Utaratibu wa kawaida wa chama kile ni mgombea wa urais ni kujaza fomu ya kuomba apate ridhaa ya kukiwakilisha chama kwa kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili athibitishwe kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho. Lakini hilo suala jana limetupwa kampuni na hatimaye wajumbe...
Serikali ya awamu ya sita imetekeleza Ilani Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020-2025 katika Eneo la Umwagiliziaji kwa asilimia 82 mpaka sasa.
Lengo lilikuwa ni Kuongeza eneo lenye miundombinu mpaka kufikia hekta 1,200,000 ifikapo mwaka 2025 Ambapo hadi mwaka 2024 Eneo la umwagiliaji...
Miongoni Mwa Mafanikio Ya Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan Katika Wilaya Ya Ilala
- Ujenzi wa Barabara Ya Mwendokasi; Katika Uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kumetekelezwa Ilani Ya Ujenzi wa Barabara Ya Mwendokasi Inayoendelea Kujengwa Ili Kupunguza Kero Ya Usafiri Kwa Wakazi wa...
Mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndio habari ya nchi kwa sasa, na ndio maana kila pande ya Tanzania inausubirikwa hamu mkutano huu.
Kila pande ya Tanzania macho na masikio yao yatakuwa jijini Dodoma, Ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete.
#kaziiendelee
#tunaendeleanamama
#MkutanowaCCM2025
Leo hapa Iringa kwenye yale mabishano ya mitaani kuhusu siasa nimeshangazwa Sana na wana CCM.
Zaidi ya wana CCM 50 niliokutana nao na kuwauliza ni kwa nini chama chao kinaitwa "Chama Cha Mapinduzi" hakuna hata mmoja aliyekuwa na jibu.
Kuna wakati taasisi ya Twaweza waliafanya utafiti wa ni...
Hello!
Natumai mu wazima!
Nchi ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ni yetu sote watanzania ila kitu kibaya kuna baadhi ya kundi dogo la watu kuona nchi hii ya Tanzania inapaswa kuwa mali yao binafsi.
Hilo ni kosa kubwa kwa chama tawala kudhani wao ndio wanapaswa kutawala nchi hii miaka yote...
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,ni haki yangu kikatiba,nina elimu ya kutosha,umri unaruhusu,hivyo kwa mapenzi yangu makubwa na nchi yangu ya Tanzania ,na kwa kiu yangu kubwa ya kutaka kuiona Tanzania inapiga hatua za kimaendeleo katika kila nyanja,nimeona ifikapo mwakani na mm...
Kwa hivi karibuni kila Mtanganyika na Mzanzibari ameshuhudia Serikali inayoongozwa na CCM ikiwa ni kinara wa kuendelea kuwasahaulisha kizazi hichi kipya historia mama ya Nchi yao Iliyo ni tunda la Muungano yaani Tanzania.
Sherehe za Uhuru wa Tanganyika zimekuwa kama ni hisani, hazipewi kabisa...
Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Peter Msigwa ametahadharisha watanzania juu ya upotoshaji unaotarajiwa kufanywa na vyama vya upinzani nchini kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji uliofanyika Novemba 27, 2024.
Akizungumza na Vyombo vya Habari Disemba 09, Msigwa amesema...
Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Geita kimepata pigo baada ya diwani wake wa Kata ya Nyaruyeye Halmashauri ya Geita, Malimi Saguda kufariki dunia.
Malimi ameshika nafasi ya udiwani kwa vipindi viwili mfululizo na amefikwa na mauti akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Bugando kwa ugonjwa wa...
1. Utekelezaji wa ilani ya ccm ya 2020-2025.
Wananchi waliridhishwa na miradi iliyotokelezwa ,kama vile barabara,huduma za afya,na elimu.M afanikio haya yalijenga imani na kuimarisha uungwaji mkono wa ccm.
2. Maandalizi ya mapema. ccm ilifanya tathmini ya viongozi waliopo na kuandaa wagombea...
1. Kundi la watu wote ambao hawakuweza kumudu gharama za masomo ya elimu juu,serikali ya chama cha mapinduzi ikachukua jukumu la kuwasomesha tena kwa kutumia gharama kubwa,leo mnatumia usomi wenu kukitukana chama cha mapinduzi, nawaambia laana ipo malangoni mwenu,tubuni Mungu hapendi watu...
Watanzania wengi bado wanakiamini chama cha Mapinduzi CCM. Wanaamini kuwa CCM ndio chama pekee chenye uwezo wa kusimamia amani na utulivu wa nchi yetu. Hakuna chama chochote cha upinzani chenye uwezo huo.
Nami naungana na watanzania wenzangu kukipa kura chama imara ccm, kesho tarehe 27/11/...
TAMKO LA CCM KWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeandaa tamko maalum kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Uchaguzi huu ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu, kwani utahusisha kuchagua wenyeviti wa mitaa, vijiji, vitongoji, wajumbe wa kamati za...
ahadi
ccm
ccm uchaguzi
chamachamapinduzi
katika
mafanikio
mapinduzi
mitaa
mwaka 2024
serikali
serikali za mitaa
serikali za mitaa 2024
tamko
uchaguzi
usalama
utawala
utekelezaji
Wakuu,
Tunaendelea kula popcorn wakati tunaendelea kuangalia movie.
====
Katibu wa Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kata ya Iwawa Benjamin Mahenge amewasihi wanaccm kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura za ndio wagombea wao na kuachana na wa vyama vya upinzani ambao kazi yao ni...
Wakuu,
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa Nyamongo na Mkoa wa Mara kwa ujumla kufanya kampeni za kistaarabu na kujitokeza kupiga kura katika Uchaguzi wa...
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi Ally Hapi leo amezindua kampeini za uchanguzi wa Serikali za Mitaa kwa chama hicho mkoa wa Kagera huku akiwapigia chapuo wagombea wa chama hicho huku akisema ndiyo wagombea pekee wenye Connection kuanzia ngazi ya chini mpaka kwa Rais
Usiporuhusu ushindani kwenye biashara yako huwezi kujua ubora wa bidhaa zako kwenye soko, vile vile usiporuhusu uchaguzi huru huwezi kujua kama wananchi bado wanakiunga mikono chama chako.
Imagine Simba aikimbie Yanga kwenye mechi na mwisho wa ligi Yanga atangazwe bingwa, au Azam TV aikimbie...
1. Ficheni mipango yenu ya Kisiasa
2. Acheni kuwaamini 100% Wake zenu na hasa Madereva wenu
3. Kuweni makini na Vinywaji mnavyokunywa hasa maeneo ya Mapumziko
4. Kataa kuwa na Chawa kwani Mafia wanawatumia hao hao Machawa wenu Kuwamalizeni kiurahisi
5. Kama unasali sana, Sali Kweli na kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.