Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Kiongozi wa Chadema chakavu, japo upo nje ya nchi unatoa dondoo, za fulani bin fulani wako mbioni kumshambulia, na genge fulani, katika maswala ya kikachero mambo ya aina hii, yanapobashiriwa, nathubutu kusema kuna mambo huyo mwota njozi anakuwa anayafahamu aidha yanakuwa yapo ndani ya genge...
Nyerere aliwahi kusema "Ukiniuliza chama chenye sera Makini na watu Makini kuliko vyama vingine nitakuambia CHADEMA".
Mwaka 2019 enzi za Mwendazake niliwahi kuandika uzi unaosema "Chadema itabaki kuwa Chadema" wengi hawakunielewa, kama utakuwa na muda pitia Uzi hapo chini.
Tangu kuanzishwa...
Kitendo cha kundi la G-55 kujiondoa ndani ya CHADEMA kimeniamsha fikra juu ya jambo la msingi sana kuhusu uhai wa vyama vya siasa—kuwa si kila msongamano ni mshikamano, na si kila idadi ni nguvu halisi.
Nilijikuta nikikumbuka mwaka ambao CHADEMA, chini ya Katibu Mkuu wa wakati huo, Dkt. Wilbrod...
Siku zote, mamluki au wasaliti ndani ya taasisi yoyote ile ni ufa mbaya, na ni sumu kwa maendeleo ya taasisi hiyo.
Bila shaka, waliofuatilia kikao cha Kigaila na wenzake, na wanahabari tarehe 7 May 2025, alisikia hoja za ajabu za watu hao. Watu hao waliongea uwongo mwingi kama vile hakuna watu...
Kama Mbowe angekuwa mbele ya muda basi alitakiwa kujivua lawama mapema na kuondoa wahuni wote chamani. Hilo lilikuwa wazi na lilionekana kwa kila mmoja. Shida ni angeweza vipi kuondoa washiikaji zake muhimu?
Wewe unaambiwa Kigaila mke wake alienda bungeni kwa njia haramu. Kigaila ni naibu...
Ni kitendo cha Wanzanzibar kujazana Serikalini.
Niseme nimeshuhudia awamu zote za uongozi lakini hakuna awamu iliyojaza wazanzibar Serikalini kama hii, karibu kila ofisi kila idara utawakuta, na hawajifichi kutokana na lafuzi ya kiswahili Chao.
Sibagui mtu inauma maana wamechukua ajira za...
Sote ni mashuhuda kwamba tangu uongozi mpya kuchaguliwa, Chadema imekua ikiendeshwa kwa matamko na press conferences ambazo kimsingi nyingi zililenga kuomba kuchangiwa pesa za matumizi ya viongozi wa chama wasio na ajira, waliojificha nyuma ya kuomba kuchangiwa pesa kwaajili ya matumizi ya...
Baada ya malalamiko ya waliojitoa CHADEMA (Viongozi waandamizi) niliunganisha dots za tabia ya Mheshimwa Tundu Lisu na kuona alikuwa hajaacha uanasheria mhivyo mtambuwe anachokiona mwanasheria kuwa kosa litabaki kuwa kosa na analoliona lipo right litabakia kuwa hivyo.
No Reform no Election...
Chadema tayari imesha kufa KIFO CHA MENDE.
Kama una macho, masikio na akili haina haja kuambiwa kila kitu.
Kama Salum Mwalimu, Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge wameamua KUJITENGA NA LISSU NA HENCHE basi elewa kuwa huo ni USHAHIDI TOSHA kuwa LISSU na HENCHE HAWAFAI KABISA kuwa...
GT
Mara zote kwenye uongo ukweli hujitenga pia mafuta na maji havichangamani.
Nachoshukuru hawa virusi na vibaraka wa CCM wataondoka mmoja baada ya mwingine hadi tuwajue wote
Chini ya mwenuekiti wetu mpya Mheshimiwa Tundu Lissu Chadema inaenda kujengwa upya juu ya msingi imara.
Tanzania...
Aliye kuwa Naibu Katibu mkuu CHADEMA Salum Mwalim Baada ya kutangaza kukiacha chama chake cha CHADEMA amefunguka mengi huku akisema Uchaguzi wa CHADEMA ulikuwa na uongo mwingi sana, rafu zilikuwa nyingi na siasa chafu jambo ambalo lilotia doa sana.
Soma Pia: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amewakaribisha kujiunga na CCM Wajumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA iliyomaliza muda wake ambao leo May 07,2025 wametangaza kuondoka CHADEMA akiwemo aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA...
Baada ya ujio wa Hon Lissu Pale CDM
Nimejiuliza hili swali.
"Je inawezekana mtu akachezea simba na yanga kwa wakati mmoja na kote huko akajitoa kwa moyo?."
Ikiwa inawezekani basi kuna namna watu waliamua kucheza na akili za Watu kwa mgongo wa siasa.
System
Authority
Power
Chadema ina hold...
CHADEMA haitoonea MTU Wala kumsingizia Wala lililo kinyume na KATIBA ya Nchi.
Isipokua Kila MTU ataletwa Mbele ya Mahakama na kuhukumiwa sawa sawa na Matendo yake.
Uwe Umekufa tayari, uwe upo hai, HUKUMU YAKO ITAKUFATA TU.
WALOJARIBU KUMUUA LISSU ,
Walomuua MAWAZO,
Walomuua/Kupoteza kabisa...
Viongozi waandamizi walio kijenga Chama kwa jasho na damu; John Mrwma, John Mnyika, Mwalimu, Kigaiya na Katherine wamebwaga manyanga na wamesema gharika kubwa inakuja.
Tulisema Lisu na Henche hawafai kuwa viongozi sasa ona chama kinapo elekea, kinakufa!!!
Nasema atabaki Lisu na Henche
Habari za ndani kabisa kutoka vyanzo vya uhakika zinasema CCM wako katika mkakati wa kupitisha na kubariki kwenda kutekelezwa kwa mpango wa 'nusu mkate' utakaowezesha kuwagawia ushindi wapinzani walau majimbo 50 ya uchaguzi (30 Tanganyika, 20 Zanzibar) katika uchaguzi wa 2025 huku ukimuhusisha...
Katika historia ya harakati za kisiasa duniani, mara nyingi mabadiliko ya kweli yamekuwa yakipatikana kwa gharama kubwa, ikiwemo maisha ya wale wanaojitolea kwa ajili ya haki na demokrasia. Katika muktadha wa Tanzania, chama cha upinzani CHADEMA kimekuwa mstari wa mbele katika kupigania...
Kwa hatua hii ya secretariat ya akina Mrema na akina Singo na wote kuondoka akiwemo Mbowe kwa sasa unaweza kurudi Chadema kwa roho nyeupe kwa vile kundi hilo ndilo lilochangia kwa asilimia 75 kuondoka.
Wewe na Lissu na Heche akiwemo Lema mlikuwa target. Ushindi ni wenu kwa sasa rudi kwa rafiki...
Mpango mkuu wa wanadamu dhidi ya Chadema na Lissu, ni kuhakikisha chama anachokiongoza kinakuwa kwenye mgogoro mkali wa wao kwa wao ndani ya Chadema ili tu, mwenyekiti wake na timu yake yenye msimamo mathubuti na wasioiogopa haki, wasifanikiwe kwa chochote katika kuisaka haki ya wanyonge katika...
Nimeumia sana, imenichukua masaa kadhaa kusema chochote baada ya uamuzi huu mgumu wa waliokuwa viongozi wakuu wa Chama changu Chadema Naibu Katibu Mkuu Bara Mh Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh Salumu Mwalimu na Waliokuwa wajumbe wa Sekretaieti yote ya Chama kujivua uanachama wa Chadema...