chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Ombi: Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania hela mnazotoa kwa Serikali ku support Demokrasia zipelekeni kwa Chadema baada ya Msajili kusitisha ruzuku

    Maombi haya nayaelekeza rasmi kwa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania na Serikali ya Marekani. Tunajua katika ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani aliyepita Bi. Kamala Harris, Serikali ya Marekani iliahidi kutoa fedha zaidi ya Bil 800 kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya masuala ya Demokrasia...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msajili asitisha ruzuku CHADEMA, atishia kusimamisha shughuli za chama wakiendelea kukaidi na kuwatambua viongozi

    Msajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania kulingana na Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 18(6) cha sheria ya Vyama vya siasa, ametangaza leo Jumanne Mei 27, 2025 kusitisha kutoa ruzuku kwa Chama Cha Demokrasia na maendeleo Chadema hadi pale watakapotekeleza maelekezo ya Ofisi ya Msajili...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msajili wa Vyama vya siasa: Mnyika, Golugwa na Lema sio viongozi CHADEMA

    "Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa inapenda kuwafahamisha wananchi, wadau na Taasisi zote za serikali na binafsi kuwa wanachama tajwa sio viongozi wa Chadema, 1. Bwana John Mnyika 2. Amani Golugwa 3. Ali Ibrahim Juma 4. Godbless Lema 5. Dkt. Rugemeleza Nshala 6. Rose Mayemba 7. Salima...
  4. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Heche Asema CHADEMA haileti wanaharakati kutoka nje, LHRC ndio inawaleta

  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 BAWACHA: CHADEMA bado ipo imara, kwenye majimbo 30, wameondoka viongozi wanne tu

    Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAWACHA) Kanda ya Kati Emmy Kibatala amesema kuhama kwa baadhi ya viongozi wa chama hicho hakujawateteresha hasa kuelekea uchaguzi mkuu ambapo amedai watashiriki ikiwa mifumo ya uchaguzi itawekwa sawa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CCM, CHADEMA, CHAUMMA, CUF, ACT, NGOs kesho Kwa pamoja kujadili faida za PPP katika kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya 2050

    https://youtu.be/1f_r4K23h0c?si=JryS33KdwjyIkuCY === Mkurugenzi wa Mtendaji wa taasisi ya Utafiti na demokrasia Prof Rwekeza Mukandara kwa mashirikiano na kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC wameandaa kongamano kubwa na la kihistoria litakalofanyika Chuo kikuu Cha Dar es salaam. Pamoja na...
  7. JamiiForums Tanzania Kama wakati wa uchaguzi CHADEMA walisingiziana maneno ya uongo mpaka wanaunda kamati ya ukweli na upatanishi, hawawezi kuaminika kwa mengine

    Mzee wetu wa heshima Mbowe, wakati anatoa hotuba yake ya kuachia uongozi, aliwasihi anaowakabidhi waunde kamati ya upatanisho baada ya kuchafuana sana ndani ya chama hicho wakati wa uchaguzi. Hawa watu wanaosemeana uongo na kuchafuana kiasi hicho, wanaishia kusema uongo ndani ya chama...
  8. JamiiForums Tanzania ACT WAZALENDO , Bara ni kama wamekufa, ndio maana wanataka kutembelea Nyota ya CHADEMA. Mkutano wa Makamo wao ,wasusiwa Bariadi!!

    Huu Mkutano imebidi wauahirishe
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana wa vyuo vikuu CHADEMA wagawanyika wengine wapinga msimamo wa chama

    Kuna video ya vijana wa CCM walio valia bendera za chadema imerushwa na ITV eti wanasema hawataki No reforms no elections. Hii ni taarifa fake na ITV hamja tenda haki kwa kutoa picha fake zilizo changanywa na picha halisi. Hizo video za hao vijana hazija chukuliwa sehemu mkutano umefanyika na...
  10. JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Mkutano wa Kamati Kuu ya CHADEMA yamekosa Jambo Moja Muhimu. Chadema jirekebisheni! Huu sio wakati wa siasa nyepesi.

    Vyombo vya habari vya Nje ya nchi na Kimataifa vyote vinazungumza jambo moja kubwa. Jambo hilo ni ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu unaofanywa na Serikali ya Rais Samia. Vyombo hivi vya Kimataifa vimeripoti matukio makubwa kabisa ambayo yanaunda Makosa dhidi ya Binadamu na Ubinadamu. Makosa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Ni aibu, mtu anayemkumbusha Rais kuhusu 4R kuitwa mhaini

    John Heche ameeleza kuwa kama msimamo wa kuzuia uchaguzi upo pale pale na kama CHADEMA haitokuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura basi hakuna mtu atakayeenda kupiga kura Aidha ameeleza kuwa ni aibu kwa mtu ambaye anapambania reforsm jambo ambalo pia ni miongoni mwa 4R za Rais eti anaitwa mhaini.
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA imeazimia kutofuata maagizo ya Msajili wa vyama vya siasa. No reforms No election kuchanja mbuga

    https://www.youtube.com/live/wUVtQ2kDck8 Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche ni mgeni rasmi katika kongamano la wasomi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar Es Salaam. Pamoja na mambo mengine ataeleza maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kilichoketi kwa siku mbili Makao Makuu ya Chama tarehe 23...
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Askofu Gwajima amesema CHADEMA ilihusika na utekaji wa Ali Kibao

  14. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Askofu Gwajima asema Padri Kitima alipigwa na vijana wa CHADEMA

  15. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa mwaka huu ni Mungu dhidi ya CCM, mpinzani mkuu wa CCM mwaka huu ni Mungu mwenyewe

    Huu si mwaka wa kushindana kwa namna ilivyozoeleka ,watu hawataki kushindana kwa hoja wala kukosolewa kama ilivyokuwa zamani ! Mamlaka ziko tayari kwa ajili ya kuilinda mamlaka ,ukiwa mgombea unatafsiriwa kama gaidi au mhaini ,wanataka ukiwa mpinzani wao wakufundishe na jinsi ya kuongea, nini...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyeketi wa CHADEMA kata ya Makumbusho: Polisi walinivua nguo zote wakanipiga sana na wakinipiga picha nikiwa uchi

    Tulikuwa tunakutafuta kwa muda mrefu, wewe ndiyo ulikuwa unawafundisha vijana ili wawapige askari, wewe taja cheo chako ni kawaambia mimi ni mwenyeketi wa CHADEMA kata ya Makumbusho, hapana sema cheo chako na kama utaki kusema basi tunakufanya vitu ambavyo wajawahi kuona Wakanivua nguo zote...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kakonko: Viongozi na wafuasi zaidi ya 200 wa CHADEMA wamajiunga ACT Wazalendo

    Tukio hili ni la jana tarehe 23 huko Kakonko ambapo Viongozi na wanachama wa CHADEMA zaidi ya 200 wamejiunga na ACT WAZALENDO
  18. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itapumua kwa muda kwa press hii ya Askofu Gwajima!

    Salaam! Yaani hivi sasa masuala ya utekaji yanapingwa huko huko ndani ya chama hadharani. Hivi sasa CHADEMA itapumua, maana reforms zinaongelewa kule kulle ndani. Ni kwema mbeleni! Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.
  19. JamiiForums Tanzania Pamoja na wachumia tumbo aka waganga njaa kuhamia CHAUMA . CHADEMA bado ipo imara na ina ushawishi mkubwa

    Watanzania wa leo sio wale wa 1995 wanajua vizuri mchezo mchafu wa kibiashara waliokuwa wanafanya Mbowe na wenzake. Ambao sasa wamehamia CHAUMA aka wagawa ubwabwa. Fanya tafiti kwa kina Chadema inakubalika hasa baada ya Mbowe na wenzake kutimuliwa. Chadema inazidi kuimalika maana sasa hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…