chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Je Mbowe amejipanga kurejea nafasi yake CHADEMA?

    Hili ni swali muhimu kwa wananchi hivi sasa. Chadema ya sasa chini ya uwenyekiti wa LISSU imejikuta ikihangaika na vurugu na uhaini na usaliti tu kwa Tanzania. Je mbowe anapasha misuli kurejea na kuirejesha Chadema iliyotekwa na Mange kwenye ulingo wa siasa?
  2. Butiku amshukia mwenezi CCM: 'Ziara ya hovyo', Agusia sakata la CHADEMA

    Mpasuko CCM!? Ni ziara ya HOVYOOO! Mzee Butiku amvaa vikali Mwenezi wa chama cha CCM Kenani Kihongosi na ziara yake huko mikoani.
  3. Mkakati wa kumrejesha Mbowe CHADEMA mlango wa nyuma wasukwa

    Kimya kingi kina mshindo mkuu, Waswahili wanasema. Hivyo ndivyo mikakati inavyopangwa kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kurejeshwa kwenye chama hicho kwa mlango wa nyuma kwa ajenda ya maridhiano. Hii inakuja kufuatia juhudi zakumshawishi Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho, Tundu...
  4. Msimamo wa Senegal huko AFCON ni kama wa CHADEMA

    Senegal wamegomea kubebwa kwa Moroco wakaamua kutoa team uwanjani. Iwapo wangekubali kuendelea ndio ilikuwa imetoka hiyo. Chadema msimamo uwe huo huo hakuna kushiriki chaguzi za kuhuni hadi haki ifuatwe.
  5. Hivi nikweli CHADEMA itakufa sababu ya misimano thabiti ya Lissu na Heche?

    Kuna minog'ono inatolewa na WanaCCM wanaoionea wizvu CHADEMA ya Lissu na Heche kuwa inakwenda kufa kisa tu wana misimamo thabiti. Kwa sababu hawataki kuwa kama Mbowe na kuwa wananunulika na CCM kuwasaliti Watanganyika.
  6. TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Kibosho akutwa amefariki, Chanzo chatajwa kuwa ni Pombe

    Kijana Deogratius James Ottaru (37), mkazi wa Kijiji cha Kirima Kati, Kata ya Kibosho Kirima, wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba yake aliyokuwa akiishi peke yake. Taarifa zinaeleza Drogratius (marehemu) alifariki takribani siku mbili kabla ya...
  7. Chadema ishakua shamba la bibi, kila mtu anachangisha

  8. Unadhani ni kwanini John Heche hasikilizwi wala haheshimiwi kama makamu na kaimu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, pale CHADEMA masalia?

    Ni kwasababu ya jinsi anavyo onekana? Ni kwasababau ya matamko nonsense na uropokaji useless? Au ni kwasababu za hali yake ya kiuchumi? Wafuasi wa Chadema masalia wanamchukuliaje huyu muungwana ambae ni adict wa kubeti? Mungu Ibariki Tanzania
  9. M

    TBT: Katambi ambaye kwa sasa ni Waziri wa mambo ya ndani akiwa Chadema

    Ni huyo wa kushoto Katambi ambaye kwa sasa ni Waziri wa mambo ya ndani akiwa Chadema
  10. CHADEMA inalaani kwa nguvu kufungia mtandao na majukwaa ya mawasiliano ya kidijitali kabla, wakati au baada ya uchaguzi Uganda

    Kuikosoa Kufungwa kwa Mtandao na Kufichwa kwa Taarifa CHADEMA inalaani kwa nguvu jaribio lolote la kufunga, kupunguza au kuchezea upatikanaji wa mtandao na majukwaa ya mawasiliano ya kidijitali kabla, wakati au baada ya uchaguzi. Katika dunia ya kisasa, upatikanaji wa mtandao siyo kipengele...
  11. CHADEMA: Tunalaani unyanyasaji na vitisho vinavyomkabili mgombea urais Robert Kyagulanyi (Bobi Wine)

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chama kikuu cha upinzani katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kilichoundwa kwa misingi ya demokrasia, heshima ya binadamu, utekelezaji wa katiba na utawala wa sheria, kimekutana na kutoa Kauli ya Pan-Afrika hii kabla ya chaguzi za umma zilizopangwa...
  12. Q

    CHADEMA inapitia njia ya ANC ya Afrika Kusini, kiliwahi kuzuiwa kufanya siasa lakini ndicho chama tawala kwa sasa

    Mwaka 1960, ANC ilipigwa marufuku kufanya siasa nchini Afrika Kusini, viongozi wake kama Walter Sisulu na Nelson Mandela walikamatwa wengine wakakimbia nchi, Oliver Tambo akachukua jukumu la kukiongoza chama hicho akitokea Zambia. ANC iliendelea kufanya kazi katika mazingira magumu lkn...
  13. Matata: Padre Kitima siyo mshauri wa CHADEMA, Mchange ana uwezo mdogo wa kufikiri mpuuzeni

    “Father Kitima siyo mshauri wa Chadema kama anavyosema Mchange, Uwezo wa Mchange wa kufikiri ni Mdogo hivyo mpuuzeni” Adv. Matata
  14. Njia nyepesi kwa CHADEMA ni kuomba radhi Watanzania, nothing else

    Watanzania sio wajinga, wanajua kuwa chadema ndio waliharibu mali, maisha na utaratibu wao mzima siku ya na baada ya uchaguzi. Wananchi sio wajinga wa kushindwa kujua kwamba no reforms no election ya chadema ndio chanzo cha wapendwa wao kufa, kuumia na mali zao kuharibiwa. Watanzania wa leo...
  15. CCM haina watu makini ndio maana imechukiwa. Huwezi ukapambana na CHADEMA hii kwa propaganda za kipuuzi

    Utasikia makada uchwala wanaongea hadharani kuwa TEC wanaifadhili CHADEMA tena bila hata aibu huku wakijua upuuzi wanaousema hauwezi kukubalika na mtu yoyote. Mtu mpuuzi analipwa pesa na kufanya press conference kuwa Heche na Lissu wanateka watu bila kutumia akili. Upuuzi kama huu nani...
  16. B

    Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu; Mkurugenzi wa sheria, katiba na haki za binadamu CHADEMA anatoa ufafanuzi wa kilichotokea

    10 January 2026 MAZITO YAFAFANULIWA https://m.youtube.com/watch?v=sVw34Jl61eg Advocate Gaston Shundo Garubindi anajibu masuala mbalimbali ktk interview exclusive na Jambo TV yanayogusia ikiwemo kwa uchache ktk mengi Criminal case / kesi Jinai huwa hazitakiwi kusimama session zake hata kama...
  17. K

    PostGE2025 Mwabukusi: CHADEMA ndo chama pekee kinachozungumza hoja za mwananchi wa wakawaida

    CHADEMA wamekuwa wajanja, CHADEMA ndo chama pekee kinachozungumza hoja za mwananchi wa kawaida; Haki za binadamu, utawala bora, threats, kupigwa, enforced disapperance- Amesema Wakili Mwabukusi
  18. Dkt. Slaa: Nimemlaani Odero Odero. Ndiye msaliti wa CHADEMA anayetumiwa kujihusisha na kinachoitwa "maridhiano!"

    https://youtu.be/tDVpmZ0SUe0?si=vTrRwFzHt2jxBNwL Hatimaye mshiriki wa usaliti kwa CHADEMA kwa mlango wa nyuma kujihusisha na kinachoitwa maridhiano ajulikana. Ni Odero, mgombea uenyekiti wa CHADEMA aliyeshindwa kupata hata kura 10 ktk uchaguzi mkuu mkuu wa chama uliofamyika January 21/1/2025 na...
  19. Baada ya Chadema kujimaliza yenyewe kisiasa, ni chama gani cha siasa kitafuata nyayo na kujichimbia kaburi la sahau kisiasa Tanzania?

    Maana kwasasa, Kimebaki kama kituo cha mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kikijikita zaidi katika kuchakata porojo na uzushi ambao hauwasaidii bali kuwapoteza zaidi, na kosa kubwa zaidi ni kufanya makao makuu yao kua Nairobi chini ya yule mdada mkuu wa vibaraka aliewahi...
  20. Kwa matakwa ya CHADEMA, Mange na wapinzani sasa hivi nchi hii ingekuwa chini ya utawala wa Kijeshi. Asante CDF, hukuwa mroho wa madaraka

    Kuanzia Agosti mpaka October 29 2025 CHADEMA na upinzani baada ya kususia uchaguzi na kuona kuwa mbinu hiyo haitaleta tija kwao wakaja na mbinu ya kuhamasisha vurugu kali. Waliorganize vizuri tena kwa muda mwingi. Uharibifu uliofanyika tarehe 29 na tarehe 30 haukuwa bahati mbaya. Huwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…