chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Je baada ya kuwepo tume huru CHADEMA watakuwa na pendekezo jengine la kupigania?

    No Reform No Election ni dhamira ya fujo na Machafuko,nauliza tu ikiwa CCM ikakubali kuanzishwa tume huru je,CHADEMA itakuwa la lengine la kunadi sera zake?? Kuna nadharia tunaaminishwa lakini ukweli halisi hauendani na kinachozungumzwa. UZITAYAri
  2. JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Bodi ya wadhamini ya CHADEMA ajiuzulu nafasi yake

    Mjumbe wa Bodi ya wadhamini ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Mary Florian Joachim ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ujumbe wa Chadema, nafasi ambayo ameitumikia kwa takribani miaka kumi na tano sasa. Katika barua yake ya leo Juni 02, 2025 aliyoituma kwa Katibu wa Bodi ya...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanachama wa CHADEMA wachezea virungu Mahakamani katika kesi ya Tundu Lissu

    Baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia eneo la ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inaposikilizwa kesi ya mwenyekiti wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu. Baadhi yao wamepigwa marungu wakidaiwa kukaidi amri ya polisi ya kuondoka...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kama kweli wanawake wa chadema wakafanya hivi siku ya uchaguzi kama walivyoelekezws na Lissu, kipi kitatokea?

    Ikitokea siku ya uchaguzi mkuu hawa wanawake wa chadema wakafanya kama walivyoelekezwa na Tundu Lissu, kipi kitatokea? Watu wataogopa kwenda kupiga kura? Kutakuwa na mshike shike nguo kuchanika? Marijari watafurahia? Watabakwa? Watakamatwa na kushitakiwa kwa kosa la utupu na kufungwa jela miaka...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA someni hiki kitabu

    Hiki kitabu kina itwa THE BOOK OF SOUTHERN QI DYNASTY kinazungumzia vipi unaweza kuua kwa kutumia upanga wa kuazima. Yaani hapa njia ni kua unapenyeza watu wako kule ambako unatk kuangusha ufalme halafu unatumia hao kuangusha ufalme. Mfano Chadema ingepenyeza watu serekali washike nafasi za juu...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema Zanzibar Sasa ni moto, baada ya Mamluki wa CCM Mwalimu na wenzake kusepa

    Leo Chadema Zanzibar imefanya press nzuri sana na unaonyesha matimaini makubwa sana. Wameongea issue za msingi sana na huu ni mwanzo mzuri. Miaka yote tumekuwa tunashangaa kwanini CHADEMA Zanzibar kama haipo vile, kumbe Mwalimu na yule jamaa makamu aliye fungua kesi dhidi ya chadema walikuwa...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 'No Reforms, No Election' yaingia Tanga Mjini. Wananchi wakumbushia Mauaji ya Ally Kibao, CHADEMA yamtembelea Mjane wa Marehemu

    Hii ndio Taarifa ya Jioni hii kutoka Tanga, ambako Baada ya Chadema kuingia ni kama Msiba wa Mzee Ally Kibao ulianza Upya, Kabla ya kuanza kwa Mkutano huo Ukimya wa dk 1 ulitawala ili kumkumbuka Mzee Ally Kibao aliyeuawa na watu Waliotumwa na Wakubwa, ukifuatiwa na dua za kumuombea. Chadema...
  8. JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya laionya Serikali ya CCM , Uchaguzi Mkuu bila Chama cha upinzan chenye Nguvu (CHADEMA) hautakua uchaguzi wa Harali na wa Kidemokrasia!

    Sasa ninawaonya CCM na Machawa wenu , Njia mnayoelekea mbeleni ni Giza kubwa. Warusi na Wachina na Wakorea wasiwadanganye !!. UKWELI NI KUA, UCHAGUZI 2025 BILA CHADEMA, HAUTATAMBULIWA NA BARA LA ULAYA, WALA MAREKANI !!. Nadhani Athari ya Jambo Hilo juuu mnaijua vizuri kabisa !!. Tunaenda na...
  9. JamiiForums Tanzania Gwaji boy katumwa kutuhamisha kwenye kesi ya Tundu Lissu na Chadema. Shitukeni

    Hii issue ya Gwajima, itapamba moto hadi wananchi wasahau No reform No election na kesi ya lissu. Huu ni Mradi wa CCM, Gwajima anaweza hata akakatwa, kukawa na kelele chungu mzima hadi mambo mengine yote yakasimama, yamkini hata chadema wakasimama na gwajima kumtetea na kuacha agenda yao ya...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA kutafuta sympathy ya Jumuiya za Kimataifa ni ishara tosha kwamba hawawezi tena kwa lolote imekata pumzi Kisiasa nchini

    Ni wazi chadema haina inachoweza tena katika kujikwamua kwenye mikwamo ya kisiasa ambayo inapitia. Ukata wa pesa, kukimbiwa na makundi ya wanachama wake, kukwama kwa wanasheria wake mahakamani kumekifanya chama hicho kukosa cha kufanya zaidi ya kupiga mayowe na kuomba huruma ya viongozi wa dini...
  11. JamiiForums Tanzania Mwezi mmoja kabla sikuwa na mpango wa kupiga KURA ila kwa huu upepo nimeamua kikamilifu kwenda Kituoni asubuhi na mapema siku hiyo ya kuwanyoa watu...

    Mara nyingi uchaguzi unapokaribia, hisia huwa za kuchanganyikiwa. Wapo wanaosubiri kwa hamu kutimiza haki yao ya kidemokrasia, lakini wapo pia – kama nilivyokuwa mie – waliopoteza imani na mchakato mzima. Nilijiona kama mtu mmoja tu asiyeweza kubadili lolote, na kwa muda mrefu nilikuwa nimeamua...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kila mapigo wanayopigwa CHADEMA na Serikali ndiyo wanavyozidi kupendwa na kuchanja mbuga

    Kila Serikali inavyozidisha mateso dhidi ya Chadema kwanza watu wanazidi kuipenda,hii ndiyo necha ya mwanadamu alivyoumbiwa hukipenda kile kinachodhulumiwa, kuonewa, au kunyanyaswa Watateka watu, watauwa watawafunga watasitisha ruzuku huku wasijue wanazidi kujijenga chuki kwa wananchi Mfano...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jinsi Project G55 ilivyofeli: Nguvu ya Umma yainusuru CHADEMA

    Waliopanga kuivunja CHADEMA kutokea ndani sasa wanakutana na reality kuwa project yao ya kutumia sellouts wa G55 imebuma. Project hiyo imebuma na imeshindwa kuipigisha CHADEMA magoti, na nitaeleza sababu. 1. G55 imekosa star figure mwenye ufuasi. Ni dhahiri hawa G55 pengine walikuwa na mpango...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Chama kidogo sana kinapaishwa na Viongozi wa Chama tawala kwa kutokujua.

    Chama Tawala kina mizizi mikubwa sana hapa Tanzania na hakuna njia ya kupambambana nacho ili kukiondoa,iwe kwa boksi la kura au hata nje ya boksi la kura but kwa bahati mbaya mno viongozi waandamizi pamoja na Makada wa Chama wamekuwa na Mawazo finyu juu ya upinzani kitu ambacho kinapekekea CDM...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Account za CHADEMA kufungiwa !

    Wasalaamu Niliwaandikia mambo kadhaa na muda Mwingine napuuzwa Ila yakishatokea wanakuwa wanapuuza wanakausha, Nyuzi nyingi naziletaga ama kwa codes au Kama utani, au Kama swali kumbe ndo nakuwa nafikisha ujumbe 1. Niliwaandikia la Mbowe kutoa baraka kwa COVID 19 na watu wakahisi natania, 2...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwako John Heche VC - CHADEMA: Badilini mtindo wenu wa uhutubiaji. Hamjengi hoja kwa takwimu ni kwanini chaguzi sasa haziwezekani tena. Kwanini reform

    1. Sina shida na namna unavyoanza kujenga hoja yako kwa kuwaeleza wananchi kwamba wao ndiyo msingi wa mamlaka ya serikali na utawala wa nchi kupitia chaguzi za kidemokrasia ukitumia Ibara ya 8 ya Katiba ya JMT ya 1977.. 2. Sina tatizo na namna unavyoendelea mbele kwa kuwaambia wananchi kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini ghafla tu CHADEMA wanakiogopa sana na kukichukia chama cha ukombozi wa umma (Chaumma)?

    Kuelekea uchaguzi Mkuu wa kihistoria Tanzania mnamo October mwaka huu 2025, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetokea kukiogopa na kukichukia sana Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) kwenye medani ya siasa. Unadhani hali hiyo imechochewa na nini?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  18. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiukweli Chadema ni Brand fikiria Mbowe, Lisu, Kigaila, Mwalimu na Mrema hawapo lakini Heche anachanja mbuga!

    Najua Lucas na Chiembe hawatapendezwa lakini ukweli lazima usemwe tofaiti na vyama vingine vyote vya upinzani Brand ya chadema inajiuza yenyewe bila kutumia promotion za mawinga Ahsanteni sana Mlale unono 😁
  19. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tone Tone ya CHADEMA yaijaza mito na maziwa ndani ya siku 3. Chama kinazidi kupendwa ile mbaya na Watanzania

    Tunawashukuru Watanzania kwa kuendelea kutuchangia. Kwa siku tatu tangu msajili atangaze kukifutia Chama ruzuku tarehe 28 - 30 Mei 2025 mmeweza kutuchangia kiasi cha Tsh. 30,244,700. Tunawaomba muendelee kukichangia Chama katika malipo ya moja kwa moja na kujiunga na malipo ya kujirudia...
  20. JamiiForums Tanzania Lema: Kumchagua Lissu kuliondoa dhana CHADEMA kuwa chama cha wachaga

    "Sisi wachaga ama watu Kilimanjaro na watu wa Kaskazini tunapaswa kuwa makini sana kwa muda mrefu sana watu wa Kaskazini wameonekana kama watu wanaojitenga na hata chama chetu wakati kinakuwa kilipigwa vita ni chama cha wachaga" "Mimi wakati naingia kwenye kampeni za kumsaidia Lissu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…