chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunapata picha gani Viongozi wa CHADEMA ambayo haitashiriki uchaguzi kukubalika kwa wananchi kuliko vyama ambavyo vitashiriki uchaguzi

    Fanya utafiti kwenye vijiwe vya kila namna kuanzia bodaboda, wauza mkaa, walimu na Watanzania wote. Utasikia wanaropoka bila kumug'unya maneno. Kuwa hii ndio CHADEMA ambayo ipo kwa maslahi ya umma. Kulinda na kutetea maslahi ya umma. CCM ,CHAUMMA na wenzao ni mafisadi na wapo kwa ajiri ya...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA mkiondoa slogan yenu ya No reform no sijui nini, mnabakia na nini? Au mtabaki na tone tone?

    CHADEMA mnasiasa butu sana, hawafanyi transformative politics, huwa mnajidanganya wakati mnajua kabisa nchi yetu ni kubwa kuliko chama cha siasa. Mbaya zaidi chadema wameshasahau kuwa sifa moja wapo ya chama KUSHIRIKI UCHAGUZI ni kusaini Sheria za maadili ya uchaguzi, na CHADEMA hawakusain, it...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Shekh Ally Mohamed (Kadogoo) ajivua Uanachama

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Shekh Ally Kadogo ametangaza kujivua Uwanachama wa chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema kuanzia leo Juni 15, 2025 na kujivua nafasi yeke kama aliyonayo kwenye chama hicho. Soma, Pia: Shehe Ally Mohamed Kadogoo achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti...
  4. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa vyama vya Upinzani [to be specific CHADEMA] hawaaminiKI

    Huu ni ukweli ambao ni members wachache wataweza kuusema hapa hapa JF kuhofia kutukanwa na kuchukiwa. Hawa wafuasi hawaaminiki hata kidogo. Support yao mara nyingi imeishia hapa JF na X. Ikienda mbali basi labda IG na Club house. Juzi wamemsifu Gwajima kwa ujasiri mitandaoni. Lakini sasa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kuleta UKOMBOZI wa kweli wa Nchi hii?

    CHADEMA ndo kinara wa harakati hizi za Ukombozi wa Nchi hii. Mwenyekiti, Tundu Lissu yupo mahabusu, chama kimefutiwa Ruzuku, kama haitoshi chama hicho hicho kimepigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa. Nionavyo mimi ni kwamba, kwa mtiririko huu:- 1. Lissu hawezi kuachiliwa leo labda mpaka...
  6. JamiiForums Tanzania Huyu ndio yule kijana aliyepigwa ngumi jiwe alipoenda kufanya vurugu kwenye mkutano wa no reforms no ELECTION wa CHADEMA

    Huyu ndio yule kijana aliye pigwa ngumi jiwe na mlinzi wa chadema alipoenda kufanya vurugu kwenye mkutano wa no reforms no ELECTION wa CHADEMA. kuna video inatrend mitandaoni ikimuonesha mlinzi wa chadema aliye valia suti nyeusi akiwa na upara akamrushia ngumi nzito kijana mwenye t shirt...
  7. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CHADEMA matusi hayatawasaidia, si sehemu ya maadili ya Mtanzania

    CHADEMA kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina Mange Kimambi, Sativa, Tito Magoti, Martin na wengine. Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa CHADEMA? Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha ovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata...
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA, ACT Wazalendo wamtaka Luhaga Mpina jimbo la Kisesa

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameendelea na mikutano ya hadhara jimboni humo, akihutubia wananchi wa Kijiji cha Mwabusalu, Juni 13, 2025. Katika mkutano huo, wanachama na Viongozi wa vyama vya upinzani, akiwemo Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Kisesa, Tekla James, na mwanachama wa...
  9. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Dkt. Nshala ajiuzulu CHADEMA

  10. M

    JamiiForums Tanzania Yanga/Simba imewezekana, Samia Fanya angalau reforms ndogo Waruhusu na CHADEMA Kushiriki, utapendwa. Tunataka kuondoa Vilaza Bungeni

    Mama Yetu Samia, Leo umefanya Jambo kubwa sana, kwakuwa uliona kuna mgogoro na malalmiko kati ya Simba na Yanga, Sisi wananchi tunaamini Rais Ndo Kila kitu , ukiamua nchi itulie inatulia, leo Bodi ya Ligi imejiuzulu, mgogoro wa Yanga, Simba TFF umeumaliza kwanini usilirefushe hili jambo mpaka...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kampeni ya No Reforms No Election (No-No Campaign) ni Mtego Usionasa? CHADEMA Matatani

    Kampeni ya No Reforms No Elections (No-No Campaign) imeanza kupamba moto. Maneno yake yanasikika vizuri masikioni mwa Watanzania na Watanzania wengi hasa mitandaoni wamekuwa wakirudia kauli hii kuonesha kuunga kwao mkono harakati za mabadiliko nchini. Kauli hii si ngeni katika eneo letu la...
  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Sugu amelalamikia kutengwa na kamati kuu ya CHADEMA

    kumekuwa na chapisho linalo sambaa kwenye mitandao ya kijamii likionesha ukurasa wa joseph mbilinyi umeweka chapisho la kutokuwa na imani dhidi ya uongozi uliopo madarakani "Nukuu ya chapisho hil o inadai kuwa nimekuwa nikihisi haklli ya kutengwa mara baada ya kuhusishwa kujiunga na chama cha CHAUMA
  13. JamiiForums Tanzania Mahakama imesitisha shughuli zote za CHADEMA ajabu bungeni bado kuna wabunge wa CHADEMA

    Wasalaam. Mahakama tukufu ilisimamisha shughuli zote za kisiasa na kiutendaji za chama cha democrasia na maendeleo chadema, lakini wabunge wanaotambulika kama wa chadema yaani covid 19 bado wanahudhuria bunge la bajeti linaloendelea dodoma. Ni kwamba hii amri ya mahakama haiwahusu au ndo...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA ina kwama wapi kutumia chopa kwenye mikutano yao ingawa kwasasa imezuiwa kufanya mikutano kwasababu za kisheria?

    Kwenye ukweli huu wanaweza kuja hapa na kujipiga kifua na kujimwambafai kwamba hawajaamua tu, lakini ukweli upo wazi tu. Hivi hata ukiwataza kwa sura tu walivyo, kama mdau wa maana sana wa jukwaa hili la wazi na la heshima sana la siasa, wanaweza kweli kuruka na chopa hao wangwana waliopoteza...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salum Mwalimu Katibu Mkuu CHAUMMA: Yaja siku CHADEMA watataka kufanya kazi na CHAUMMA

    Dhoruba iliyotokea sisi wengine tukasema hapana. Tukasema hapana kwasababu tunazizuia akili zetu zisitawaliwe na mihemko, tunazizuia akili zetu zijawe na sifa za kuja mbele za watu na kupigiwa makofi huku tukijua hatuna namna yoyote ya kuwasaidia watanzania, tukakataa, ndio sababu tukasema...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msanii Lulu Mapunda anayeiunga mkono ajenda ya 'No reforms No election' huko Instagram amelalamikia kupewa vitisho

    Wakuu hapa tulipofika mbona kama pabaya. Kuna haja gani ya kumtishia kisa tu ameisapoti No reforms, mbona hao chawa wao wanasapoti Oktoba wanatiki na hakuna aliyewatishia? Hakuna haja ya kutishiana wakuu. === "Lulu Mapunda kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika Ndugu @saidi8310 umekuja...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Chadema msikubali kuingizwa kwenye mtego wa udini au Utanganyika na uzanzibar Haina tofauti na ukabila , CHADEMA ni ya watu wote

    Kuna watu wenye Nia ovu wanataka kuingiza Cdm kwenye Utanganyika na Uzanzibar Wengine wakitaka kuingiza uislamu na ukristo NDANI ya Cdm Hao wote ni watu wabaya Sana Kwa Chadema. Chadema ni ya waislamu na wakristo na wasio na dini Chadema ni ya wazanzibar na watanganyika Hao wajinga...
  18. JamiiForums Tanzania Nani ana akili kuliko mwenzake? Huyu anayeiunga mkono ccm yenye nguvu madarakani au yule anayeishabikia Chadema yenye nguvu mtaani.

    Dj tupe mziki mzuri kutoka Studio...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gido Simfukwe: CHADEMA imezuiwa siasa mpaka kesi isikilizwe, sio siku 14. Msipotoshe

    Mawakili wa waleta maombi katika kesi ya CHADEMA na wanachama watatu wa chama hicho waliofungua kesi dhidi ya chama hicho wakilalamikia mgawanyo wa mali wamedai upo upotoshaji kuhusu kesi hiyo kwamba zuio ni la siku 14 kitu ambacho wamekipinga. Akizumgumza na waandishi wa habari mapema...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Hivi Ni Kwanini Vijana wa CHADEMA wana Uwezo Mdogo Sanaaaa wa Kujenga Hoja Na Kuonekana Wengi hawana adabu?

    Ndugu zangu Watanzania, Ni swali ambalo ningependa tujadili kwa pamoja hapa jukwaani. Ni jambo ambalo nimekuwa nikiliona na kulishuhudia mara nyingi sana huku mitaani na vilingeni. ambapo vijana na Wafuasi wa CHADEMA vijana wameonyesha kuwa na uwezo mdogo Sanaa katika kujenga hoja na kushawishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…