chama cha siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekanaje mapinduzi kufanyika ndani ya Chama cha siasa ?

    Sijajua hili linawezekana vipi , Ofisi ya Msajili ina watambua watu fulani kama viongozi halali . Inawezekana vipi mtu mwingine kujitangaza kiongozi? Kwani haiwezekani kwa Ofisi ya msajili kuagiza hao watu wanataka fanya mapinduzi kinyume na taaratibu za chama husika kukamatwa Au na hili...
  2. Wafuasi wa Rais

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea CHADEMA: Watu wanaanza kutuelewa kwa nini tunawaambia, wasishabikie vyama vya siasa, washabikie Rais wao wa nchi.

    Kila mtu anaona na kusikia yanayotokea chama kikuu cha Upinzani CHADEMA. Wanachama wanaumia sana mioyoni mwao kutokana na mnyukano unaoendelea. Saaafi sana. Sisi, kama Wafuasi wa kujitolea wa Rais tunaamini kitu kimoja hapa Duniani: Nchi ni Rais. Rais ni nchi. Nchi ni wananchi. Wananchi ni...
  3. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kwa katiba iliyopo, still Lissu anaweza fanya harakati bila Chama, hilo linashindaka pia? Kuitisha maandamano huhitaji kuwa kwenye Chama cha siasa

    Ma Keybord worriour wenzangu, kwa katiba mbovu tulio nayo still bado hata bila chama unaweza anzisha harakati zako kikubwa uwe na watu nyuma yako. Unaweza hata ingiza watu Barabarani wakinukishe, sasa hili tunashindwa vipi? kwani ni lazima iwe ni ndani ya Chama? na hicho chama kiwe ni CDM...
  4. chakii

    JamiiForums Tanzania Lissu usiogope kuanzisha Chama cha Siasa, Watanzania tunaopenda mabadiliko tupo tayari kuchangia uendeshaji

    Wakuu habari.. Naelewa safari ya Lisu hapo CHADEMA Siyo nyepesi kwa kuwa inagusa maslahi ya wengi. Naelewa tiyari ana mawazo mbadala Baada ya hatua hii, Mimi nimtie moyo kuwa anayo nafasi ya kuanzisha Chama cha Siasa na Watanzania wazalendo Tusiopenda Rushwa, Uonevu, Uporaji wa rasilimali za...
  5. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ipi kazi ngumu kati ya kuongoza nchi na kuongoza chama cha siasa?

    Ndugu Yericko Nyerere , naona mrija wako upo hatarini kukatwa . Baada ya ujio wa Tundu Lissu ndo tujaua ukweli ikiwa kilimo cha Bamia kinalipa hadi mtu kujenga hekalu na maghorofa.
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CPA Makalla: Uimara wa Chama cha Siasa ni Nguzo Imara kwa Wananchi, Umoja Unajenga Imani

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa CCM-NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA makalla amesema uimara wa chama cha Siasa ni nguzo imara kwa wananchi kwani umoja unajenga imani kubwa kwao katika kuleta maendeleo. Makalla ameeleza hayo leo Novemba 21, 2024 akizungumza katika...
  7. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ukimuondoa Mbowe inaenda kuwa TLP, Chama cha siasa kinahitaji mtu mzito, mwenye historia ya kuwa Oligarch

    Huo ndio ukweli, Chama wakiachiwa hawa kina Lissu ni suala la muda tu, chalii Chama cha siasa kinahitaji mtu mwenye historia ya kuwa sehemu ya watu waliowahi kuwa kwenye oligarchy ya Tanzania Oligarchy ni hawa watu wachache wanaohusika / very connected na uongozi wa juu, mfano marais...
  8. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Polisi: Kuna chama cha Siasa kinapanga kufanya Vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    TAARIFA KWA UMMA Baada ya uteuzi wa Wagombea wa nafasi za Uongozi katika nafasi mbalimbali za Serikali za Mitaa, kuna Chama cha Siasa kimepanga na kinahamasisha wafuasi wao kwa njia mbalimbali ikiwepo kukutana, kupigiana simu, kutumiana ujumbe na kwa kutumia makundi sogozi, kudhuru watu na...
  9. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ilani ya chama cha siasa unachokiunga mkono inazungumziaje utunzaji wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi?

    Utunzaji wa mazingira na kupambana na mabadiliko ya tabianchi ni masuala muhimu kwa maendeleo ya nchi yoyote, hasa zile zinazokabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa, kama ilivyo kwa nchi yetu Tanzania. Katika muktadha wa kisiasa, ilani za vyama vya siasa zinachukua nafasi muhimu...
  10. kwisha

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri mtoto kumkataa baba yake mzazi kutokana na matendo yake?

    Japo imeandikwa kuwa kila binadamu ana mapungufu yake Ila mapungufu hayo yakizidi ayo tunaita makusudu. Let me go straight to the topic Ilikuwa mwaka 2010 baba alimuacha mama na kwenda kuishi na mwanamke mwingine alituacha sisi tukiwa bado watoto wadogo. Mimi ndo first born katika familia yenu...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Wachungaji na Maaskofu waiache CHADEMA ijipambanue kama chama cha siasa

    Kwa mwaka huu 2024 imekuwa vigumu kujua kama CHADEMA ni chama cha siasa chenye nia ya kuhudumia Watanzania wote au ni Taasisi ndani ya taasisi ya dini katika madhehebu tofauti. Miaka ya nyuma kulikuwa na minong'ono tu kuwa hiki ni chama kinadhaminiwa na Mlengo wa Kikristo. Maneno hayo nilikuwa...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wa Kenya waanzisha chama cha siasa kiitwacho INJECT

    Barua ya usajili: Mwamba mwenyewe ndio huyu (mwazilishi): Meanwhile in Bongo:
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ili kuepusha vyombo vya Dola kujihusisha na Siasa Rais wa Nchi asiwe MwenyeKiti wa Chama cha Siasa

    Ili vyombo vya Dola visiegemee kwa wanasiasa wakati wa utendaji wa majukumu yao, itungwe Sheria ya kuzuia Mtu anayeshinda kuwa Rais wa Nchi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Siasa. Hii itaepusha hata kwenye matumizi ya mali ya umma kwenye Chama cha Siasa. Watunga Sheria na wasimamizi wa Sheria...
  14. A Peculiar people

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kitanzania tuanzishe chama kipya chenye vijana wenye malengo na msimamo wa kuiona nchi ikisonga mbele

    Habari za wakati huu ndugu zangu.. Naamini hoja hii inakuhusu kama wewe ni kijana wa Kitanzania unaependa maendeleo, haki na amani.. Ningependa kuwasilisha wazo kwenu vijana wenzangu wenye kutamani Tanzania iliyo bora. Kwa muda mrefu tumekuwa tukitaka mabadiliko ya hapa na pale katika nchi...
  15. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Askofu Josephat Gwajima, anayofanya askofu mwanamapinduzi ni wewe unamtuma? Kwanini hujamfukuza kanisani kwako?

    Ndugu yangu askofu Josephat Gwajima wewe ndiye baba askofu mkuu wa makanisa yote ya ufufuo na uzima Tanzania, wewe ni mbunge na ni kada wa chama Cha mapinduzi unakiona anachofanya mojawapo ya wachungaji wako pale Kibaha kwa Mathias ? Askofu mwanamapinduzi amelibadili kanisa la Kibaha kuwa...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama

    NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka. Ofisi za chadema zote...
  17. Mr-Njombe

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kujiunga na chama cha siasa

    Mabibi na Mabwana, SALAMU. Mara baada ya salamu, Mimi ni kijana wenu wa umri wa miaka 23. Ni mwenyeji wa Njombe ila kwa sasa nipo masomoni dasalama. Sitaki uongozi wa siasa kwa sasa ila nawiwa kujifunza siasa kwenye chama ambacho kina sera nzuri, mipango mikakati bora na uelekeo sahihi ambapo...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Njia zipi zitumike kukifuta chama "hewa" cha siasa?

    Salaam, Shalom! Wakati tukiendelea kujiuliza kwanini hakijasajiliwa chama chochote cha siasa kipya tangu iliposajiliwa ACT Wazalendo licha ya vikundi kadhaa kuomba usajili, tujielekeze kwenye mada. Akihojiwa na Television ya ITV kipindi Cha Dakika 45, Mh TUNDU Lissu amedai, chama Cha MAPINDUZI...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe Makini Kabla TLS Haijajigeuza Kuwa ‘Chama cha Siasa kali’

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna hatari ninayoiona ikija kupitia chama cha wanasheria Wa Tanganyika yaani TLS.Naona ni kama kinataka kutolewa kutoka kuwa chama cha kitaaluma na kujigeuza kuwa chama cha siasa kali na kinachoweza kuivuruga serikali na hata kuleta Masuala yatakayochochea...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa zangu za NIDA zinaweza kufikiwa na Chama cha siasa?

    Chama kimoja cha siasa (sina uhakika kama vingine navyo vinafanya hivi) kinaandikisha wanachama kwa kutumia kitambulisho cha NIDA.Je Chama hiki kitakuwa na uwezo wa kufikia taarifa binafsi za mwanachama?Nini faida na hasara zake?
Back
Top Bottom