chama cha mapinduzi

  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi kuleta mradi wa Big Z kuongeza maduka ya kisasa kwa wafanyabiashara Zanzibar

    Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuleta Mradi mkubwa wa Big Z ambao utahusisha ujenzi wa maduka ya kisasa pamoja na uimarishaji wa barabara katika maeneo ya Mjini Dkt Mwinyi ameeleza hayo wakati akizungumza na wafanyabiashara...
  2. pulex

    JamiiForums Tanzania Tanzania mpya: Chama cha Mapinduzi (CCM) kifutiwe usajili Tanzania

    Tumefika hapa tulipo ni kwasababu ya CCM. Chama hichi kimeshapoteza misingi yake na dira, viongozi wanauana kwa sumu, utekaji na mauaji, ukandamizaji wa haki, ufisadi wa kufuru, yaani yale yaliopo kwenye kitabu cha msajili wa vyama kuhusu hichi chama yamekiukwa na inapaswa kufutiwa usajili pale...
  3. 100 others

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

    https://www.youtube.com/watch?v=W05IF22nAfI Kupitia YouTube, Kapteni Tesha anaanza kwa kusema.. "Habari za wakati huu watanzania Kwa majina naitwa K Tesha afisa kutoka jeshi la wananchi wa Tanzania katika kikosi [00:03] cha Saki kwa maana kwamba ni shule ya anga ya kijeshi Awali ya yote...
  4. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi kutojihusisha na siasa ni pale wanapounga mkono vyama vya Upinzani? Mwanajeshi Mkufunzi kusema anakishukuru chama chake CCM ni sawa?

    Nimeona video inayomuonesha mkufunzi mmoja wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) akizungumza mwaka 2024, ambapo anasikika akikipongeza chama chake, Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa kile alichokiita “kazi nzuri,” na hata kumpongeza kiongozi wa chama hicho. Kauli kama hii mara chache...
  5. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi: Nitaifanya Tumbatu kuwa Wilaya

    Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewaahidi wananchi wa kisiwa cha Tumbatu katika miaka mitano ijayo atahakikisha anaifanya kisiwa hicho kuwa wilaya. Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza katika mkutano wa kampeni...
  6. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi aahidi kuongeza barabara na skuli za ghorofa pangawe - Zanzibar

    Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuimarisha miundombinu ya barabara na sekta ya elimu ili kuleta maendeleo makubwa Unguja na Pemba. Akizungumza na wananchi wa Jimbo la Pangawe, Mkoa wa Mjini Magharibi, Dkt. Mwinyi amesema serikali...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nape: Anaehoji utu wa Rais Samia anajitoa ufahamu

    Mgombea Ubunge katika Jimbo la Mtama mkoani Lindi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amesema wanaohoji utu wa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan anatakiwa kupingwa kwani amefanya mengi makubwa ikiwemo kumimina...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Haji Manara: Tuombee Mvua isinyeshe Oktoba 29, 2025 wasipate sababu, tukamchague Rais Samia

    Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Haji Sunday Manara, ametoa wito kwa wanachama na wafuasi wa chama hicho kuombea mvua isinyeshe tarehe 29 Oktoba, 2025 siku ya Uchaguzi Mkuu nchini ili kuhakikisha kila Mtanzania anashiriki kikamilifu katika zoezi la kupiga...
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Tutalipa fidia zote, Serikali ya Chama cha Mapinduzi haidhulumu mtu tutakuja kulipa

    Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kigoma Mjini leo Septemba 14, 2025 akiendelea na kampeni za CCM amewahakikishia wananchi kuwa katika miradi yote iliyoanzishwa na kutekelezwa na serikali kama kuna maeneo ya wananchi...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Huwezi sikia mtu wa CCM akisema tukiwashe kwa fujo, wakisema tukiwashe ni King'amuzi cha Azam

    Mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, akiendelea na kampeni Kasulu Mjini, Kigoma leo Septemba 13, 2025), amesema chama chake hakina utamaduni wa vurugu. "Humsikii Mtu kwenye Chma Cha Mapinduzi (CCM), anasema tukiwashe, wakisema tukiwashe ni kile King'amuzi cha Azam, lakini sio tukiwashe...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt Samia: Nawaomba Wanambeya twende tukapigie kura Chama cha Mapinduzi

    TUKAPIGIE KURA CHAMA CHA MAPINDUZI - DKT. SAMIA DKT. SAMIA - NAWAOMBA WANAMBEYA TWENDE TUKAPIGIE KURA CHAMA CHA MAPINDUZI Maelfu ya Wananchi waliojitokeza katika mkutano wa Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tiketi ya Urais ambaye ni Dkt. Samia Suluhu Hassan Mbalizi, Mbeya Kwenye Video ni...
  12. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbio za kukinadi Chama cha Mapinduzi mkoani Geita zaanza kwa kishindo

    MBIO ZA KUKINADI CHAMA CHA MAPINDUZI MKOANI GEITA ZAANZA KWA KISHINDO 📌 Majimbo 7 kati ya 9 yapita bila kupingwa 📌 Kata 92 kati ya 122 zapita bila kupingwa 📌 Maelfu wakusanyika kusikiliza Ilani ya CCM 2025-2030 📌 Dkt. Biteko awasisitiza wananchi kujitokeza kwa wingi kumpigia kura Dkt. Samia...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanikiwa kukusanya karibu bilioni 100 za kampeni, ila hazina msaada kwa wagombea Ubunge Wala Udiwani kupitia CCM

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanikiwa kukusanya karibu bilioni 100 kupitia michango ya wafanyabiashara mbalimbali nchini. Hata hivyo, kuna masikitiko makubwa miongoni mwa wanachama na wagombea wa chama hicho, hususan wale wanaowania nafasi za ubunge na udiwani. Fedha hizi, ambazo zinapaswa...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa Chama Chama Cha Mapinduzi hauna Afya

    Akizungumza kwa njia ya mtandao mbunge wa Zamani wa Kawe kupitia CCM Askofu Josephat Gwajima amesema mwisho wa CCM hauwezi kuwa na Afya.
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti CCM Rais Samia akiongoza Kikao cha Kamati Kuu

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma tarehe 21 Agosti, 2025, kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: CCM tunakaribia kutekwa na kundi la wanamtandao

    Agosti 13, 2025 wakati Humphrey Polepole akiendelea na mazungumzo yake kupitia mitandao ya kijamii ameeleza kuwa CCM inakaribia kutekwa na Wanamtandao na watu wanajua ingawa wanawaogopa ila yeye hawaogopi. "Huku sisi tunakaribia kutekwa na kundi la wanamtandao mtu yeyete aliyekuwepo toka zamani...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni

    Wakuu! Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo Agosti 11, 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba amesema, "Tukipokea kila aina ya mchango tutaainisha inapotoka." "Lakini hatutapokea...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mzee Baraka Shamte: Wanaosema uteuzi wa Samia haujafuata katiba ya CCM, hawajaisoma

    MZEE BARAKA SHAMTE AUNGURUMA KUHUSU KANUNI NA KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI Mzee Baraka Shante ni Mtoto wa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Zanzibar kabla ya Mapinduzi na Kada Mbobezi wa CCM na miongoni mwa waanzilishi wa Afro Shirazi Party Youth League Wing. Baraka Shamte amesema wanaosema uteuzi wa...
  19. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Nitaichangia CCM $40k kama Samia atapata kura za ukweli 3m

    Jana Samia kachukua fomu, ukiangalia tukio Zima, mchukua fomu na Mgombea mwenza walikuwa wabaridi mno. Uchaguzi wa mwaka huu umepoa aswaa, hauna hamasa ata kidogo. Wananchi hawataki kabisa kumsikia Mgombea wa CCM. Matukio ya utekaji, mauaji, ubakaji,kubambikizia wapinzani kesi za uongo ndo...
  20. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Nini Maana ya Chama Cha Mapinduzi?

    Tumelelewa na Chama Cha Mapinduzi lakini hatujui maana yake,Chama kigumu kutoka madarakani lakini tunaendelea kuimba demokrasia,je Chama cha Mapinduzi ni nini? Katiba ya Chama Cha Mapinduzi inasema hiki ni Chama Cha Ujamaa,Je nini Maana ya Ujamaa!? Katiba ya CCM inasema Chama Cha Mapinduzi ni...
Back
Top Bottom