chama cha mapinduzi

  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama Cha mapinduzi CCM kitashinda Uchaguzi Mkuu 2025 Kwa kishindo

    Licha ya upinzani mkubwa wa sera na mipango mikubwa ya Chadema ni wazi CCM ni mshindi mpaka sasa Kwa sababu hawa Chadema wenye wafuasi wengi hawatashiriki uchaguzi. CCM Wana Hela za kutosha hawana tone Kwa tone, Wana vyombo vya ulinzi Wana watumishi wa Umma kama walimu ambao wao Kila kitu...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira: Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakitaahirisha uchaguzi ng'o

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitaahirisha uchaguzi ng'o kwa sababu kiliomba ridhaa ya kuongoza nchi kwa miaka mitano na kimeongoza vizuri kwa kuleta maendeleo chini ya serikali iliyoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan Hayo yameelezwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Dr. Tulia anasema vijana wajitokeze kuyasema mazuri ya serikali; anasahau Baba ukishatoa kafara mtoto mmoja kisa utajiri mazuri yote hufutika.

    Mpo salama! Ukishatafuta utajiri wa kafara, ukamtoa Mke au mtoto mmoja na watu wakajua na watoto waliobakia. Hata uwajengee watoto ghorofa, uwanunulie Range Rover, au ukawasomeshe Marekani. Kamwe hawatakutaja kama Baba Bora, wala hautasifiwa kwa lolote zuri. Hakuna Jambo kubwa kwenye maisha...
  4. winnerian

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa sana tukaendelea na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa muda wote: nini kifanyike?

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kitambue kwamba kama kimeweza kuwamudu Watanzania kwa muda wote, basi ni juu yao sasa kuhakikisha kinatawala taifa imara lenye nguvu—na siyo taifa dhaifu. CCM iweke mazingira na sheria ambazo zitastawisha Tanzania na siyo kuididimiza. Itafika mahali hata cha kuiba...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi zingatieni haya

    Ni muda mzuri kuwasikilizisha wana CCM jambo hili..kwa kifupi kabisa, siasa za Tanzania zimechukua sura mpya ya UHASAMA mara tu Stephen Wassira alivyokuwa Makamu Mwenyekiti CCM Taifa, uhasama ulikuwepo lkn si kwa kiwango hiki kilichopo sasa.. 1. Maisha ya Wassira hayana fundisho lolote zuri...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokea taarifa na kisha kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Uwanja

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokea taarifa na kisha kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Musoma, mkoani Mara, leo Jumatano tarehe 23 Aprili 2025.
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) inawatakia Watanzania wote hususani waumini wa dini ya kikristo Ijumaa Kuu njema

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) inawatakia Watanzania wote hususani waumini wa dini ya kikristo Ijumaa Kuu njema. #𝙆𝙖𝙯𝙞𝙉𝙖𝙐𝙩𝙪𝙏𝙪𝙣𝙖𝙨𝙤𝙣𝙜𝙖𝙈𝙗𝙚𝙡𝙚
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania, na Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (Mb), Spika wa Bunge la Tanzania, pia Rais...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waitara: Vijana wanaotafuta ajira wajue ajira zinatengenezwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema kwa vijana wanaotafuta ajira, ajira zinatengenezwa na Chama cha Mapinduzi.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi Tuepuke Kunasa kwenye Mtego wa Chadema Siku ya Uchaguzi.

    CCM tusije tukanasa kwenye mtego ambao Chadema wanauandaa.Wao wanataka wapiga kura wasijitokeze kupiga kura siku ya uchaguzi. Lakini wanataka kuhamasisha maandamano nchi nzima kama kampeni ya kuzuia uchaguzi hiyo siku ya uchaguzi. Ikitokea vyombo vya ulinzi na usalama vimesambazwa kuzuia...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake CCM Mbeya Lucia Sule afariki Dunia baada ya kukaa ICU siku 36

    Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya Lucia Sule amefariki Dunia Usiku wa Machi 31, 2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mkoani humo. Kifo chake kinahusishwa na ajari ya gari iliyotokea Tarehe 25, Februari...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi Tukubaliane na NO Reforms NO Elections ili Tusimalizane Wenyewe kwa Wenyewe.

    Nimeanza kuamini kuwa hii No reforms,no elections ya akina Lissu inaweza kutusaidia na sisi CCM.Inaweza kuzuia kutekana au kuuana wenyewe kwa wenyewe kama ilivyotokea Iringa kiongozi wa CCM kuuawa,ilivyotokea Mwanza juzi kiongozi wa CCM ambaye ana nia ya kugombea Tarime kutekwa,kutishiwa kuuawa...
  13. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hemed akabithi Iftari kwa watendaji zaidi ya 330 wa Chama cha Mapinduzi (CCM)

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Hemed Suleiman Abdulla akikabidhi sadaka ya Iftari kwa watendejaji zaidi ya 330 wa Chama cha Mapinduzi kwa upande wa Unguja katika Ofisi Kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  14. milele amina

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Faida na Hasara ambazo ni nyingi za Kuanzishwa kwa Chama cha Mapinduzi Tangu Mwaka 1977 hadi sasa

    Utangulizi Chama cha Mapinduzi (CCM) kilianzishwa mwaka 1977 kutokana na muungano wa vyama mbalimbali vya kisiasa, ikiwa ni pamoja na Chama cha Umma (ASP) na Chama cha Mapinduzi (SMT) cha Zanzibar. Kuanzishwa kwa chama hiki kumekuwa na athari nyingi katika nyanja tofauti za maisha ya wananchi...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sisi Chama cha Mapinduzi tunasema hakuna kazi bila utu, kwani tunawahudumia Wananchi na kuhakikisha tunawapatia maendeleo wanayostahili kwa weledi wa

    Sisi Chama cha Mapinduzi tunasema hakuna kazi bila utu, kwani tunawahudumia Wananchi na kuhakikisha tunawapatia maendeleo wanayostahili kwa ueledi wa hali ya juu. CCM 2025 ✅, KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.
  17. Doto12

    JamiiForums Tanzania Serikali ya mkoa wa Dar es salaam Fikeni kinyerezi Ilani ya chama cha Mapinduzi inakanyagwa

    Ni mwezi, miezi na mwaka sasa watendaji wa umma wameamua kuwa sikio la kufa. Mnamo mwezi ya saba mwaka 2024 mh waziri alitembelea kinyerezi kuondoa kero ya maji iliyotesa wananchi. Aliiweka chini ya uangalizi wa wizara, cha ajabu mwaka unatimia kero ikiandama wananchi wa saranga na kinyerezi...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Ahmed Djellal,

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal, ambaye alifika ofisini kwa Balozi Nchimbi, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, kwa ajili ya kuaga, Jumatano tarehe 12...
  19. milele amina

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa CCM wanaopinga mchakato wa Rais Samia Suluhu Hassan kupewa nafasi ya kugombea bila kupingwa tukutane hapa

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaopinga mchakato wa Rais Samia Suluhu Hassan kupewa nafasi ya kugombea bila upinzani, tunakaribishwa kukutana hapa ili kujiorodhesha majina yetu. Tunatarajia kuwa na wanachama wapatao 12,000 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Sababu za Kukutana 1...
  20. Janeth Thomson Mwambije

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi, kata ya Kivule (Juni-Disemba 2024)

    Nilifanikiwa Kutembelea Ofisi Ya Kata Ya Kivule, Iliyopo Wilaya Ya Ilala, Mkoa wa Dar Es Salaam, Ili Kuweza Kupitia Taarifa Ya Utekelezaji wa Ilani Ya Chama Cha Mapinduzi Kwenye Kata Ya Kivule Iliyotekelezwa Kwa Muda Wa Juni - Disemba 2024, Kwa Mapato Ya Ndani - Halmashauri Ya Jiji La Dar Es...
Back
Top Bottom