TANROADS na kwa TARURA na Jiji ukienda katika mataifa yote, Dar kwa mfano, kuna zile kampuni za kukamata rwong parking, zile kampuni sijui kama mmeshawahi kujua wanachopata wao na mnachopata nyie, lile ni genge la rushwa, ni kubwa sana, vibaka na watu ambao hawahusiani ndio wanaendeleza hizo...
Leo nilikutana na clip moja ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Chalamila.
Katika clip hiyo Chalamila anasema moja ya sababu inayosababisha foleni zisiishe ni uwepo wa magari yenye namba A, na mengine ambayo ni machafu na hayana AC (kiyoyozi).
Halafu bado mna matumaini ya kuletewa maendeleo na...
GT
Chalamila ni kituko kweli kweli na hatujui roll model wake ni nani aisee. Uwasilishaji wake wa hoja ni hovyo kabisa.
Matokeo yake hata mambo nyeti yanaonekana ya kawaida, ana bla bla nyingi sana huyu jamaa.
Kuchekesha chekesha watu siyo sifa unatakiwa ulete attention kwenye mambo mazito ili...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa anashangaa kuona taarifa zinazohusu wanafunzi katika baadhi ya shule zilizopo mkoani Dar es Salaam wakikaa chini, licha ya kuwepo kwa viongozi kama Mkurugenzi, Mkuu wa Wilaya na Maafisa Elimu.
Amesema kuwa changamoto hiyo siyo matokeo...
Wakuu,
Hili la Mkuu wa Mkoa kuwaita Wachina wahuni nyie wenzangu mnalionaje?
Mkisikiliza huko mwisho anasema:
"Sasa hawa ni wahuni. Pengine nyie mkiona hizo sura mnadhani hawa ni Wachina wa miaka ile ya yule mzee muasisi wa China. Hawa sio. Hawa ni wahuni kabisa hawa. Sijajua tunafanyaje...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amefanya ukaguzi wa barabara ya Mivumoni, wilayani Kinondoni, na kusisitiza umuhimu wa miradi ya miundombinu katika kuchochea maendeleo ya wananchi.
Amesema ujenzi wa barabara hutoa fursa za ajira kwa vijana, huongeza thamani ya ardhi na nyumba, pamoja na kuchochea...
Karibu na roundabout ya Goba eneo la mbezi mwisho mita 6-8 kutoka ilipo shule ya msingi mbezi mwisho [ENEO LA HIFADHI ] ya barabara kuna dampo kubwa jipya linalokuwa kwa kadi na kuvutia watupaji wa taka kutoka maeneo ya Kimara na mbezi huku likihatarisha usalama wa wanafunzi, kituo cha afya na...
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Bw. Crispin Chalamila, Januari 19, 2026, ametoa taarifa kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kuhusu majukumu, mamlaka na muundo wa Taasisi hiyo, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti...
Wafanyabiashara wa soko la mabibo wafunguka kutukanwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba.
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kwasasa wanafanyia utafiti camera zinazofungwa majumbani kwa watu au sehemu mbalimbali nazo zisajiliwe kama ndege ambazo hazina rubani(drones) kwa sababu baadhi ya camera hizo hutumiwa vibaya na watu kuchunguza maisha ya watu binafsi...
Mkuu wa mkoa Dar es salaam ameagiza polisi na wanasheria kumhoji Kwa kina na kisha kumfikisha mbela ya sheria Fr Kitima Kwa kuhusisha Tanesco na utekaji
Tukumbuke Fr Kitima alisema kuwa kuwa Tanesco walizima umeme maksudi ili avamie na kujeruhiwa
Hii imetushangaza RC Chalamila kumchukulia...
GTs,
Nimeona Maria Sarungi akimtahadharisha Fr. Kitima kuwa kuna askari polis wanne wametumwa na Samia kumuua Fr. Kitima, na hii inaendana na biti la RC Chalamila kusema anaunda kikosi kazi kumchunguza Fr. Kitima kauli yake. Maana yake RC chalamila alivyo boga anategemea amuite Fr. Kitima ili...
Hao Mlokaa kupanga namna ya Kumuua Kitima wamo waroman.
Huko Tanesco pia Wamo Waromani.
Funga Domo lako kubwa Kaa kimya, Jiandae Dec 9 Unatembelewa !!!.
Kuna kutupiana maneno Kati ya Lema na huyu Nabii
Sasa kilichotekea ni hivi
======
Post ya juu (nabii_bashando):
“Nimekuwa na maombi ya kuutakasa mji wa Arusha na kwa siku sita hatimaye leo nimemaliza…. Ujumbe nilioupata ni juu ya huyu nabii wa CHADEMA kwamba atengeneze mambo ya nyumbani kwake...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa watu wanaosafiri kwenda mikoani ni jambo la kawaida linalotokea kila mwaka, na si kitu cha kushangaza au kuhusishwa na sababu nyingine.
“Naomba niwaambie kitu kimoja: kama kweli kuna adui, atakuwa amefanikiwa endapo atagundua kuwa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila amewataka wananchi waendelee kuliamini na kuliacha Jeshi la Polisi liendelee na uchunguzi wa kutokewa kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole.
Chalamila amesema hayo leo Ijumaa, Desemba 5, 2025 wakati akijibu...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Ofisi ya Mkoa kwa kushirikiana na TANESCO haitabaki kimya kufuatia kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Padri Charles Kitima, kuhusu tukio la uvamizi alilodai lilihusisha kuzimwa kwa umeme na Shirika hilo...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kuna watu wanawajengea chuki Watanzania na nchi yao ambayo tumeona kuna athari zimejitokeza tena kwa vijana wadogo sana.
Albert Chalamila amezungumza hayo leo na Wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji #NIT
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema maelekezo yote yaliyotolewa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya hotuba yake baada ya kuapishwa yametekelezwa na yanaendelea kutekelezwa kwa kufanyia kazi makundi yote ya msingi kwa kusikiliza hisia zao, matatizo yao ili...
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa.
Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
asubuhi
chalamila
dar
dar es salaam
genge
haramu
ikulu
kesho
kuandamana
kuelekea
kuzungumza
mjadala
mkoa
nani
nchi
nchi yetu
ndugu
nyingine
rais
rais samia
rc chalamila
saa
sababu
samia
taifa
wazee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.