao ya kijamii kuwadhalilisha baadhi ya viongozi wa chama hicho.
Katika kile kinachoelezwa kuwa sababu ya...
[emoji298]Maganga amethibitisha kwa matendo yake mwenyewe kuwa hana uwezo wa kushughulikia kikamilifu shida za wanachama na kusimamia madhumuni ya kuanzishwa kwa chama chetu.
Badala yake amekuwa ni mtu wa kukimbikimbia huku na huko kuhonga na kujinasua kwenya majanga aliyoyatengeneza yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.